Mambo 4 yanayoangusha uongozi wa Rais Samia

Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .

Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.

Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia
Hivi udikteta unautambua vyema mkuu?
Kwanza Demokrasia imeshamiri kuliko wakati waowote nchini,
 
5. Tozo
6. Mfumuko wa bei wa kutisha kwenye bidhaa mbalimbali
7. Hela kuadimika mtaani.
8. Bei ya mafuta kupaa kila mwezi.
9. Kufanya ziara nyingi za nje kuliko zile za ndani huku akiambatana na kundi kubwa la useless people.
10. Kuteua na kutengua kila baada ya muda mfupi. Kuna watu anawatengua, baada ya muda anawarejesha tena! Yaani ni vurugu mwanzo mwisho.
Ila kumtetea huyu mama inatakiwa uwe na unafiki na kujitoa fahamu kwa hali ya juu sana.
 
IMG-20240409-WA0000.jpg
 
Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .

Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.

Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia
kwa ujumla hakuna binadamu alie mkamilifu na haiwezekani kiongozi mahiri na madhubuti akapendwa na wanainchi wote 🐒

hata hivyo,
nikupongeze kwa kukiri na kutambua kazi kubwa na nzuri sana inayofanywa na kiongozi wetu huyu shupavu na madhubuti sana comrade, Rais Dr Samia Suluhu Hassan, ambae waTanzania wengi wanampenda sana na wanafurahia matunda ya kazi za mipango yake mizuri sana kijamii, kisiasa na kiuchumi 🐒

Ni dhahiri, kasoro, dosari au changamoto katika utendaji haiepukiki. Lakini mambo mengi makubwa na mazuri sana yamefanyika na yanaonekana bayana mchana kweupe 🐒

Tathmini, masahihisho na marekebisho kwenye mistakes za kiutendaji kwa bahati mbaya, makusudi, tamaa au uzembe inafanyika kila mara na hatua za kinidhamu na kisheria zinaendelea kufanyika kila uchwao 🐒

Muhimu zaidi ni subra na ustahimilivu...

we need organized and vibrant opposition to check and challenge govt programs and projects, but in case of Tz, opposition is dead 🐒

Eid Mubarak 🌹
 
hata ingekuwa ni wewe usinge weza... hii nchi ngumu sana... hivi kwa mtu mwenye akili timamu unadhani jinsi watu wanavyo fanywa wajinga ni hali ya kawaida hii kweli...?

kama mchakato wa kumpata mgombea wowote ndani ya nchi hii ungekuwa wa kidemokrasia wananchi wakawa ndio wenye nguvu na nchi yao... hayo uliyo andika yangewezekana... ila kwa hali inavyooneka kuna kikundi cha majambazi ambacho ndicho kinacho panga nani awe nani kwenye nchi hii...!

hilo kundi ni hatari sana lipo teyari kufanya chochote linapo kuja swala la kulinda maslahi yao... nyie wana nchi hata mkifa hayo ni matatizo yenu wala haya tuhusu... 😭😭😭😭😭​
Na wakifa wao??? Au wazuri hawafi???
 
Hivi udikteta unautambua vyema mkuu?
Kwanza Demokrasia imeshamiri kuliko wakati waowote nchini,

Tanzania haijawahi kuwa na demokrasia ya kweli. Ambacho huwa kinatokea, ni wakati fulani kuwa na hali ya unafuu, na wakati mwingine hali kuwa mbaya zaidi.

Huwezi kuwa na demokrasia wakati una katiba na sheria za kidikteta.
 
Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .

Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.

Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia
Kuuzwa Bandari na ardhi ya Wanasai wewe unaona sawa tu?? Hayo mazuri aliyoyafanya kuliko Jpm yameshindwa nini kuondoa Wala rushwa, mikopo umiza nchi, na kukwepa mchakato wa katiba? Sasa kumbe hayo mazuri ya Samia ni yepi? Au kwa sababu ulilenga kumtaja mzalendo Makonda?
 
Tanzania haijawahi kuwa na demokrasia ya kweli. Ambacho huwa kinatokea, ni wakati fulani kuwa na hali ya unafuu, na wakati mwingine hali kuwa mbaya zaidi.

Huwezi kuwa na demokrasia wakati una katiba na sheria za kidikteta.
Uko sawa,na nikwambie ukweli tuu hatutakuja kuwapa sheria na katiba mpya inayowafaa kwenye kisahani,tutaweka katiba yenye ulinzi kwetu,jipangeni si lelemama na tunajua nyie ni laini tu endeleeni kulalama kama mbuzi anamwezwa na chatu
 
1. Hilo la Katiba limekaa vibaya kwa sababu njia pekee ambayo Wasaliti wetu watamshangilia ni kushindwa CCM. Njia pekee kumridhisha mtu kama Maria Sarungi ni kuona Rais wa upinzani sijui mbowe sijui tundulissu. It is tails you lose, heads I win.

2. La pili kuhusu Makonda ana known abilities, noted achirvements na strong following. Ni tafauti na tundulissu CHADEMA wamemngangania huku wakijua ni.liability.
3. Hilo la majambazi wa kulaumiwa ni majambazi, hakuna atakayekujua wewe ni malaika.
4. La kukopa ni la kitaalamu lishaelezwa na kuelezwa, bora sie tuzingatie matokeo: Watalii wamepanda, tuna amani Nji nzima, tuna SGR, na Nyerere Dam, na flyovers na lami na shpital hadi Kusini na Sumbawanga. Zamani hatukuona sana kwa vile zote zilikuwa zinaenda Kaskazini na Waziri Mkuu au wa Fedha au Viwanda au Elimu. Tulimsikia Msuya juzi akitoa neno.
Doh!

Pengine na wewe una PhD

Hovyo kabisa
 
Na wakifa wao??? Au wazuri hawafi???
tuombee hilo litokee... lakini hali ni ngumu mno kwàni hilo kundi lina pambana kwa hali na mali kuhakikisha wanarithisha ujangili wao kwa vizazi vyao😭😭😭

na ukionekana wewe ni kikwazo kwao unazimwa kama taa😭😭😭 hii nchi ngumu ndugu zangu... hakuna maombi yatakayo weza kuinuthuru hii nchi...! kwasababu hatuna viongozi wakweli wa Dini...!​
 
Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .

Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.

Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia
Kwani mikopo inakuuathiri Nini mkuu. Nenda nchi zilizoendelea uone zinadiwa kiasi gani. Maendeleo ni technique mkuu. Ni Bora Samia anakopa na mnajua, je jpm aliyekuwa anakopa kimya kimya tena mikopo ya ghari sana mpaka GAG ndo akamuumbua.
 
Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi .

Mambo hayo 4 ni:-
1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
2. Kulea rushwa na ubadhirifu.
3. Kuendekeza mikopo toka nje kama njia kuu ya kuendeleza nchi.
4. Kuwakumbatia wahalifu kama Makonda.

Unyoofu wa mambo haya 4 ndiyo msingi wa uongozi bora. Mama kashindwa kuzichanga vema karata zake, na sasa anaonekana kuwa dikteta aliyevalia koti la demokrasia
SSH ni jambazi mbaya kuliko magufuli!
 
Kwa kifupi ni mbovu kwa kila jambo, tunavyompa kichwa anaweza ndio anaendelea kuharibu sana.
 
Back
Top Bottom