min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,987
- 166,212
Kwamba ningeweka ata kidole mkuu🤣🤣Ungempiga mpini tu.
Hicho ulichofanya ni unyanyasaji na ubaguzi😂😂
Kwamba ningeweka ata kidole mkuu🤣🤣Ungempiga mpini tu.
Hicho ulichofanya ni unyanyasaji na ubaguzi😂😂
😄😄Hujafanikiwa kuweka hata kidole? 🤣🤣🤣
Pipe kabisa😂😂 ukichaa uko sehemu gani kwani?Kwamba ningeweka ata kidole mkuu🤣🤣
Kuna fununu nasikia za vichaa zina joto hatari ukigusisha hata balbu inawaka 🤔🤔Pipe kabisa😂😂 ukichaa uko sehemu gani kwani?
Kwenye mazoezi kwa vitendo hilo somo la kutuliza kichaa kwa pipe ulipata ngapi?😂Kuna fununu nasikia za vichaa zina joto hatari ukigusisha hata balbu inawaka 🤔🤔
Apo nilifel kiongozi 🤣Wee
Kwenye mazoezi kwa vitendo hilo somo la kutuliza kichaa kwa pipe ulipata ngapi?😂
😂😂😂😂Apo nilifel kiongozi 🤣
[emoji1787][emoji1787]Apo nilifel kiongozi [emoji1787]
Ila usafi zeroKuna fununu nasikia za vichaa zina joto hatari ukigusisha hata balbu inawaka [emoji848][emoji848]
AngefungwaKwamba ningeweka ata kidole mkuu[emoji1787][emoji1787]
Yote we sema tu sijui tuamini lipiNmetania tu mkuu[emoji16][emoji16][emoji16] nisije kuandika kitu humu mkaona kichaa kimepanda[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kipndi hicho nilikua kwenye mazoezi kwa vitendo kwa kozi niliyokua nasomea.
Kisheria ikoje hiiIla wanaume huwa nao ni machizi hata hao ulio nao home. Maana machizi wa kike wanazalishwa lkn machizi ya kiume hayapati mzigo kwa mwanmke asiiye chizi[emoji2955]
Ishu ni pesa tuIla wanaume huwa nao ni machizi hata hao ulio nao home. Maana machizi wa kike wanazalishwa lkn machizi ya kiume hayapati mzigo kwa mwanmke asiiye chizi[emoji2955]
Ugonjwa wa akili ni janga ambalo hata ukipona huaminiki tenaPole mkuu.
Kwa hiyo usipotumia hiyo dawa ulikuwa unaonaje?
Mwaka 2018 tulikuwa semina na dada mmoja mzuri tu, sasa tukawa tumejitenga ule muda wa chakula. Nikaona muda wa chakula kabla ya kula anakunywa dawa fulani anasema anaweka sawa kichwa, ndio akawa ananichekesha anasema yeye anatumia dawa za akili japo aliongea kwa lugha fulani ya kufurahisha kuhusu kichwa chake.
Mimi binafsi niliona ananidanganya, ila nilikuja kuamini ndani wakati wa kutoa mada akijitolea mfano yeye mwenyewe na namna jamii inavyowachukulia mahali pa kazi kwamba anaweza kufanya kosa ambalo hata mwingine angetenda, ila yeye atachukuliwa tofauti kwamba katenda kwa ajili ya hali yake.
Za Tz ni kosa lkn sisi ma bushlawyer ni kutimizia haja za msingi🏃♂️🏃♂️Kisheria ikoje hii
Ungefika huko ungejutaSasa wodi ya madume machizi ambayo hayajukatana na vipapa muda mrefu niende nikafanye nini na sio dr.?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa mkuuNi rahisi kutoka Mirembe kuliko kutoka Jela.
DuuuZa Tz ni kosa lkn sisi ma bushlawyer ni kutimizia haja za msingi[emoji2089][emoji2089]
Hua wanajivunia cheti Cha mirembeMachizi ni machizi, yanaweza kufanya chochote na hayana makosa ooho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]