Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 603 Sep 29, 2012 #21 wakati mwenzako hapo anamnyonyesha mungu,hizi imani hizi matatizo matupu,cha kushukuru ni mungu mwenyewe ajuae ni yupi mwema na yupi anazuga.
wakati mwenzako hapo anamnyonyesha mungu,hizi imani hizi matatizo matupu,cha kushukuru ni mungu mwenyewe ajuae ni yupi mwema na yupi anazuga.
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 889 Sep 29, 2012 #22 kwa huruma huu mbona hauna neno.. Atakuwa ameokoa maisha ya huyo ngamia, na ngamia akikuwa atarudisha fadhila kwa kumtumikia mama.
kwa huruma huu mbona hauna neno.. Atakuwa ameokoa maisha ya huyo ngamia, na ngamia akikuwa atarudisha fadhila kwa kumtumikia mama.