Mambo 6 wasiyoyapenda wanaume kutoka kwa wenza wao

usilopenda kufanyiwa usifanye kwa mwenzio.,,,,lile unalotenda huleta tendo la kutendewa huo hvo,,,,,
 
uke wenza unaotambulika, ama ule wa kisirisiri?

Asikudanganye mtu.Ukewenza ni ukewenza tuu haijalishi ni siri..au dhahiri. Hivii ni nani anayependa kushare penzi. Yaani ujue kabisa mwenzio anaambiwa'' Nakupenda sana mke wangu" na akirudi kwako uambiwe maneno hayohayo.!!Je kwa mfano ndio kwenye usawa wa wake wanne???.. we sikiaga tuu huo ukewenza
 
na wale wanaoruhusiwa sasa kuoa inakuaje?
 
Back
Top Bottom