Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,186
- 10,486
Kweli umerudi kwa nguvu shem😂😂 aweke wapi sasa?Hujafanikiwa kuweka hata kidole? 🤣🤣🤣
Kweli umerudi kwa nguvu shem😂😂 aweke wapi sasa?Hujafanikiwa kuweka hata kidole? 🤣🤣🤣
Ni rahisi kutoka Mirembe kuliko kutoka Jela.Hiyo namba 9 kama umetenda kosa halafu ndugu wakakutetea kama huna afya ya akili kumbe una akili unaweza kujikuta uko milembe unakutana na wasio na akili kweli hapo ndio utajua hujui.
🤣🤣🤣 kwenye kichwa cha mgonjwa ampatie uponyajiKweli umerudi kwa nguvu shem😂😂 aweke wapi sasa?
Hivi ikija kukutokea umetembelea wewe hiyo wodi ya wanaume halafu ghafula ukashikwa halafu ukashangaa kichwa kinacha wavu utajitikisa au unatulia Dr aje?🏃♂️🏃♂️🏃♂️🤣🤣🤣 kwenye kichwa cha mgonjwa ampatie uponyaji
Sasa wodi ya madume machizi ambayo hayajukatana na vipapa muda mrefu niende nikafanye nini na sio dr.?!! 🤣🤣🤣Hivi ikija kukutokea umetembelea wewe hiyo wodi ya wanaume halafu ghafula ukashikwa halafu ukashangaa kichwa kinacha wavu utajitikisa au unatulia Dr aje?🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Pole mkuu.Nilikua nafuata dawa moja inaitwa haloperidol( antipsychotics) kwa ajili ya kutuliza kichaa changu , mwezi ukiwa mpevu mambo si mambo.
Just charity. Wale wazungu huwa wako hapo kwa hapo😀Sasa wodi ya madume machizi ambayo hayajukatana na vipapa muda mrefu niende nikafanye nini na sio dr.?!! 🤣🤣🤣
Charity nikacheze na machizi tena madume yanayokula yameshiba.?! Wee Thubutuuuuu 🤣🤣🤣🤣Just charity. Wale wazungu huwa wako hapo kwa hapo😀
Hahaaaa😂😂😂Charity nikacheze na machizi tena madume yanayokula yameshiba.?! Wee Thubutuuuuu 🤣🤣🤣🤣
Machizi ni machizi, yanaweza kufanya chochote na hayana makosa ooho 🤣🤣🤣Hahaaaa😂😂😂
Yaani ukitulia sawa. Ukijitisha ndio unanogesha
Ila wanaume huwa nao ni machizi hata hao ulio nao home. Maana machizi wa kike wanazalishwa lkn machizi ya kiume hayapati mzigo kwa mwanmke asiiye chizi🤨Machizi ni machizi, yanaweza kufanya chochote na hayana makosa ooho 🤣🤣🤣
Home hakuna machizi. Wapo machizi yanabaka mtaani mbonaIla wanaume huwa nao ni machizi hata hao ulio nao home. Maana machizi wa kike wanazalishwa lkn machizi ya kiume hayapati mzigo kwa mwanmke asiiye chizi🤨
Home hakuna machizi. Wapo machizi yanabaka mtaani mbon
Wanaume wenye akili zao timamu, wanaume wanaendeshwa na vichwa viwili tatizoWee inamaana machizi wa kike nani anapiga ujamwepesi
Sikujua kama wanaume wana vichwa viwili. Ndio maana wanaendesha duniaWanaume wenye akili zao timamu, wanaume wanaendeshwa na vichwa viwili tatizo
🤣🤣🤣 kwaheriSikujua kama wanaume wana vichwa viwili. Ndio maana wanaendesha dunia
Ya kuonana😂😂🏃♂️🏃♂️🤣🤣🤣 kwaheri
Hujafanikiwa kuweka hata
Nmetania tu mkuu😁😁😁 nisije kuandika kitu humu mkaona kichaa kimepanda🤣🤣🤣.Pole mkuu.
Kwa hiyo usipotumia hiyo dawa ulikuwa unaonaje?
Mwaka 2018 tulikuwa semina na dada mmoja mzuri tu, sasa tukawa tumejitenga ule muda wa chakula. Nikaona muda wa chakula kabla ya kula anakunywa dawa fulani anasema anaweka sawa kichwa, ndio akawa ananichekesha anasema yeye anatumia dawa za akili japo aliongea kwa lugha fulani ya kufurahisha kuhusu kichwa chake.
Mimi binafsi niliona ananidanganya, ila nilikuja kuamini ndani wakati wa kutoa mada akijitolea mfano yeye mwenyewe na namna jamii inavyowachukulia mahali pa kazi kwamba anaweza kufanya kosa ambalo hata mwingine angetenda, ila yeye atachukuliwa tofauti kwamba katenda kwa ajili ya hali yake.
For colleague kujua sawaa je kwa Layman ambaye hana knowledge ya Sheria kabisa