Tabia ya kupiga mswaki ovyo bila utaratibu inakera sana hasa nyakati za asubuhi. Unakuta mtu kasimama barazani anasafisha meno na kutematema ovyo, na wengine wanaongea huku mswaki upo mdomoni. Akina dada wengine nao sijui vipi unakuta yupo na kanga moja mswaki mdomoni anaenda dukani au kwa jirani. Jamani tuwe wastaarabu, nimewahi fundishwa tendo la kupiga mswaki linahitaji ustaarabu na heshima kama lilivyo tendo la ndoa.......
fide kwa hyo unazijua ch.p. zake zote, mpelekee zawad ya ch.p. ya blue akikuliza mwambie kila siku unatoka na nyekundu, nyeupe au nyeus so nimeona nikuletee ya blue na njano 🙂Mi kuna dada huwa ananisumbua sana mlango wa pili utakuta katoka na khanga moja nyepesi inaonyesha kila kitu ndani na asubuhi hiyo unakuta kavaa chupi tu aidha nyeupe su nyekundu au nyeusi si kutiana majaribuni hivi?
teh teh teh!fide kwa hyo unazijua ch.p. zake zote, mpelekee zawad ya ch.p. ya blue akikuliza mwambie kila siku unatoka na nyekundu, nyeupe au nyeus so nimeona nikuletee ya blue na njano 🙂
fide kwa hyo unazijua ch.p. zake zote, mpelekee zawad ya ch.p. ya blue akikuliza mwambie kila siku unatoka na nyekundu, nyeupe au nyeus so nimeona nikuletee ya blue na njano 🙂
Ha ha ha !!Kumbe unaishi uswahilini?
Ahahahaaah!! Kweli uswazi hakuhitaji uwe na hasira...mwingine anapiga mswaki atafikiri anataka kujiua makelelele koooo, anakohoa kama kapaliwa, anatoa madamu dah, yaan uswazi kweli hapataki hasira, wakina mama nao asubhi asubuhi na kanga zao wengine maziwa nje yaani balaa tupu
Ingawa nakubaliana na wewe lakini hapo kwenye BOLD naomba tutofautiane kidogo..Tabia ya kupiga mswaki ovyo bila utaratibu inakera sana hasa nyakati za asubuhi. Unakuta mtu kasimama barazani anasafisha meno na kutematema ovyo, na wengine wanaongea huku mswaki upo mdomoni. Akina dada wengine nao sijui vipi unakuta yupo na kanga moja mswaki mdomoni anaenda dukani au kwa jirani. Jamani tuwe wastaarabu, nimewahi fundishwa tendo la kupiga mswaki linahitaji ustaarabu na heshima kama lilivyo tendo la ndoa.......
Mi kuna dada huwa ananisumbua sana mlango wa pili utakuta katoka na khanga moja nyepesi inaonyesha kila kitu ndani na asubuhi hiyo unakuta kavaa chupi tu aidha nyeupe su nyekundu au nyeusi si kutiana majaribuni hivi?
duh!huyo mbaba ana roho nzuri.Uswazi soo akina mama wanashinda masaa 12 na khanga MOKO tu huku kwingine ni ndembe ndembe!! Kuna baba mmoja jirani ni mjeda, yeye ni mwendo wa tumbo wazi na kikaptura tuu, msosi anapigia nje tuu ukipita wakati anag'ata utasikia karibuuu tujumuikee.