Nyangeta Mussa
Senior Member
- Dec 8, 2014
- 199
- 127
Ni kweli lkn mama hausiki kiasi cha kumtupia lawama hizoUkivaa nusu uchi lazima tabia yako iendane na utangazaji wa mwili wako
Ukivaa vizuri vivyo hivyo jamii itakudefine kwa mazuri
Ni kweli lkn mama hausiki kiasi cha kumtupia lawama hizoUkivaa nusu uchi lazima tabia yako iendane na utangazaji wa mwili wako
Ukivaa vizuri vivyo hivyo jamii itakudefine kwa mazuri
Hajatumwa na mama ake yule na c kwamba hana bbMmnh mwenzangu kwa hapo umebugi,kwahio yule gigy money sio changu yule..?? Mavazi yake tu yanatosha kumtambulisha tabia yake...
Na huwez kunjudge mama wa mtu kwa mavazi ya mwanaeHuwezi kuiambia jamii eti mama yako kakulea vizuri wakati huna adabu na unavaa nguo za kukuacha uchi
SometimesLakini!!!
"The way you dress, is the way you will be addressed!"
MhhKitu kinachomdefine mtu ni wa tabia zip kwa mara ya kwanza unapokutana nae ni mavazi, mengine ndio yanafuata, huwezi niambia mtu kavaa nusu uchi, au kata Key, alafu uniambie et anajiheshim, kama wazazi wake ni watu makini hawawezi kumruhusu avae kihuni, ndio mana hata ukienda kuomba kazi watu hujitahidi kuvaa vizuri, ili waajiri waweze kuwaamini na kuwaona ni watu wa maana ,kwa hiyo mavazi ni kitu muhimu sana, acha kuiga vitu ambavyo vina athali hasi katika Maisha yako iga vitu vizuri, vaa vizuri waheshim wakubwa kwa wadogo nawe utaheshimiwa, acha kuvaa masuruali ya kubana ww mwanamke na kupiga picha za kuonyesha makalio kama ilivyo kwenye avatar yako, jiheshim
we bwana weKwan hawapo wanaotembea nazo na wanabb na mama zao
Kwa mguno huu najua utakuwa umenielewa