george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,034
- Thread starter
- #161
Asante mkuuUzi mzuri
Asante mkuuUzi mzuri
Kabisa alafu ndio vile ana file lakeAhhh weee nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti anakujia na panga
Hatareee watu wana mabalaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jmn
Oh! Ele madah siday' naaleng' Hii mada ni nzuri sana - Asante mtoa mada Ubarikiwe sanna.Mambo kumi yakuzingatia wakati upo sero ukijiandaa kesho kupanda mahakamani
1:Kama unahojiwa na Wakili Mahakamani usijibu bila kutafakari alichokuuliza
2: Wakili asikuogopeshe kwa ukali, anapokuuliza kwani ukali hulenga kuleta paniki na kukusahaulisha ulichopanga kusema
3: Usilazimishe kujibu kitu ambacho hukijui ni bora kusema sijui kuliko kulazimisha kujibu
4: Usipaniki kiasi cha kutoa neno lolote la kashfa, kejeli, au tusi mahakamani unaweza kuongeza kosa la kuidharau Mahakama
5: Kama hukuelewa vizuri kosa ulilosomewa ni bora kukaa kimya, kwakuwa ukikaa kimya unaandikiwa umekataa kosa
6: Kanuni ya sheria ni kuwa, ni kazi ya aliyekushitaki kuthibitisha kwa ushahidi kuwa umetenda kosa na si kazi yako kuthibitisha kuwa haujatenda kosa
7: Kama ulitenda kosa katika harakati za kujitetea usidhuriwe iambie mahakama kuwa ulitenda kosa ukijilinda (self defence) inaruhusiwa, hata kama uliua waweza kuachiwa
8: Kama ndugu yako hana akili timamu na ametenda kosa iambie mahakama. Hii ni kwasababu kutokuwa na utimamu wa akili ni kinga inabidi aachiwe lakini hatarudi nyumbani atapelekwa vituo vya wasio na akili
9: Inakubalika na ukaachiwa huru kusema kuwa sikuwa eneo la tukio wakati likitokea kama kweli haukuwapo
10: Kama wanaokushtaki wanashahidi na unamjua kuwa kuna kipindi aliwahi kuchangnyikiwa au kufanya tukio lolote la uhalifu kabla, ni nafasi nzuri kuhoji uwezo na uadilifu wake.
View attachment 2881352
Hiyo #5 naomba urudie kuifafanua.Mambo kumi yakuzingatia wakati upo sero ukijiandaa kesho kupanda mahakamani

Na Mimi naomba hizo dawa🤣🤣🤣🤣Nilikua nafuata dawa moja inaitwa haloperidol( antipsychotics) kwa ajili ya kutuliza kichaa changu , mwezi ukiwa mpevu mambo si mambo.
Unadhani utetezi wa kughushi ni rahisi namna hiyo?Hiyo namba 9 kama umetenda kosa halafu ndugu wakakutetea kama huna afya ya akili kumbe una akili unaweza kujikuta uko milembe unakutana na wasio na akili kweli hapo ndio utajua hujui.
Uje nikupatie 😊😊Na Mimi naomba hizo dawa🤣🤣🤣🤣
Week ya sheria hii, madini yote ya kisheria yanatakiwa kutolewa bure kila mahali!!Madini kama aya kwingine yanauzwa. Ila jamaa kayatoa bure. Asante sana.
Wakili bila pesa hawezi fatilia kesi yako, maana nae anategemea kumu honga Hakimu ili ashinde kesi yako!!Cha muhimu ni kua na Wakili atakae fatilia kesi yko
🤣🤣🤣🤣 upanga huo vipi🤣🤣🤣🤣🤣 Wee embu niache mwenzio mbavu zinaniuma!! Missy Gf Joannah Tayana-wog Ms eyes mmeiona hii comment 🤣🤣🤣🤣
Wangeanza kwanza na mtu aliegundua kuwa kabichi ni Mboga, ndio afuate huyu aliegundua magereza.siku zote najiulizaga mtu wa kwanza kugundua kwamba mtu ukimfungia sehemu na kumnyima uhuru ni adhabu kali, yeye alikuwa na akili timamu kweli? Siaminigi na sipatagi picha. Angenyongwa tu.
Hiyo si shida kwa sababu,utakuta inaliwa hapa,kule hata haijulikani.Wangeanza kwanza na mtu aliegundua kuwa kabichi ni Mboga, ndio afuate huyu aliegundua magereza.
Unaitwa utatoa hutoi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 upanga huo vipi
Dah nimecheka sana mamamaeKuna siku tumeenda charity muhimbili pale kitengo cha walemavu wa akili
Basi tukapelekwa wodi moja imejaa wababa
Huyo baba mmoja akawa anaongea kwa nguvu eti
Dah yaani mke wangu Ana k...ma ngumu halafu anarudiarudia kwa nguvuuu
Nilijizuia kucheka nikashindwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo pipa likijibu ndo utajuwa maana ya hiyo picha MkuuEbwana bonge la bafu la kistailo,ntatoa sumwhere kitu kama hiyo.