Mama zenu ndo wanaowatuma

Mama zenu ndo wanaowatuma

Malezi c mavazi tuu jmn wengi tunakosea tunapokuja kujudge mtu kupitia mavazi hpn kuna mengi .......
All in all tunamshukuru mama yapo mengi zaid ya haya yanayoonekans
Kitu kinachomdefine mtu ni wa tabia zip kwa mara ya kwanza unapokutana nae ni mavazi, mengine ndio yanafuata, huwezi niambia mtu kavaa nusu uchi, au kata Key, alafu uniambie et anajiheshim, kama wazazi wake ni watu makini hawawezi kumruhusu avae kihuni, ndio mana hata ukienda kuomba kazi watu hujitahidi kuvaa vizuri, ili waajiri waweze kuwaamini na kuwaona ni watu wa maana ,kwa hiyo mavazi ni kitu muhimu sana, acha kuiga vitu ambavyo vina athali hasi katika Maisha yako iga vitu vizuri, vaa vizuri waheshim wakubwa kwa wadogo nawe utaheshimiwa, acha kuvaa masuruali ya kubana ww mwanamke na kupiga picha za kuonyesha makalio kama ilivyo kwenye avatar yako, jiheshim
 
Tushawazoea hawa. Akiona mende ataruka mikelele kibaoo! Wakati juzi yake katoka kuua kiumbe(kutoa mimba)
 
Siku ya jana, wengi wa watumiaji wa mitandao ya kijamii walijitahidi kuonesha upendo kwa wazazi wao wa kike (mama).

Hata wale wanaopiga picha za uchi na kuzipost kwenye mitandao niliwaona wakiwashukuru mama zao kwa malezi mema waliyo wapatia na kuwaita kuwa ni malkia wa nguvu.

Hapo ndipo napata shida na ninaomba mniondoe kwenye mtanziko huu.

Hawa mama zenu (malkia wa nguvu) ndio wanaowatuma ninyi kuposti nyuchi zenu humu?
Nini faida wanazozipata mnapopost picha hizo?
Baba zenu wanajua kuwa mama zenu ndio wahusika wapicha hizo?
0d59d97db56b81284c8e59fe291dfe01.jpg
Wanatia aibu sana
 
Nahitaji namba za huyu binti tafadhari, hayo mengine hayanihusu
 
Si wakati wote espy wengine waume zao (husbands) wanapenda wake zao wavae nguo fupi ambazo kwa baadhi ya watu ni nguo zinazostahili kuvaliwa na "Malaya" au wanaouza miili yao. Unakuta mke ana ugomvi na mawifi kwa kuvaa nguo za "kimalaya" wakati mume ndiye anayezinunua nguo hizo na haoni tatizo mkewe kuvaa nguo hizo.

Mavazi yanamdefine mtu.
 
Simple!! Mavazi yanamdefine mtu.
Hayo mengine ni justifications tu.
 
Malezi c mavazi tuu jmn wengi tunakosea tunapokuja kujudge mtu kupitia mavazi hpn kuna mengi .......
All in all tunamshukuru mama yapo mengi zaid ya haya yanayoonekans
kwenye Avatar yako nakuona umeachia feni ifanye yake
 
Kweli mkuu nilimuonya dada aangu akanijibu mume wake ndo anapenda hivyo hatoacha kuvaa
 
Aiseee nikimuona mdada kavaa vibaya nilichajiwekea kichwani huyu mtu hana wazazi duniani kwa hiyo hamna anayemuogopa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom