Kuwapa kipaumbele watu wako si ndio uchoyo auWanaume mnaweza kujifunza kutoka kwetu wanawake.
Tuna mengi ya kuwashirikisha mjifunze kutoka kwetu wanawake, kwa leo nitawapa mambo matano tu...
kuombaomba ni hulka ya kike, tunakufa kiumeUpendo wa kweli hauna ubinafsi. Watu wakuu wanaishi kwa ajili ya Mungu na wengine.
2. Ombeni msaada...
wivu huo3. Muwe tayari kujifunza.
Mkubali masahihisho. Kupingwa si kudhalilishwa. Kuwa na nia ya kujiboresha kwa kuhudhuria semina za maendeleo ya kibinafsi.
Kufanya hivyo sio udhaifu, bali ni ishara ya nguvu.
...
naunga mkono5. Nyenyekea mbele za Mungu.
hujielewiWewe ni mwanadamu tu. Kiburi na upumbavu huwaweka watu wengi mbali na ibada. Mungu huwainua wanyenyekevu na kuwashusha wenye kiburi. Jinyenyekeze kwa Mungu na mambo yatakuendea vyema.
Wanaume mnaweza kujifunza kutoka kwetu wanawake.
Tuna mengi ya kuwashirikisha mjifunze kutoka kwetu wanawake, kwa leo nitawapa mambo matano tu....
Asante rafiki yangu kwakuliona ilo"Wanaume wengi ni wabinafsi kwa asili na ni wachoyo wenye roho mbaya.
Bali wanawake wengi huweka maslahi ya familia kwanza.
Upendo wa kweli hauna ubinafsi. Watu wakuu wanaishi kwa ajili ya Mungu na wengine"
Asante rafiki yangu kwakuliona ilo
Umeanza vizuri umekuja kuharibu mwishoni
Kwanini jamani
Mwanaume angekuwa mbinafsi asingekuweka ndani na kukuhudumia kwa kila kitu. Ubinafsi tunajua nani anao by natureWanaume mnaweza kujifunza kutoka kwetu wanawake.
Tuna mengi ya kuwashirikisha mjifunze kutoka kwetu wanawake, kwa leo nitawapa mambo matano tu...
1. Wape kipaumbele watu wako.
Wanaume wengi ni wabinafsi kwa asili na ni wachoyo wenye roho mbaya.
Bali wanawake wengi huweka maslahi ya familia kwanza.
Upendo wa kweli hauna ubinafsi. Watu wakuu wanaishi kwa ajili ya Mungu na wengine.
Naweza kukubaliana na wewe kwa hili.2. Ombeni msaada.
Acheni kutenda kwa nguvu kupita uwezo wenu huku mkiwa na huzuni ndani ya mioyo.
Wanaume wengi wameshuka moyo na ndoa nyingi huvunjika kwa sababu wanaume hawapendi kupata ushauri nasaha.
Kuomba msaada ni ishara ya kuongeza nguvu.
Hatuwezi kukubali kwa kusema "ndio", tuna namna yetu ya kukubaliana na mawazo yenu.3. Muwe tayari kujifunza.
Mkubali masahihisho. Kupingwa si kudhalilishwa. Kuwa na nia ya kujiboresha kwa kuhudhuria semina za maendeleo ya kibinafsi.
Kufanya hivyo sio udhaifu, bali ni ishara ya nguvu.
Mwanamke bila kudanganywa haelewi somo4. Fahamu mipaka yako.
Acha kujenga matumaini ya uongo kwa wanawake wengine. Acha kuahidi kile ambacho huwezi kutoa. Acha kujituma kupita kiasi katika sehemu yako ya kazi.
Epuka pia uchovu kwa kuwa na muda wa kupumzika mpenzi wako baada ya kazi .
Nakubaliana na wewe5. Nyenyekea mbele za Mungu.
Wewe ni mwanadamu tu. Kiburi na upumbavu huwaweka watu wengi mbali na ibada. Mungu huwainua wanyenyekevu na kuwashusha wenye kiburi. Jinyenyekeze kwa Mungu na mambo yatakuendea vyema.
Ni wabinafsi kwa kiasi chakeMwanaume angekuwa mbinafsi asingekuweka ndani na kukuhudumia kwa kila kitu. Ubinafsi tunajua nani anao by nature
Naweza kukubaliana na wewe kwa hili.
Hatuwezi kukubali kwa kusema "ndio", tuna namna yetu ya kukubaliana na mawazo yenu.
Mwanamke bila kudanganywa haelewi somo
Nakubaliana na wewe
Hapana wachache ndio wana roho iyo sio woteSasa nimeelewa kwanini Pamela alikupiga doba!
Kwel dada zetu mama zetu tunawaheshimu, tunawapenda na tunawaskiliza sana.
Tatizo linakuja unapompa nafasi kubwa ya kumsikiliza mnafanya mambo flan ya kawaida na mepesi sana ataanza kukwambia tushone nguo za kufanana, atataka uadapt falsafa zake atakugombanisha na ndugu zako na vitu kibao ambavyo havina tija ya mda mrefu.