Mambo 10 utafundishwa ukiwa mahabusu

Mambo 10 utafundishwa ukiwa mahabusu

Wengine wana danganyana tu nmekua na case juzi ilkua PH...Accued wapo wa 5 kila wanacho ulizwa wana kataa wame kataa hadi majina yao .hadi records za siku iyo kwamba wame somewa wame kataa useless kabsa

Yana jibu kama ma zombie [emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa PH layman anajuaje😅
 
Jidanganye siku ukiwa na mashitaka mahakamani ukisomewa mashtaka ukae kimya uone kitakacho kukuta

Baada ya kusome mashtaka yako utaulizwa ni kweli au si kweli? Hapo ni lazima utoe jibu moja
 
Hiyo ya kujikuta milembe ndo hatari bff 🤣🤣🤣
Kuna siku tumeenda charity muhimbili pale kitengo cha walemavu wa akili
Basi tukapelekwa wodi moja imejaa wababa
Huyo baba mmoja akawa anaongea kwa nguvu eti
Dah yaani mke wangu Ana k...ma ngumu halafu anarudiarudia kwa nguvuuu
Nilijizuia kucheka nikashindwa 🤣🤣🤣🤣
 
Vichaa na wagonjwa wale wa umeme mwingi ukitembelea wodi zao unaweza kucheka bila kutarajia 🤣🤣🤣
Halafu wakali hao unaweza kupigwa
 
Kuna siku tumeenda charity muhimbili pale kitengo cha walemavu wa akili
Basi tukapelekwa wodi moja imejaa wababa
Huyo baba mmoja akawa anaongea kwa nguvu eti
Dah yaani mke wangu Ana k...ma ngumu halafu anarudiarudia kwa nguvuuu
Nilijizuia kucheka nikashindwa 🤣🤣🤣🤣
Hahahahahaha
 
Vichaa na wagonjwa wale wa umeme mwingi ukitembelea wodi zao unaweza kucheka bila kutarajia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu wakali hao unaweza kupigwa
Nilishawahi pendwa pale mirembe na kichaa mmoja mdada ni pisi hatari , yani ilikua ni shida kila akiniona , nilikua napita kwa aibu siku zote mpaka nikamalizaga kilicho nipeleka pale.
 
Kuna siku tumeenda charity muhimbili pale kitengo cha walemavu wa akili
Basi tukapelekwa wodi moja imejaa wababa
Huyo baba mmoja akawa anaongea kwa nguvu eti
Dah yaani mke wangu Ana k...ma ngumu halafu anarudiarudia kwa nguvuuu
Nilijizuia kucheka nikashindwa 🤣🤣🤣🤣
Nimepaliwa......🤣🤣🤣 Mungu anakuona🤣
 
Nilishawahi pendwa pale mirembe na kichaa mmoja mdada ni pisi hatari , yani ilikua ni shida kila akiniona , nilikua napita kwa aibu siku zote mpaka nikamalizaga kilicho nipeleka pale.
Kuna page umechana min-me hebu irudishe 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom