Mama zenu ndo wanaowatuma

Mama zenu ndo wanaowatuma

Mi nadhani wengine mama zao wanawasapoti... Kama Gigy money!!!!
 
nadhani ikitolewa taarifa watu kutembea bila nguo akina haki sawa watakuwa wa kwanza kulifurahia kwani kwa sasa ni kama wamenyang'anywa HAKI YAO NDIO MAANA WAKIBANWA HULALAMA KUNYIMWA UHURU
 
Tabia ya mtu mmoja cyo wote jmn kaka zetu, nawaomba radhi kwa niaba ya hao wenzetu waliojikatia tamaa japo ni binadam wenzetu.
 
pyepyepye hebu watue mama zetu
Wala hawahusiki na hizi habari za kupost picha za uchi

Kwani baba hausiki katika malezi ya mtoto?
Ata biblia ilisema Mtoto mjinga ni hasara kwa mamaye.
IMG_20170309_225203_962.JPG
 
Tabia ya mtu mmoja cyo wote jmn kaka zetu, nawaomba radhi kwa niaba ya hao wenzetu waliojikatia tamaa japo ni binadam wenzetu.
Radhi yako hata tukiipojea tutafanya unafiki, maana kesho tu! tunakutana nao mtaani wakiwa nusu uchi, au utawaambia waache?
 
Haya ni matokeo ya malezi na utandawazi.... Though matangazo hayo yao wenyewe.... Umalaya on network
 
Mkuu mama ubaya na mwanae unaonaje hats atembee uchi atamsifia mwanae ni wa kileo zaidi na anaenda na wakati.
 
Kwanza ni aina fulani hivi ya ulimbukeni na unafiki kumpost Mom siku ya wanawake duniani halafu siku nyingine unapost picha za "Nyuchi" yako huko instagram/whatsap/snapchat..... Halafu mbaya zaidi unasema Malkia wa nguvu...mwanamke wa shoka mara ooh wanawake tuthaminiwe n.k.... Ni sawa mnastahili kuthaminiwa/ kuheshimiwa pia LAKINI iweje siku ya wanawake ndio muwe active sana mnatilia mkazo sana?? Siku zingine ukipost picha mbovu hapo humkumbuki bi mkubwa wala shangazi ndio kwanza unajiachiaaaaa....then ndio utegemewe kuthaminiwa au kuheshimiwa


Nasemajeee UKITAKA KUTHAMINIWA JITHAMINI KWANZA WEWE BINAFSI..!!
 
Siku ya jana, wengi wa watumiaji wa mitandao ya kijamii walijitahidi kuonesha upendo kwa wazazi wao wa kike (mama).

Hata wale wanaopiga picha za uchi na kuzipost kwenye mitandao niliwaona wakiwashukuru mama zao kwa malezi mema waliyo wapatia na kuwaita kuwa ni malkia wa nguvu.

Hapo ndipo napata shida na ninaomba mniondoe kwenye mtanziko huu.

Hawa mama zenu (malkia wa nguvu) ndio wanaowatuma ninyi kuposti nyuchi zenu humu?
Nini faida wanazozipata mnapopost picha hizo?
Baba zenu wanajua kuwa mama zenu ndio wahusika wapicha hizo?
0d59d97db56b81284c8e59fe291dfe01.jpg
Mi huwa napata kichefuchefu wanaposema tuthaminiwe huwa napata wakati mgumu kuwaelewa.
 
ha ha ha mama kazi yake ni kulea
binti akishafikia umri huo lawama huwa ni kwake na sio mama mzazi.

binti yupo mombasa mama yupo iringa wakati unatoka kwenu ulivaa kiadabu na kila rikizo unarudi kiadabu ila ukiwa huko unavaa hovyo
sasa mama aache kazi zake akufatilie mitandaoni na mtaani uvaaji wako iweje?
 
Mtu akivaa hv hd tabia yk inaendana na mavaz yk pia...kuna wamama ht akiona mtt kavaa vby hasem,na wengine wanaonywa lkn wameshindikana wenyewe
 
Tunahitaji Sungu sungu ya kurekebisha tabia. Wawe waantembea huku na kule wakiona wasichana kama hawa ni bakora hamsini pale pale halafu avalishwe nguo...na kwenye fashion shoo wanaingia huko huko wakionedha fashion kama hizi kijinga kijinga anatandikwa hamsa alie buni hio nguo na mvaaji anatandikwa hamsini bakora.
Tukifanya hivyo tutaondoa hui ufisadi wa kijinga...
Sungusungu ya kurekebisha tabia inatuhusu kabla hayuja shuhudia hawa kina dada wakitembe uchi ndani ya mwendo kasi......halafu midume wao hawaoneshi mipumbuz yao only huwalaghai wanawwake...nao hawajitambui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom