Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .
Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.
Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia