Punguzeni kulalamika, acheni kazi!

Punguzeni kulalamika, acheni kazi!

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
428
Reaction score
766
Jukwaa hili limejaa kero na malalamiko ya waajiriwa. Mara huyu hajalipwa fedha za kujikumu halmshauri ya itigi ,mara huyu halmashauri ya mpimbwe mkurugenzi anakula mke wake, nyie waajiriwa ebu punguzeni malalamiko na kelele,mlikubali wenywe kuwa watumwa ! MSITUPIGIE KELELE
 
Kuna yule jamaa humu anajiita anonymous kwa siku anaandika nyuzi zaidi ya 10 na zote analeta kero akiilalamikia serikali wao kama watumishi

Aisee kama wamechoka ni bora waache kazi tu maana sio kwa kero zile
 
Ni sawa ila changamoto ni ukomo wa utatuzi wa malalamiko utaishia kwa waajiriwa pekee au hadi wapigakura? Yale ya kama hutaki hama nchi?
 
Acha wanyooshwe, hawa huwa wanaona kama vile wako safe, changamoto zinazowakumba entrepreneurs huwa wanafikiri hazitawafikia
 
Jukwaa hili limejaa kero na malalamiko ya waajiriwa. Mara huyu hajalipwa fedha za kujikumu halmshauri ya itigi ,mara huyu halmashauri ya mpimbwe mkurugenzi anakula mke wake, nyie waajiriwa ebu punguzeni malalamiko na kelele,mlikubali wenywe kuwa watumwa ! MSITUPIGIE KELELE
Walivyo wavivu sasa kazini
 
Kuna yule jamaa humu anajiita anonymous kwa siku anaandika nyuzi zaidi ya 10 na zote analeta kero akiilalamikia serikali wao kama watumishi

Aisee kama wamechoka ni bora waache kazi tu maana sio kwa kero zile
Hahaha bro unajua maana ya anonymous kweli
 
Back
Top Bottom