Mambo 10 utafundishwa ukiwa mahabusu

Mambo 10 utafundishwa ukiwa mahabusu

Nilishawahi pendwa pale mirembe na kichaa mmoja mdada ni pisi hatari , yani ilikua ni shida kila akiniona , nilikua napita kwa aibu siku zote mpaka nikamalizaga kilicho nipeleka pale.
We mirembe ulikuwa unapita pita kuelekea wapi? 🤣🤣🤣
 
6: Kanuni ya sheria ni kuwa, ni kazi ya aliyekushitaki kuthibitisha kwa ushahidi kuwa umetenda kosa na si kazi yako kuthibitisha kuwa haujatenda kosa
Kanuni hio ndio inayofanya watu wengi wengine wanafungwa kwa makosa ya kusingiziwa, na wanaoijua wanaitumia vyema kuwafunga watu lupango ni kanuni mbaya mno akishatengeneza ushahida wa uongo unaoendana na ukweli kwa kuwaandaa mashahidi wa uongo hauna pa kutokea km hauna Shahidi anaekutetea upande wako umekwisha hata ukikata rufaa hauchomoki
 
Ujumbe mzuri ...Kuna watu wanataka kubishana mpaka mahakamani
Hujawahi kusingiziwa wewe ukisingiziwa Jambo hujatenda alafu wanalazimisha umetenda wewe ndio utajua nini maana ya kubisha, alafu mahakama haipo kwa ajili ya kukubari kila kitu yaan wewe unaambiwa umeua hata km umeua kweli mahakamani unaweza ukakanwa shitaka ukasema sijaua Mimi kwa hio ni kazi ya aliekushtaki ku-prove kwamba ni kweli wewe ndio ulieua aonyeshe uliua vipi pasina kuacha Shaka yoyote, Ila hapo wanaweza wakatengenezwa mashahidi wa uongo na kuna step ukikosea tu unatiwa hatiani unaenda kunyea Debe ndio maana unatakiwa uwe na Wakili anaekusimamia ambae anajua hapa ujibu na hapa usijibu maana ukijibujibu tu unajifunga mwenyewe maana wanakuuliza maswali ya kujifunga ukijibu ovyo ovyo TU bila kujua unachojibu ndio kifungo chako hukumu ikija inasomwa kuendana na vile ulivyokua unajibu maswali
 
Hapo sasa ndio unafungwa bila ya kujijua japo hauna kosa.
 
Akili
Kuna siku tumeenda charity muhimbili pale kitengo cha walemavu wa akili
Basi tukapelekwa wodi moja imejaa wababa
Huyo baba mmoja akawa anaongea kwa nguvu eti
Dah yaani mke wangu Ana k...ma ngumu halafu anarudiarudia kwa nguvuuu
Nilijizuia kucheka nikashindwa 🤣🤣🤣🤣
😀😀😀😀
Nimecheka kwa sauti.
Akili yako naijua mwenyewe
Kuna siku tumeenda charity muhimbili pale kitengo cha walemavu wa akili
Basi tukapelekwa wodi moja imejaa wababa
Huyo baba mmoja akawa anaongea kwa nguvu eti
Dah yaani mke wangu Ana k...ma ngumu halafu anarudiarudia kwa nguvuuu
Nilijizuia
 
Mambo kumi yakuzingatia wakati upo sero ukijiandaa kesho kupanda mahakamani

1:Kama unahojiwa na Wakili Mahakamani usijibu bila kutafakari alichokuuliza

2: Wakili asikuogopeshe kwa ukali, anapokuuliza kwani ukali hulenga kuleta paniki na kukusahaulisha ulichopanga kusema

3: Usilazimishe kujibu kitu ambacho hukijui ni bora kusema sijui kuliko kulazimisha kujibu

4: Usipaniki kiasi cha kutoa neno lolote la kashfa, kejeli, au tusi mahakamani unaweza kuongeza kosa la kuidharau Mahakama

5: Kama hukuelewa vizuri kosa ulilosomewa ni bora kukaa kimya, kwakuwa ukikaa kimya unaandikiwa umekataa kosa

6: Kanuni ya sheria ni kuwa, ni kazi ya aliyekushitaki kuthibitisha kwa ushahidi kuwa umetenda kosa na si kazi yako kuthibitisha kuwa haujatenda kosa

7: Kama ulitenda kosa katika harakati za kujitetea usidhuriwe iambie mahakama kuwa ulitenda kosa ukijilinda (self defence) inaruhusiwa, hata kama uliua waweza kuachiwa

8: Kama ndugu yako hana akili timamu na ametenda kosa iambie mahakama. Hii ni kwasababu kutokuwa na utimamu wa akili ni kinga inabidi aachiwe lakini hatarudi nyumbani atapelekwa vituo vya wasio na akili

9: Inakubalika na ukaachiwa huru kusema kuwa sikuwa eneo la tukio wakati likitokea kama kweli haukuwapo

10: Kama wanaokushtaki wanashahidi na unamjua kuwa kuna kipindi aliwahi kuchangnyikiwa au kufanya tukio lolote la uhalifu kabla, ni nafasi nzuri kuhoji uwezo na uadilifu wake.

View attachment 2881352
Ujumbe murua siku ya maandamano
 
Toto lilikua ni zuri lile lina miguu ya bia hatari , limekwiva haswa, sema ndio hivyo mwezi nchanga.

Alikua akiniona tu nakatiza anachanganyikiwa kwa mayowe .
Mpka manesi na madr wa pale walikua wananitaniaga .
Hujafanikiwa kuweka hata kidole? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom