Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,709
- 54,577
🤣🤣🤣take care na Hela za watu
Ahhh weee nimecheka 🤣🤣🤣 eti anakujia na panga

Yani mecheka balaa 🤣🤣🤣Heeee🤣🤣🤣🤣🤣hiyo inaitwa liwalo na liwe dadadeki
Acha tu 🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣Ndio utasikia sauti ya manfongo sikioni
Uzi mzuriMambo kumi yakuzingatia wakati upo sero ukijiandaa kesho kupanda mahakamani
1:Kama unahojiwa na Wakili Mahakamani usijibu bila kutafakari alichokuuliza
2: Wakili asikuogopeshe kwa ukali, anapokuuliza kwani ukali hulenga kuleta paniki na kukusahaulisha ulichopanga kusema
3: Usilazimishe kujibu kitu ambacho hukijui ni bora kusema sijui kuliko kulazimisha kujibu
4: Usipaniki kiasi cha kutoa neno lolote la kashfa, kejeli, au tusi mahakamani unaweza kuongeza kosa la kuidharau Mahakama
5: Kama hukuelewa vizuri kosa ulilosomewa ni bora kukaa kimya, kwakuwa ukikaa kimya unaandikiwa umekataa kosa
6: Kanuni ya sheria ni kuwa, ni kazi ya aliyekushitaki kuthibitisha kwa ushahidi kuwa umetenda kosa na si kazi yako kuthibitisha kuwa haujatenda kosa
7: Kama ulitenda kosa katika harakati za kujitetea usidhuriwe iambie mahakama kuwa ulitenda kosa ukijilinda (self defence) inaruhusiwa, hata kama uliua waweza kuachiwa
8: Kama ndugu yako hana akili timamu na ametenda kosa iambie mahakama. Hii ni kwasababu kutokuwa na utimamu wa akili ni kinga inabidi aachiwe lakini hatarudi nyumbani atapelekwa vituo vya wasio na akili
9: Inakubalika na ukaachiwa huru kusema kuwa sikuwa eneo la tukio wakati likitokea kama kweli haukuwapo
10: Kama wanaokushtaki wanashahidi na unamjua kuwa kuna kipindi aliwahi kuchangnyikiwa au kufanya tukio lolote la uhalifu kabla, ni nafasi nzuri kuhoji uwezo na uadilifu wake.
View attachment 2881352
Atakupiga show kama umetekwaInaitwa UTATOA, HUTOI 🤣🤣🤣🤣
Huyo km alikupa laki anakudai million
Hakuachii mpk ukojoe 🤣🤣🤣Atakupiga show kama umetekwa
Unakojoaje na panga mkononiHakuachii mpk ukojoe 🤣🤣🤣
Ukibisha panga liko pembeni
Sasa si ana cheti mirembe 🤣🤣🤣Unakojoaje na panga mkononi
Labda akojoe yeye
🤣🤣🤣🤣Jmn🤣🤣🤣🤣🤣 Wee embu niache mwenzio mbavu zinaniuma!! Missy Gf Joannah Tayana-wog Ms eyes mmeiona hii comment 🤣🤣🤣🤣
Preliminary hearing kiongoziSasa PH layman anajuaje[emoji28]
Ngoma babuUmeme mwingi ndio ugonjwa gani?
Hahahahaha sasa umeiweka vzr , nimeelewaNgoma babu
Cha muhimu ni kua na Wakili atakae fatilia kesi ykoTatizo huwa ni danadana za mahakama kuchelewesha kesi hata ukizingatia hayo yote, unaweza kukujikuta unatumukia kifungo kabla hata hukumu ya mahakama haijatoka.
Mambo kumi yakuzingatia wakati upo sero ukijiandaa kesho kupanda mahakamani
1:Kama unahojiwa na Wakili Mahakamani usijibu bila kutafakari alichokuuliza
2: Wakili asikuogopeshe kwa ukali, anapokuuliza kwani ukali hulenga kuleta paniki na kukusahaulisha ulichopanga kusema
3: Usilazimishe kujibu kitu ambacho hukijui ni bora kusema sijui kuliko kulazimisha kujibu
4: Usipaniki kiasi cha kutoa neno lolote la kashfa, kejeli, au tusi mahakamani unaweza kuongeza kosa la kuidharau Mahakama
5: Kama hukuelewa vizuri kosa ulilosomewa ni bora kukaa kimya, kwakuwa ukikaa kimya unaandikiwa umekataa kosa
6: Kanuni ya sheria ni kuwa, ni kazi ya aliyekushitaki kuthibitisha kwa ushahidi kuwa umetenda kosa na si kazi yako kuthibitisha kuwa haujatenda kosa
7: Kama ulitenda kosa katika harakati za kujitetea usidhuriwe iambie mahakama kuwa ulitenda kosa ukijilinda (self defence) inaruhusiwa, hata kama uliua waweza kuachiwa
8: Kama ndugu yako hana akili timamu na ametenda kosa iambie mahakama. Hii ni kwasababu kutokuwa na utimamu wa akili ni kinga inabidi aachiwe lakini hatarudi nyumbani atapelekwa vituo vya wasio na akili
9: Inakubalika na ukaachiwa huru kusema kuwa sikuwa eneo la tukio wakati likitokea kama kweli haukuwapo
10: Kama wanaokushtaki wanashahidi na unamjua kuwa kuna kipindi aliwahi kuchangnyikiwa au kufanya tukio lolote la uhalifu kabla, ni nafasi nzuri kuhoji uwezo na uadilifu wake.
View attachment 2881352
KabisaaHahahahaha sasa umeiweka vzr , nimeelewa
Shukrani mkuuMadini kama aya kwingine yanauzwa. Ila jamaa kayatoa bure. Asante sana.
Ha ha haSasa si ana cheti mirembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utakojoa utake usitake
Noma sanaYani mecheka balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nime screenshot nimuonyeshe wizzy