Mambo 6 wasiyoyapenda wanaume kutoka kwa wenza wao

haa haa kumbe! full kuadhirika

Ila mi huwa namuonea huruma sijui kwanini
anakujaga kutangaza blog yake hapa
ha ha ha ila hata hanaga habari kila kukicha oooh wanafunzi wa chuo wapiga picha za utupu
hiyo ndo habari yake daily, mi huwa namhurumia kwakweli
mods msameheni huyu mtu....
 
poor him......
 
Sawa ila point of correction naona kama namba 1 na 6 zinafanana tu kwani maelezo yake is look like kuamrishwa to me
 
Back
Top Bottom