Elections 2015 Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha

Hahahaaaaa wahenga waliosema 'tuweke akiba ya maneno' hawakuwa wajinga..
Hivi malisa akisoma maneno yake ya miaka 3 iliyopita anajiskiaje?

Ndio maana sijawahi kumuamini mwanasiasa
 
Mwandishi wa hii makala kumbe ni yule Masawe Melisa anaye muabudu Slaa na Mbowe.....sijaona cha maana hapo bali hadithi za Bavicha...
Nafikiri nikisema vijana wasiwe wanakubali kupelekwa na upepo wa vyama vyao bali wadadavuwe na kuchanganua ukweli huwa ni ngumu kueleweka.

Ona sasa,mleta uzi alikuwa anamkandia na kumzushia Lowassa kwasababu tu alikuwa sio mwanachama wa chama chake.

Wewe pia ulikuwa unampinga mleta uzi kwasababu tu alikuwa anamsema mtu wa chama chako.

Kilichotokea ni historia.
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom