LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,389
Hapana walitumia mbinu ya nchemba.
Mambo mengine tuache utani kama mama kamtambua mmoja wa wahalifu basi sheria itachukua mkondo wake
Haina haja ya kuchafua watu wengine.
GAzeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.
Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.
Kada wa chadema atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.
una akili sawa sawa wewe???mbona unataka kupotosha mada na ukweli??? mama yake zitto amemtambua kada wa chadema. hata hivyo tuwe tunasoma na kuelewa kabla ya kuchangia.
Yuko slaa, mbowe na wengineo katika viongozi wa chadema? Hata pole ya kinafiki hamtoi?
yaani kumbe walitaka kummaliza kwa sababu ya mwanae,kweli madaraka ni noma...Mama mzazi wa Naibu katibu mkuu wa Chadema Zitto Kabwe, amenusurika kutekwa. Waliomvamia wamemtishia kumuua huku wakimtaka awape laptop,simu na mawasiliano yake mengine...
Habari zaidi magazeti ya leo.
View attachment 91230View attachment 91229
Mabaki ya Kamanda Lwakatare yaliyobaki Uraiani! Mnaweza kumuua Zitto au Mama yake ila hamna uwezo wa Kuua mawazo yake milele!
nanukuu tu ''Ushauri- tuwe makini na "Agente provocatuers" au in English "provocation agents" nyakati kama hizi. Calmness is the best protection against provocations. Nadhani mmenipata"
Watanzania wengi tunatabia ya kufuatilia upepo unakoelekea na si unapotokea, nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa ''Detective movies'' nukuu hiyo hapo juu kwangu mie ni Bonge la ''Clue'' sintoufuata upepo uendako nafuatilia utokako!! Siasa zetu kwa sasa zinahitaji umakini sana, haya matukio ya kutekwa waandishi wa habari, wanasiasa kuhusishwa na ugaidi ni mambo ambayo naamini yanafanyika kwa kiwango cha hali ya juu sana iwe yanafanywa kweli au ya kupandikiza! kwa mara ya kwanza nilistuka sana baada ya kuiona video ''Rwakatale' simhukumu kwani ukweli utajulikana mahakamani, kwajinsi maelezo yalivyokuwa mle ilkuwa kama naagalia FBI movies vile na kwa sasa huenda mbinu hii ya ''kutia mtu wasiwasi'' kutisha kwa maneno au vitendo vya kuteka vikaendelea kwani huenda inawafaidisha wanaosingiziwa au kusingizia!! what makes it more interesting na movie hii ni kuwa wahusika ni CCM/SERIKALI na CHADEMA ( mhukika mkuu hajajulikana bado), kwa undani zaidi kuna wahusika wengine wadogo wadogo toka pande zote mbili ambao wamegawanyika na kuishia kutoa siri za wanaodaiwa kuwa wahusika wakuu.... hawana umoja hawa!! hawana siri hawa!! kitu kinacholeta utamu wa movie hii... naamini kutakuwa na mwisho wake ambao ni kuelekea 2015. Kibaya zaidi ni kuwa huenda wahusika wakuu hawatambui kuwa mwisho wa movie hii ni kuwa STELINGI ATAKUFA!!!! napita......
Kitaondoka kwa mapenzi ya Mungu na wala sio nyie mashetani,mafisadi,wezi wa rasilimali za umma,wezi wa meno ya tembo,mikataba feki,rushwa,mauaji,ufuska na kila aina ya uchafu uliopo ndani ya masisiem....wewe ni mpuuzi,unamahaba ya kipuuzi,huoni kuwa chama kinamipanga ya kishetani kuua watu Huyu mama ametaja kuwa Kuna kada wa chadema amemuona na kumtambua,,hiki chama kinanuka damu hamtafika popote