Mambo 4 yanayoangusha uongozi wa Rais Samia

Aogope Sana 'Binadamu' ni Wanafiki mno na wenye kubadilika ghafla kutokana na Maslai hasa wanaomzunguka.
 
Kuupigapiga chenga mchakato wa katiba na kuwafanya watu wote hawana akili, inamfanya aonekane ni mtu mnafiki sana. Mara sijui eti watu wapewe elimu ya katiba miaka mitatu, mara sijui tume ikusanye maoni, lakini kumbe lengo lake kuu ni kuhakikisha katiba mpya haipatikani, ni unafiki wa hali ya juu na inamfanya asiaminike.
 
1. Hilo la Katiba limekaa vibaya kwa sababu njia pekee ambayo Wasaliti wetu watamshangilia ni kushindwa CCM. Njia pekee kumridhisha mtu kama Maria Sarungi ni kuona Rais wa upinzani sijui mbowe sijui tundulissu. It is tails you lose, heads I win.

2. La pili kuhusu Makonda ana known abilities, noted achirvements na strong following. Ni tafauti na tundulissu CHADEMA wamemngangania huku wakijua ni.liability.
3. Hilo la majambazi wa kulaumiwa ni majambazi, hakuna atakayekujua wewe ni malaika.
4. La kukopa ni la kitaalamu lishaelezwa na kuelezwa, bora sie tuzingatie matokeo: Watalii wamepanda, tuna amani Nji nzima, tuna SGR, na Nyerere Dam, na flyovers na lami na shpital hadi Kusini na Sumbawanga. Zamani hatukuona sana kwa vile zote zilikuwa zinaenda Kaskazini na Waziri Mkuu au wa Fedha au Viwanda au Elimu. Tulimsikia Msuya juzi akitoa neno.
La katiba mpya linadhihirisha unafiki wa Rais Samia.

Kutoa sababu sijui za CHADEMA, sijui Mbowe ni kuthibitisha uduni wa fikra wa mchangiaji hoja. Watu wanazungumzia katiba ya nchi yeye amekwisharukia mambo ya CHADEMA!!
 
Akitaka aache Legacy ya kukumbukwa angalau alete katiba mpya. Hicho ndo kikubwa zaidi

Hilo haliwezi. Mambo yote makubwa ya msingi yamemshinda. Ameshindwa la katiba, ameshindwa kutengeza mifumo, anafurahia kusifiwa na low minds, wanafiki na wevi wa pesa za nchi.
 
Mada kama hizi ni Kaa la moto lililo chomekwa kwenye visambwanda vya lucas Mwashambwa
 
Sahau kuhusu hii nchi kuendelea,viongozi wengi wako kwzini Kama wewe unavyoamka na kwenda job,ukichunguza kimakini saana utagundua magu hakuwa kiongozi tu ,magu alikuwa na uchungu na hakujali Nani,hata Kama mlikuwa mnajuana,ukizingua out,ukisha kuwa raisi,naiangalia Tanzania naiangalia Aina ya viongozi tulio nao,Kisha nainama chini nalia ,nalia machozi ya damu,
 
Kuna style mpya makungwi tume introduce ya mamaKauzaBandar ukajaribu hii humuachi kamwe
 
Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .

Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.

Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia
Kabisa huyu mama ni mhalifu na mtapanyaji mkubwa wa fedha za umma.
 
Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .

Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.

Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia
Jambo la tano nafikiri kwa sasa haliwezi kuonekana- uwekezajo bandarini. Walituambia miundombinu itaboreshwa, ufanisi utaongezeka na mapato yataongezeka maradufu. Walisema mapato ya bandarini yatakuwa zaidi ya thelusi (1/3) ya bajeti ya Tanzania. Sasa subiria matokeo yake.
 
Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .

Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.

Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia
Sahihi..
 
Ukiacha Mwinyi, huyu ndio worst president ever to happen to this country.
 
Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .

Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.

Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia
Tuambie nn kafanya kuinua uchumi wa nchi. Sisi tunataka maendeleo na si kujivunia kuunganishwa. We want a great nation economically. Ni dhaifu na Hafai kuendelea kuongoza nchi yetu
 
Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .

Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.

Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia
Muulizeni Lema na yule mmbwa wa mbeya(mdude)
 
1. Serikali inapenda sana Fedha. Hivyo yeyote mwenye Fedha anaweza ... Utamalizia.

2. MWANAMKE HATA AFANYEJE ATABAKI KUWA MWANAMKE TU. NIONYESHE MWANAMKE MWENYE ZAIDI YA 50 ALAFU AKAWA NA AKILI ZA MAAJABU.

3. USIMAMIZI MBOVU WA MAPATO NA MATUMIZI

4. UOGA, UCHOVU NA KUBWETEKA

5. KUTOKUJALI MAMBO YA MSINGI YENYE KUHATARISHA MAISHA YA WANANCHI.

6. KUPENDA KUTUKUZWA

7. ULEVI WA MADARAKA YA KULEVYA.

8. KUWA 'MESSENGER' WA 'HILO KUNDI LA WENYE MASLAHI'.

9. KUCHEKEA URAFIKI MBAYA ULIOANZA BAADA YA CHEO

10. KUTOKUONYESHA HASIRA KALI YA KUKERWA KWA MATUKIO YA KUMTISHIA.

IMANI BILA MATENDO NI KAZI BURE. TUJITAHIDI TUWE WAZIMA TUSIUGUE TU.

AHSANTENI.
Misukule ya mzee Mbowe ni laana ya nchi
 
Back
Top Bottom