The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,251
- 20,486
Hamna bana siyo kweli labda weweSote ni wafungwa na wahalifu wa kesho.
Uzi mzuri unafundisha.
NB. Tunaomba wanasheria mpite hapa kugongelea misumari zaidi.
Hamna bana siyo kweli labda weweSote ni wafungwa na wahalifu wa kesho.
Uzi mzuri unafundisha.
NB. Tunaomba wanasheria mpite hapa kugongelea misumari zaidi.
Tupo pamoja mdauBandiko zuri ubarikiwe ndugu
Kabisaa mkuu11.Kusoma PGO na vitabu na sheria ni muhimu na ujifunze kupitia kesi zingine
Pamoja mkuuNimenote
Ha ha ha haya mkuuAsante kwa bandiko zuri!
Namba 10 ni tamu zaidi.
Pamoja ..haya mambo ni kufundisha na kukumbushanaKabisaa mkuu
Yaani pale ni noma unapigwa wiki mbili kwa kusonya tuHakuna kosa dogo mbele ya mahakama hata kama huna kosa ukijichanganya unaweza enda selo.
Aminakaka tunashukuru kwa bandiko zuri ubarikiwe
Kabisa mkuu
Kabisa mkuuSote ni wafungwa na wahalifu wa kesho.
Uzi mzuri unafundisha.
NB. Tunaomba wanasheria mpite hapa kugongelea misumari zaidi.
Tena sanaaTusiojua sheria haya mabandika huwa tunayahitaji sana
UmeonaeeEbwana bonge la bafu la kistailo,ntatoa sumwhere kitu kama hiyo.
😂😂😂 NimechekaHiyo namba 9 kama umetenda kosa halafu ndugu wakakutetea kama huna afya ya akili kumbe una akili unaweza kujikuta uko milembe unakutana na wasio na akili kweli hapo ndio utajua hujui.
Huwezi juaWengine wana danganyana tu nmekua na case juzi ilkua PH...Accued wapo wa 5 kila wanacho ulizwa wana kataa wame kataa hadi majina yao .hadi records za siku iyo kwamba wame somewa wame kataa useless kabsa
Yana jibu kama ma zombie [emoji28][emoji28][emoji28]
Kabisa mkuuHiyo picha ndo nimeipenda.
Wazee wa mazabe huu Uzi ni mzuri kwetu
Kabisaa mkuuPamoja ..haya mambo ni kufundisha na kukumbushana
KabisaaUjumbe mzuri ...Kuna watu wanataka kubishana mpaka mahakamani
Unaungwa kwa kauli zkoNi sahihi kabisa
PamojaSawa