Mama yangu kapata stroke mke hataki kumhudumia

Bi mkubwa umenena point sana. Mie nimeuliza namba tano hiyo, mahusiano na mkewe yako vipi? Wakina baba saa nyingine huwa hawawajali wake zao, yakiwafika wanarudi mbio kwa mkewe na mke anakuwa expected kama hapa kufanya yote. Ndoa ni kwa shida na raha ndio but tunauliza huyu mume huwa yupo kwa shida za mkewe pia? Maana ni rahisi kuhukumu mtu kumbe hujui undani wake
 
Mmmh,kama una wadogo zako wakike au dada zako ndo wanaotakiwa kumlea mama yao na siyo mke wako,hivyo mwambie dada aje amlee,nivigumu sana kuvuliwa nguo na mamamkwe na kuanza kumuogesha,hapana kwakweli waje tu dada zako
 
Kwa sisi wakatoliki, ndoa haivunjwi kirahisi hivyo. Hakuja kumtunza mama yako, amekuja kwa ajili ya wewe tu. Ikitokea akawa mwanamke mwema basi ni bahati. Najua of course kwa kutomhudumia, mke wake ameweka doa kwenye ndoa, naye yakimfika mume hatashughulika.
Haivunjwi kirahisi!!???? Nini determinant ya ugumu na urahisi?????!!!
Asipokuwa mwema???!!!
Yasipomfika??!!
 
Kabla hatujarukia kumsema mkeo kuna mengi hujaweka bayana:
1. Je mkeo ni mfanyakazi au mama wa nyumbani?
2. Kama ni mfanyakazi, je ana dhamana ofisini kwake?
3. Mnaishi nyumba ya kupanga au ya kwenu?
4. Je mna nafasi?
5. Je mna uhusiano imara na mkeo? Maana usitegemee ubabe wako, ubahili wako,kukosekana kwa maelewano kwenu kwa sababu ni mkeo basi lazima amhudumie mama yako.
6. Je mna watoto na wategemezi wengine ndani ya nyumba?

Vitu vingi vinamfanya mkeo pengine akatae. Je mumewahi kukaa naye na kumwuliza kwa utaratibu ni kitu gani kinamuogofia kumhudumia mgonjwa badala ya kumlaumu na kumwona mke asiyefaa?

Binafsi nina rafiki ambaye mama mkwe amepata stroke na yupo kwake ila sasa yeye ni mtu mkubwa ofisini kwao. Cha ajabu mume anamtaka yeye aache kazi akamhudumie mama mkwe wakati ana madada wengi ambao wote wamejikalia makwao hawataki kumjulia mama yao MZAZI hali. Rafiki yangu amemweka msichana wa kazi kwa ajili ya mam mkwe. Anachofanya ni kuhakikisha anarudi mapema na kumtembeza mama mkwe afanye mazoezi ya kutembea. Ila nalo mume hana shukurani maana yeye ameshaachishwa kazi na anamtegemea mkewe. Je upo katika kundi hilo??

Nina ndugy yangu naye mama mkwe alipata stroke. Walichoamua na mumewe ni kutoa nafasi ili aangaliwe pale kwao. Na ndio walikuwa wameanza maisha tu. Ila sasa walikubaliana na wifi zake wawe wanakaa pale wanamwangalia mama mkwe maana yeye ni mfanyakazi. Mawifi walikubali kwa moyo mweupe. Kwa foleni za bongo yeye alikuwa anafika kwake saa 2 usiku. Jumamosi akienda kazini basi akirudi saa 10 na huku apitie saloon kidogo au aende sokoni. Jumapili akitoka kanisani yeye ndio anamwangalia mama mkwe na mambo mengine. Cha ajabu hawakufurahia eti anamkwepa mama mkwe. Maneno yakaanza . Mume kaona watu wanamwingilia ndoa yake basi wakakae kwa kaka yake mkubwa. Hapo ndio maneno yakazidi. Maana yeye ndio mwenye hela kwa nini asimfukuze mke amlee mama yake. Masikini mama akafariki ndugu wala hawakumwambia mdogo wao. Yote haya ni stress ya kumwangalia mgonjwa.

Sasa mdogo wangu (nasema hivi kwa kuwa nahisi wewe utakuwa mchanga kwenye ndoa. Kama la nisamehe), mkeo labda ana experiences kama hizi na ndio maana anaogopa. Kwa nini msiongee mkayamaliza na mkatafuta suluhu. Kwani huna mama zako wadogo? Mama yako hana mawifi? Kuwa mtoto wa kiume haina maana wewe ndio ubebe mzigo wote. Jadiliana na ukoo na familia unaweza ukapata suluhisho. Usimtangaze mkeo kuwa hataki kumhudumia mama yako bila kujua chanzo.

Dunia tambara bovu. Na ndoa ni safari ndefu
Yawezekana ulishawahi kumkatalia na yeye basi analipiza kisasi. Yote hujatuambia. Nadhani katika haya machache niliyoandika jibu utalipata.

Pole kwa kuuguza mama.

Umeongea mambo mazito ambayo wengi hawajayagusa
 
Kaka nashukuru kwa ushauri wako na mifano pia.kaka huyu ni mama wa nyumbani biashara nilimfungulia ya duka la vipodozi may be hilo limbane,name kuhusu kuongea nae nimeongea nae akanipa jibu la kwamba hawezi kenda Dodoma kwa kuwa hajawahi kufika Dodoma.mama alikuwa akimpenda sana hadi kufikwa na ugonjwa,alikuwa akifunga safari kutoka dodoma hadi dar.yeye hakuwa akitaka kwenda kumsalimia ila ikifika ya kwenda kwao anataka niende kwao.salsa kaka hapo mm ninaubabe upi tena.
 
Kwani yeye hana wazaz? kama vipi huyo hakufai achana naye.
 
Kabla hatujarukia kumsema mkeo kuna mengi hujaweka bayana:
1. Je mkeo ni mfanyakazi au mama wa nyumbani?
2. Kama ni mfanyakazi, je ana dhamana ofisini kwake?
3. Mnaishi nyumba ya kupanga au ya kwenu?
4. Je mna nafasi?
5. Je mna uhusiano imara na mkeo? Maana usitegemee ubabe wako, ubahili wako,kukosekana kwa maelewano kwenu kwa sababu ni mkeo basi lazima amhudumie mama yako.
6. Je mna watoto na wategemezi wengine ndani ya nyumba?

Vitu vingi vinamfanya mkeo pengine akatae. Je mumewahi kukaa naye na kumwuliza kwa utaratibu ni kitu gani kinamuogofia kumhudumia mgonjwa badala ya kumlaumu na kumwona mke asiyefaa?

Binafsi nina rafiki ambaye mama mkwe amepata stroke na yupo kwake ila sasa yeye ni mtu mkubwa ofisini kwao. Cha ajabu mume anamtaka yeye aache kazi akamhudumie mama mkwe wakati ana madada wengi ambao wote wamejikalia makwao hawataki kumjulia mama yao MZAZI hali. Rafiki yangu amemweka msichana wa kazi kwa ajili ya mam mkwe. Anachofanya ni kuhakikisha anarudi mapema na kumtembeza mama mkwe afanye mazoezi ya kutembea. Ila nalo mume hana shukurani maana yeye ameshaachishwa kazi na anamtegemea mkewe. Je upo katika kundi hilo??

Nina ndugy yangu naye mama mkwe alipata stroke. Walichoamua na mumewe ni kutoa nafasi ili aangaliwe pale kwao. Na ndio walikuwa wameanza maisha tu. Ila sasa walikubaliana na wifi zake wawe wanakaa pale wanamwangalia mama mkwe maana yeye ni mfanyakazi. Mawifi walikubali kwa moyo mweupe. Kwa foleni za bongo yeye alikuwa anafika kwake saa 2 usiku. Jumamosi akienda kazini basi akirudi saa 10 na huku apitie saloon kidogo au aende sokoni. Jumapili akitoka kanisani yeye ndio anamwangalia mama mkwe na mambo mengine. Cha ajabu hawakufurahia eti anamkwepa mama mkwe. Maneno yakaanza . Mume kaona watu wanamwingilia ndoa yake basi wakakae kwa kaka yake mkubwa. Hapo ndio maneno yakazidi. Maana yeye ndio mwenye hela kwa nini asimfukuze mke amlee mama yake. Masikini mama akafariki ndugu wala hawakumwambia mdogo wao. Yote haya ni stress ya kumwangalia mgonjwa.

Sasa mdogo wangu (nasema hivi kwa kuwa nahisi wewe utakuwa mchanga kwenye ndoa. Kama la nisamehe), mkeo labda ana experiences kama hizi na ndio maana anaogopa. Kwa nini msiongee mkayamaliza na mkatafuta suluhu. Kwani huna mama zako wadogo? Mama yako hana mawifi? Kuwa mtoto wa kiume haina maana wewe ndio ubebe mzigo wote. Jadiliana na ukoo na familia unaweza ukapata suluhisho. Usimtangaze mkeo kuwa hataki kumhudumia mama yako bila kujua chanzo.

Dunia tambara bovu. Na ndoa ni safari ndefu
Yawezekana ulishawahi kumkatalia na yeye basi analipiza kisasi. Yote hujatuambia. Nadhani katika haya machache niliyoandika jibu utalipata.

Pole kwa kuuguza mama.

Kafka nikushukuru kwa mchango wako na mifano pia.kaka huyu Mke ni mama wa nyumbani,pia nimemfungulia duka LA vipodozi.kuongea nae nimkwisha onngea nae point anayonipa ni kuwa hajawahi kwenda dodoma.mama indie aliyekuwa akija kutusalimia hadi anafikwa na ugonjwa,swala liingine Leo ndio kaliwka bayana ni kwamba hampendi mama Yangu tangu zamani.
 
Hao ndio wanawake wa miaka hii kaka,pole sana,tafuta dada wa kaz au kama una mama mdogo au mkubwa mtumie yeye akusaidie,wanawake wa sasa na MASHETANI
 
I wish ningezaliwa hata na dada au kaka.kuzaliwa pekee ni taabu sana,tena sana

Jamani so sorry
Kumbe umezaliwa pekee?
Ss kwann anafanya hivyo, basi ana roho mbaya.
Coz ungekuwa na ndugu wa tumbo 1 ingesaidia.
Dah
 
Mmmh,kama una wadogo zako wakike au dada zako ndo wanaotakiwa kumlea mama yao na siyo mke wako,hivyo mwambie dada aje amlee,nivigumu sana kuvuliwa nguo na mamamkwe na kuanza kumuogesha,hapana kwakweli waje tu dada zako

Jamani kazaliwa pekeyake
 
Ndg mwambie mkeo ajiandae kupata hayo mateso anayoyapata Mama yako? Ila cha muhimu ni kumwambia haya kwani hata mkeo akipata matatizo bado utakuwa mzigo wako na hakika hutamuacha ila hakikisha unamueleimisha ajue ujafa ujaumbika. Usikubali kumtelekeza Mama kisa mke asiyekuwa na Busara.
 
Wadau wenzangu nimeamua kiliweka hill hadharani ilimnipe ushauri.mama yangu mzazi
amepata stroke upande wa kushoto ni MTU wakuhitaji kulishwa kugeuzwa isipokuwa Mke niliye nae hataki kumpa msaada wowote so kumgeuza wala kumuosha.hivyo wadau naombeni ushauri nifanye nini.

Mpe talaka huyo! Oa mwengine mwenye.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Kafka nikushukuru kwa mchango wako na mifano pia.kaka huyu Mke ni mama wa nyumbani,pia nimemfungulia duka LA vipodozi.kuongea nae nimkwisha onngea nae point anayonipa ni kuwa hajawahi kwenda dodoma.mama indie aliyekuwa akija kutusalimia hadi anafikwa na ugonjwa,swala liingine Leo ndio kaliwka bayana ni kwamba hampendi mama Yangu tangu zamani.

Pole kwa changamoto unazopitia, Mungu mwema yatapita kwa uwezo wake!

Huyo mwanamke amepataje ujasiri wa kukwambia hampendi mama yako tangu zamani? Kuna jambo ulilomtendea mkeo hapo zamani ambalo ni baya na mama yako akaku support? Kuna vitu vibaya ulishawahi mtendea akakushtaki kwa mama na mama hakufanya lolote kuwasuluhisha?

Kama hakijawahi tokea chochote kati yao basi MKEO HAFAI
 
Pole sana!je walikuwa na ugomvi before?hata kama hawakuwa vema ingempasa mkeo kumhudumia mama mkwe!jaribu kutafuta hata ndugu wakusaudie sio lazima wa tumbo moja!
 
Nimezaliwa peke yangu kwa mama, I wish ningekuwa hata na dada au kaka.

dah pole sana jamani hadi nimekuonea huruma...inategemea pia huyo mama yako km aliwahi mchukia wife au walikwaruzana huko nyuma inaweza sababisha..na wakati mwingine ni tabia tu..watu wengine wana tabia na roho mbaya tu..sasa km ni hivyo wewe ajiri muuguzi/nesi wa kumhudumia mgonjwa..hata kama ankuja asubui na kuondoka jioni lkn walau mgonjwa atakula na kuogeshwa..

wanawake wengine tunasahu kabisa kuwa na sisi ni wakwe watarijwa...ynn kumfanyia roho mbaya bibi wa watu, sana sana unajitafutia laana ya bure tu
 
Poleni kwa kuuguza.
Weka mmama wa kumhudumia mgonjwa na kama una madada wapeane zamu ya kuja kumhudumia pamoja na msaidizi uliyemuweka. Dada zako watakuwa na uchungu zaidi kuliko huyo mkeo. Mgonjwa hasa anayehitaji msaada wakati alikuwa anajihudumia mwenyewe anahitaji faraja sana,wewe na nduguzo hudumieni mgonjwa na huyo mkeo nafsi itamsuta tu ataanza kujileta karibu. Mkimlazimisha atamuumiza zaidi mgonjwa!!!
 
Back
Top Bottom