Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha | Page 9 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Candid Scope, May 30, 2015.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2015
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,893
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG]
  Alalamika alimsaidia Kikwete Kampeni za urais lakini sasa yeye ametoswa

  MAMBO 10 NILIYOJIFUNZA KWENYE "SANAA ZA MAONESHO" ZA LOWASSA.


  By Malisa GJ,

  1. Asilimia zaidi ya 90% ya watu waliokuwepo uwanjani wamegharamiwa. Bodaboda walilipwa, Wanafunzi walisafirishwa, Waandishi walilipwa. Wachache walioenda kwa hiari yao walienda kushangaa tu wala sio mashabiki wa Lowassa. This is to say ikiwa Lowassa asingetumia pesa huenda uwanjani angekua yeye na familia yake tu.

  2. Wengi wanaomuunga mkono Lowassa ni "opportunists". Ni watu wanaotegemea akiingia madarakani awakumbuke. Either awape vyeo au awape unafuu kwenye biashara zao. Hakuna yeyote kwny kundi la Lowassa anayemuunga mkono kwa lengo la kuisaidia nchi.

  3. Afya ya Eddo imedhoofu sn kuweza kuwa Rais wa nchi. Alipoingia uwanjani ameshindwa kupanda ngazi za jukwaa, akasimama katikati ya ngazi kwa dakika chache kabla ya kusaidiwa kupanda. Pia anaongea kwa Shida, na mikono yake haina nguvu. Hali hii imesababisha ashindwe kushika microphone alipopewa "mike" na Kibonde.

  4. Mkutano wa Lowassa leo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine. Kuna watu wamepata hela ya kulipa mahari kupitia mkutano huu, kuna waliopata mitaji ya kukuza biashara zao na kuna waliopata lift za bure za kwenda Arusha kufanya mambo yao. Hii inaitwa "mbwa kala mbwa"

  5. Kutokana na maelezo ya Eddo ni wazi kuwa ana "bifu" na JK. Amekiri kuwa alimpigania sn Kikwete 1995 na 2005 lakini inavyoonekana JK amemsaliti.

  6. Akiingia madarakani atalipiza kisasi kwa wabaya wake wote hasa Samuel Sitta, Anthony Diallo na vibaraka wao wote. Ikiwa Eddo atashinda kuna dalili Sitta, Dialo, Makonda, na vibaraka wengine wa CCM wakaishia jela.!

  7. Mkutano wa leo ulikua ni mkwara wa kuionesha Kamati kuu ya chama chake kuwa ana nguvu kiasi gani, ili wasijaribu kabisa kukata jina lake wakihofia kukipasua chama.

  8. Safari ya matumaini ni safari ya matamanio. Au unaweza kuiita safari ya matumizi. Huwezi kutumia 1.4 bilion for just a single day wakati kuna watu wanakufa kwa kukosa "padadol" ya shilingi mia halafu ukasema ni matumaini. Labda matumaini ya kuuza nchi.!

  9. Ikiwa Eddo atashinda Yuko tayari kutumia rasilimali za nchi ili kulipa fadhila kwa rafiki zake waliomuunga mkono wakati wa kugombea. Kwa mfano yupo tayari kumgawia Mengi vitalu vya gesi Mtwara na kuwaacha watanzania wasinufaike na gesi yao kisa tu Mengi alimpa support kwny kugombea.

  10. Lowassa ni msanii mzuri wa sanaa za maonesho. Ametumia makundi yote mawili ktk kufanikisha azma yake. Kundi la Maskini na kundi la matajiri.Ametumia maskini kwa kuwaahidi kuwa atawabana matajiri walipe kodi ili kuboresha maisha ya maskini.

  Na ametumia matajiri akiwaahidi kuwa atawabana maskini ili wasipige kelele wakati anawagawia matajiri rasilimali za nchi. Hii ni sanaa. Ha hakika hapa Eddo ameitumia vizuri elimu yake ya sanaa ya chuo kikuu cha Dar es Salaam. (B.A in Fine &Perfoming Arts).!

  NB: Watanzania hawawezi kuruhusu kumpa nchi hii "msanii". Nchi hii inatakiwa kuongozwa na mtu "real". Na mtu real hawezi kupatikana kwingine nje ya UKAWA.!

  #SAY_NO_TO_SANAA
  #SAY_NO_TO_CCM
  #BE_REAL . #VOTE_FOR_UKAWA .
   
 2. k

  kanone JF-Expert Member

  #161
  Aug 25, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  unachekesha ,nakupa pole wewe ulipewa bango na linakutesa kulisambaza
  wakati nyerer anatoa taifa hili utumwani wewe ulibaki wapi kiasi cha kuuza utu wako na kuwa mtumwa,unazalilisha ujana wako ambo hata mungu ameubariki kwa kufanya kazi za ovyo tu,

   
 3. k

  kanone JF-Expert Member

  #162
  Aug 25, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  asiye na jipya ni mnyika na slaa na nyaraka za lowasa na richmond zilizowapa sifa wakati leo wamefyata mkia,aibu kwa unafiki ,wape salamu boy,

   
 4. k

  kanone JF-Expert Member

  #163
  Aug 25, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  hauwezi kunielewa wewe ni wajana kwenye siasa za nchi hii kamwambie mafya wako lowasa na kundi lake la kishetani,
   
 5. Legend Hax

  Legend Hax Member

  #164
  Aug 25, 2015
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Wanaongea wengi lakini UKAWA ndo chama ya ukwefenga na Lowassa ndo Rahisi.
   
 6. Mussolin5

  Mussolin5 JF-Expert Member

  #165
  May 8, 2018
  Joined: Apr 23, 2015
  Messages: 17,380
  Likes Received: 61,535
  Trophy Points: 280
  hahaha...
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...