mama zetu punguzeni huruma!

Hapa issue si umama bali imani ya mhusika. Huyo hanyonyeshi ndama bali muungu wake. Nani atakataa kumhudumia muungu wake? Imani nyingine ni bangi tupu.
 
Hapa issue si umama bali imani ya mhusika. Huyo hanyonyeshi ndama bali muungu wake. Nani atakataa kumhudumia muungu wake? Imani nyingine ni bangi tupu.
kumbe imani kiongozi!!mi nilidhani ndo huruma!!kwa imani za hivi nitaendelea kwenda sabato bila kuchoka!
 
Heeee mpaka ashibe huyo mama hoi

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Imani nyengine bana...yaani riziki ya mungu ya kula apewe na mja wake...

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Nyie mbona mnakunywa maziwa ya ng'ombe ?
 
huyo mama hapo anajistarehesha kwa kutumia kinywa cha ndama huyo. Hapo ni nipe nikupe.
 
Msahafu unasema " katika wema wenu tini na maarifa......."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…