Mama yangu kapata stroke mke hataki kumhudumia

Mama yangu kapata stroke mke hataki kumhudumia

Wadau wenzangu nimeamua kiliweka hill hadharani ilimnipe ushauri.mama yangu mzazi
amepata stroke upande wa kushoto ni MTU wakuhitaji kulishwa kugeuzwa isipokuwa Mke niliye nae hataki kumpa msaada wowote so kumgeuza wala kumuosha.hivyo wadau naombeni ushauri nifanye nini.
mkuu wewe ni kama refa uwanjani na sifa ya refa ni lazima awe na RED CARD au YELLOW CARD!! sasa huyo mkeo ni kama mchezaji... kama anasumbua piga yellow card akapumzike kwa mama ake!! na akijidai kichwa ngumu piga RED CARD!!! Ina maana gani kuwa na mke ambaye hakusadii?? Lakini tusimlaumu mke, je kabla ya kuumwa uhusiano wa mama ako na mke wako ulikuaje??
Usikimbilie KUMPA RED CARD jaribu kukaa na kujua nini sababu mkeo hataki kumsaidia mama ako!!
Pole sana kwa yalikukuta!!
 
Aisee pole sana mkuu. Jaribu kukaa nae uzungume na mkeo japo sijajua kuwa ni mama wa nyumbani au ni mfanya kazi. Na kama itakuwa ni ngumu kabisa basi jaribu kutafuta msaidizi hapo nyumbani ambaye utamuajiri kwa kazi ya kumuhudumia mama tu.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Wajibu wa kumlea mama yako ni wa kwako na watoto wake wengine/ndugu etc walio karibu na uhusiano wa damu au hata marafiki wenye mapenzi mema. Kama mke hataki, usimlazimishe. Ni dhahiri mkeo sio mwema hata wewe ukipa stroke si ajabu akakukimbia. ILA kama anakuwa kikwazo cha kumhudumia mama, mwambie aondoke mama akipona arudi mwendelee na ndoa yenu if you so like anyway! Lakini usivunje ndoa! THE BOTTOMLINE HUNA MKE.

Aaaah wewe ushauri gani huu Hakuna kitu kama hicho mwanamke kama huyo mi napiga chini bora nijue kukaa peke yangu tu na mama yangu nikimhudumia mwenyewe huyo sio bindamu wa kawaida akiumwa yeye atahudumiwa na nani si atasema ndugu wa mme wangu hawanijali? MPE ONYO KAMA HATAKI MPE MDA AENDE KWAO
 
Acha mke wewe mama ndo kilakitu au atakuwa mchawi huyo
 
Aisee pole sana mkuu. Jaribu kukaa nae uzungume na mkeo japo sijajua kuwa ni mama wa nyumbani au ni mfanya kazi. Na kama itakuwa ni ngumu kabisa basi jaribu kutafuta msaidizi hapo nyumbani ambaye utamuajiri kwa kazi ya kumuhudumia mama tu.

Aweke mfanya kazi wa kazi gani bana kama hataki kumhudumia afukuze kwanza halafu ndo alete mtu wa kumsaidia yaan kwa kufanya hivo tu huyo sio mwanamke kabisa Ukifa wewe na yeye akaumwa then mama yupo na akaacha kumsaidia ataonekana je?
 
Aaaah wewe ushauri gani huu Hakuna kitu kama hicho mwanamke kama huyo mi napiga chini bora nijue kukaa peke yangu tu na mama yangu nikimhudumia mwenyewe huyo sio bindamu wa kawaida akiumwa yeye atahudumiwa na nani si atasema ndugu wa mme wangu hawanijali? MPE ONYO KAMA HATAKI MPE MDA AENDE KWAO

Usimshauri kuvunja ndoa.
 
I wish ningezaliwa hata na dada au kaka.kuzaliwa pekee ni taabu sana,tena sana

Hili ndilo lilikuwa swali la msingi!!!!!!
Mtimue tu huyo mwanamke unayemuita mkeo!!!!
Ajiri watu wa makamo wawili wakae hapo home mpaka itavyokuwa vinginevyo!!!

Watoto kama wakubwa wanajiweza baki nao akileta maneno aende nao baadaye itajulikana
 
wanawake wa siku hizi mashetani

unamjua shetan wewe? acha kuropoka ovyo.. angalia sana maneno yanayokutoka kinywani mwako, tukianza kutrace hyo zaman hata mama ako hakuwa amezaliwa, so watch your mouth.
 
Upumbavu wa mkeo umeundekeza siku nyingi halafu unaomba ushauri. Ukome hivi wanaume wa siku mtaendelea kushikwa masikio hadi lini?
 
Wadau wenzangu nimeamua kiliweka hill hadharani ilimnipe ushauri.mama yangu mzazi
amepata stroke upande wa kushoto ni MTU wakuhitaji kulishwa kugeuzwa isipokuwa Mke niliye nae hataki kumpa msaada wowote so kumgeuza wala kumuosha.hivyo wadau naombeni ushauri nifanye nini.

....hiari yashinda utumwa, na akheri ya nusu shari....!

huna dada zako au ndugu wa kike waliotayari kumsaidia mama'ko?
Mkeo halazimiki kukusaidia juu ya ulezi huo, usimuonee bure mkeo.
Tafuta mhudumu aliye na hiari ya kumsaidia mgonjwa, ikishindikana
wewe timiza wajibu wako kumlea mzazi wako mwenyewe kama yeye alivyokulea.
 
Huyo mke wako ni pepo au gaidi zaidi ya hitler.fukuza hilo pepo.
 
Pole sana kwa mama... Muungu atawapa tahafifu... Jipangee uajiri msaidizi wa kumhudumia mama, na ndiyo mambo yanavokwenda!!
 
Back
Top Bottom