george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,034
- Thread starter
- #181
Jamaa yg aliwaka baada ya kuambiwa file limepotea , weeee mshtakiwa alivokua fala akatoka nje na kujitapata ametoa rushwa file limepotea wahuni wakamlekodi , uthibisho ukapelekwa kwa hakimu jamaa kidogo ale wiki mbili , likatafutwa file likaonekana jamaa akapigwa mwaka mmoja na fine juuomba tu usiwe na kesi na mtu ana influence ya hela au cheo
haki inapindishwa