Mama yangu kapata stroke mke hataki kumhudumia

Mama yangu kapata stroke mke hataki kumhudumia

Kafka nikushukuru kwa mchango wako na mifano pia.kaka huyu Mke ni mama wa nyumbani,pia nimemfungulia duka LA vipodozi.kuongea nae nimkwisha onngea nae point anayonipa ni kuwa hajawahi kwenda dodoma.mama indie aliyekuwa akija kutusalimia hadi anafikwa na ugonjwa,swala liingine Leo ndio kaliwka bayana ni kwamba hampendi mama Yangu tangu zamani.

Pole kwa kuuguliwa ndugu...

Ila hii ngumu kweli kumeza, yaani kakuambia usoni kuwa hampendi mama yako! Kama nimeelewa, mgonjwa yuko Dodoma, kwa hiyo plan iliyopo ni kumpeleka mkeo akamhudumie?

Kwa kifupi, kazi ya kuuguza si lelemama, tusije mlaumu bibie kijuu juu tu kuwa kagoma kuuguza mkwewe. Kama walivyochangia wengine, kama kuna wadogo wa mama, basi fanya kusema nao ili wakasaidie kuuguza dada yao. Kuna mazingira mengi ya kuuguza ambayo huwa yanatokea ambayo huwa tunaishia kulaumiana wenyewe kwa wenyewe. Mfano rahisi, mnaweza mkamchukua mama kumuuguzia kwenu, lakini asitokee ndugu yake yeyote kuja hata kumjulia hali. Au akitokea, basi ana haraka utafikiri kaacha maharage motoni! Nao utawaweka kundi gani?

Nafikiri Bimkubwa ametoa na mifano halisia kuonyesha uhalisia unaokuwepo kwenye kuuguza.
 
Haivunjwi kirahisi!!???? Nini determinant ya ugumu na urahisi?????!!!
Asipokuwa mwema???!!!
Yasipomfika??!!

Nadhani kwenyE biblia kuna mahali imeandikwa -----usimwache mkeo isipokuwa kwa uzinzi........Na lazima Pope huko Rome akubali- atoe kibali cha kuvunja ndoa!
 
Pole sana mkuu, its true what they say" its not what u say but what u do that makes u a better person", wakati wa ndoa alisema atakupenda katika shida na raha ila vitendo imekuwa issue now, cha msingi ni kuweka mtu hapo wa kumhudumia mama.
 
Back
Top Bottom