Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha | Page 8 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Candid Scope, May 30, 2015.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2015
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,893
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG]
  Alalamika alimsaidia Kikwete Kampeni za urais lakini sasa yeye ametoswa

  MAMBO 10 NILIYOJIFUNZA KWENYE "SANAA ZA MAONESHO" ZA LOWASSA.


  By Malisa GJ,

  1. Asilimia zaidi ya 90% ya watu waliokuwepo uwanjani wamegharamiwa. Bodaboda walilipwa, Wanafunzi walisafirishwa, Waandishi walilipwa. Wachache walioenda kwa hiari yao walienda kushangaa tu wala sio mashabiki wa Lowassa. This is to say ikiwa Lowassa asingetumia pesa huenda uwanjani angekua yeye na familia yake tu.

  2. Wengi wanaomuunga mkono Lowassa ni "opportunists". Ni watu wanaotegemea akiingia madarakani awakumbuke. Either awape vyeo au awape unafuu kwenye biashara zao. Hakuna yeyote kwny kundi la Lowassa anayemuunga mkono kwa lengo la kuisaidia nchi.

  3. Afya ya Eddo imedhoofu sn kuweza kuwa Rais wa nchi. Alipoingia uwanjani ameshindwa kupanda ngazi za jukwaa, akasimama katikati ya ngazi kwa dakika chache kabla ya kusaidiwa kupanda. Pia anaongea kwa Shida, na mikono yake haina nguvu. Hali hii imesababisha ashindwe kushika microphone alipopewa "mike" na Kibonde.

  4. Mkutano wa Lowassa leo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine. Kuna watu wamepata hela ya kulipa mahari kupitia mkutano huu, kuna waliopata mitaji ya kukuza biashara zao na kuna waliopata lift za bure za kwenda Arusha kufanya mambo yao. Hii inaitwa "mbwa kala mbwa"

  5. Kutokana na maelezo ya Eddo ni wazi kuwa ana "bifu" na JK. Amekiri kuwa alimpigania sn Kikwete 1995 na 2005 lakini inavyoonekana JK amemsaliti.

  6. Akiingia madarakani atalipiza kisasi kwa wabaya wake wote hasa Samuel Sitta, Anthony Diallo na vibaraka wao wote. Ikiwa Eddo atashinda kuna dalili Sitta, Dialo, Makonda, na vibaraka wengine wa CCM wakaishia jela.!

  7. Mkutano wa leo ulikua ni mkwara wa kuionesha Kamati kuu ya chama chake kuwa ana nguvu kiasi gani, ili wasijaribu kabisa kukata jina lake wakihofia kukipasua chama.

  8. Safari ya matumaini ni safari ya matamanio. Au unaweza kuiita safari ya matumizi. Huwezi kutumia 1.4 bilion for just a single day wakati kuna watu wanakufa kwa kukosa "padadol" ya shilingi mia halafu ukasema ni matumaini. Labda matumaini ya kuuza nchi.!

  9. Ikiwa Eddo atashinda Yuko tayari kutumia rasilimali za nchi ili kulipa fadhila kwa rafiki zake waliomuunga mkono wakati wa kugombea. Kwa mfano yupo tayari kumgawia Mengi vitalu vya gesi Mtwara na kuwaacha watanzania wasinufaike na gesi yao kisa tu Mengi alimpa support kwny kugombea.

  10. Lowassa ni msanii mzuri wa sanaa za maonesho. Ametumia makundi yote mawili ktk kufanikisha azma yake. Kundi la Maskini na kundi la matajiri.Ametumia maskini kwa kuwaahidi kuwa atawabana matajiri walipe kodi ili kuboresha maisha ya maskini.

  Na ametumia matajiri akiwaahidi kuwa atawabana maskini ili wasipige kelele wakati anawagawia matajiri rasilimali za nchi. Hii ni sanaa. Ha hakika hapa Eddo ameitumia vizuri elimu yake ya sanaa ya chuo kikuu cha Dar es Salaam. (B.A in Fine &Perfoming Arts).!

  NB: Watanzania hawawezi kuruhusu kumpa nchi hii "msanii". Nchi hii inatakiwa kuongozwa na mtu "real". Na mtu real hawezi kupatikana kwingine nje ya UKAWA.!

  #SAY_NO_TO_SANAA
  #SAY_NO_TO_CCM
  #BE_REAL . #VOTE_FOR_UKAWA .
   
 2. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #141
  Aug 25, 2015
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,084
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  atangaze era sio kuzurura zurura ovyo,mwenzake yuko mikoani kwa wapiga kura anamwaga sera anasepa mkoa kwa mkoa kiji kwa kijiji
   
 3. master mind himself

  master mind himself Senior Member

  #142
  Aug 25, 2015
  Joined: Jul 18, 2015
  Messages: 152
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umekula mabalachichi yaliyo oza ona sasa unavyo halisha popompoo mkubwa wewe
   
 4. MAHANJU

  MAHANJU JF-Expert Member

  #143
  Aug 25, 2015
  Joined: Aug 26, 2014
  Messages: 4,871
  Likes Received: 5,019
  Trophy Points: 280
  Ukiandika matusi haya humu unafikiri utabadilisha mawazo ya watu?
  Watu wanataka mabadiliko!
   
 5. mdukuzi

  mdukuzi JF-Expert Member

  #144
  Aug 25, 2015
  Joined: Jan 4, 2014
  Messages: 5,386
  Likes Received: 4,258
  Trophy Points: 280
  mwaka huu hamtalala
   
 6. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #145
  Aug 25, 2015
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,084
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Huyo aliendika huu uzi ni mwanachadema,hao ndio watu wa slaa,sio nyie team lowassa wakuja mlioingia chadema wiki iliyopita! mtafute huyo malisa umalize hasira zake,usipasue keyboard bure kwa jazba!
   
 7. k

  kanone JF-Expert Member

  #146
  Aug 25, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  alishanza kuripiza kisasi umesahau ya mwakyembe na magula na leo umesikia ya polepole,
  huyu lowasa na mtandao ni hatari kwa taifa letu,ni mafya wa hatari

   
 8. Rohombaya

  Rohombaya JF-Expert Member

  #147
  Aug 25, 2015
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 8,906
  Likes Received: 3,650
  Trophy Points: 280
  Khaa!! Tutegemee kuwa na mikoa 300 na wilaya 8000!
   
 9. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #148
  Aug 25, 2015
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 10. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #149
  Aug 25, 2015
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,084
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Imenadikwa na malisa GJ,Najua siwezi kubadili mawazo yako wewe sio ya watu
   
 11. PRINCE CROWN

  PRINCE CROWN JF-Expert Member

  #150
  Aug 25, 2015
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 4,497
  Likes Received: 1,554
  Trophy Points: 280
  nenda kidirishani ukalipwe ujira wa mwia,
   
 12. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #151
  Aug 25, 2015
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 13. k

  kanone JF-Expert Member

  #152
  Aug 25, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  mabadiriko ya kuwapa sumu watu
  1,mwakyembe na leo polepole kuvamiwa,ni upuuzi tu hat mungu hapendi

   
 14. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #153
  Aug 25, 2015
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 15. Coke Zero

  Coke Zero JF-Expert Member

  #154
  Aug 25, 2015
  Joined: Mar 30, 2015
  Messages: 1,031
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Hawa wa juzi tunawaita NYUMBU
   
 16. MAHANJU

  MAHANJU JF-Expert Member

  #155
  Aug 25, 2015
  Joined: Aug 26, 2014
  Messages: 4,871
  Likes Received: 5,019
  Trophy Points: 280
  Hueleweki wewe!
   
 17. gimmy's

  gimmy's JF-Expert Member

  #156
  Aug 25, 2015
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 2,414
  Likes Received: 1,196
  Trophy Points: 280
  (11)Konda wa daladala alieombwa kufanya nae maigizo yakurudishiwa change kapiga bingo mbaya kwenye igizo moja tu hii ni hatariiii
  (12)Gongo la mboto huko vichochoroni alikua kama bwana pepsi ukipata bahati yakukutana nae tu mfukoni ni shiidaaa
   
 18. k

  kanone JF-Expert Member

  #157
  Aug 25, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  mwafrika leo posho yako uliyolipwa inakutesa na bango lako,

  weka na nyaraka za richmond alizokuwa anatamba nazo slaa na mnyika au hata hilo haulijui maana wangine ni 4u wajana baada ya kununuliwa wafanye propaganda wakati hawaelewi yaliyojili huko nyuma
  ,unatia aibu ,kijana kununuliwa wakati mungu amekupa karama na vipawa vyote ni aibu mbele za mungu na malipo yake lazima yakukute tu ,
  jitambue linda utu wako na falsafa ya maisha yako,maana naona masharti ya kusambaza hili bango lako uliyopewa yanakutesa sana boy
   
 19. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #158
  Aug 25, 2015
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  tulia dozi ifanye kazi
   
 20. k

  kanone JF-Expert Member

  #159
  Aug 25, 2015
  Joined: Oct 10, 2013
  Messages: 6,197
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  unajua lowasa maigizo hajayaanza leo hata shahada yake ni ya maigizo ,a,k,a sanaa
  unajua unapoona kiongozi anajikita kwenye maigizo badara ya kutengemea majukwaa ya wasomi kuwashawishi ili wampe kura ni hatari sana maana atakuwa rais wa maingizo tu,wajinga wanaona yaani kama vile ni kituko cha karne lkn mimi limemuuliza mtu swali ameshidwa kunipa jibu maana nilimkuta sehemu anashangilia ,
  nikamwambia
  je lowasa akiwa waziri mkuu uliwai kusikia amepanga daradara ,? Na wakati kipindi hicho ndo hilikuwa kazi yake kwa wakati huo? Amebaki hana cha kujibu nikamwambia k]jitambue acha kuuza kurayako kwaq maigizo ya wanasiasa maana na wenygine walikuwa na nyaraka za richmond wanatamba nazo leo hawana cha kusema tu ni aibu,

   
 21. k

  killian2016 New Member

  #160
  Aug 25, 2015
  Joined: May 28, 2015
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huna jipya
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...