Mambo 10 utafundishwa ukiwa mahabusu

Mambo 10 utafundishwa ukiwa mahabusu

Toto lilikua ni zuri lile lina miguu ya bia hatari , limekwiva haswa, sema ndio hivyo mwezi nchanga.

Alikua akiniona tu nakatiza anachanganyikiwa kwa mayowe .
Mpka manesi na madr wa pale walikua wananitaniaga .
Unaweza fika nae gest akakuvuta sehemu za Siri au kukunyofoa
 
Hua wanajivunia cheti Cha mirembe
Umeona 🤣🤣🤣
Nna jirani yangu aliwahi kuugua uchizi ila kapona, lakini akiamua kutukana anatukana na anakwambia nna file langu mirembe wee nijibu uone 🤣🤣🤣
 
Umeona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nna jirani yangu aliwahi kuugua uchizi ila kapona, lakini akiamua kutukana anatukana na anakwambia nna file langu mirembe wee nijibu uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna jamaa alishapona ila Sasa akitaka demu anahonga ole wko umnyike k aisee anakufata na panga mbele ya mumeo , mbona utatoa na anataja pesa kubwa na kuanziasha vulumai Hadi utampa kwa aibu
 
Hiyo namba 9 kama umetenda kosa halafu ndugu wakakutetea kama huna afya ya akili kumbe una akili unaweza kujikuta uko milembe unakutana na wasio na akili kweli hapo ndio utajua hujui.
Hahahaha si kikubwa umeshatoka.
Hivi, kwa ambae hajawahi kukaa pale,asikie tu.

Mi siku zote najiulizaga mtu wa kwanza kugundua kwamba mtu ukimfungia sehemu na kumnyima uhuru ni adhabu kali, yeye alikuwa na akili timamu kweli? Siaminigi na sipatagi picha. Angenyongwa tu.

Na hili,ni wazi kwamba kuna watu wapo jera na wamehukumiwa kisa tu hawakuweza kujieleza
 
Kuna jamaa alishapona ila Sasa akitaka demu anahonga ole wko umnyike k aisee anakufata na panga mbele ya mumeo , mbona utatoa na anataja pesa kubwa na kuanziasha vulumai Hadi utampa kwa aibu
🤣🤣🤣🤣🤣 Wee embu niache mwenzio mbavu zinaniuma!! Missy Gf Joannah Tayana-wog Ms eyes mmeiona hii comment 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom