Mama yake Zitto avamiwa

aisee hii miraa ya kenya imekushinda jaribisha ya Arusha nani kakuambia kua ni cdm acha kupingana na chama cha mungu

Ujue unaposema chama cha mungu kwa kifupi ni CCM
 
naona baada ya jitihada zote za kumuua kushindikana sasa wanaamua kuivamia familia yake ili apoteze concetration. si unakumbuka ile sumu ya ben saa8 na sakata la kulegeza nuts kwenye taili za gari lake?

Naomba mniache.Hili suala linahusu uhai wa mtu.Utani wa kijinga kwenye uhai wa mtu sitaki kuhusishwa.Chukulia kama hili suala limemkumba mama yako mzazi

Kutumia matukio mabaya yanayowatokea binadamu mwenzako kama kete ya kisiasa ni unyama na wendawazimu wa hali ya juu.Tuwe na staha

Uhai wa Binadamu haununuliwi sokoni au dukani.Hakuna Gulio la Roho ya mwanadamu.Kuna maisha kabla na baada ya siasa.

Mama Salumu ni kiongozi ndani ya chama changu.Ni mjumbe wa kamati kuu.Naungana na wanachadema wenzangu kumpa pole na kumwombea faraja za Mwenyezi Mungu yeye na familia yake.
 
Mbona husemi kuwa alikuwepo kada wa Chadema katika vijana waliotaka kumuua mama Zitto?
 
Huu sio ubinadamu kabisa suala la kisiasa kulihamishia kwenye familia ni kitu kibaya kuliko.
Mungu amlinde mama wa watu.
 
Sijui Mh. Zitto amewakosea nini viongozi wenzake wa CHADEMA.

unataka kumaanisha nini?utekwaji huu una mahusiano gani na CHADEMA? msipende sana kupotosha kila jambo
 
[mungu aliumba dunia kwa nia njema kabisa, wanaoharibu ni wanadamu]

mwanadamu ni mwanadamu ni tu, unafiki ni mbaya sana, binafsi mtu hawezi kunibadilisha ufahamu wangu, master wa mambo haya yote ni zitto kabwe mwenyewe, zitto tafadhali shibe yako si ya watanzania wote. Zitto asije akafikiri yeye ni malaika waliompoteza chacha wangwe kwa unafiki wake bado wapo.
 
nimeanza kumkubali zitto yaani hakurupuki kujibu upuuzi huyu ndiye zitto niliyekuwa namfahamu before safi sana kiongozi wangu.
 
wanajf hii sasa haikubariki kama siasa zimetufikisha huko hii sasa ni balaa mama huyu anasema kamtambua mtu mmoja kati yao ambaye ni kada wa chadema sasa mimi najiuliza hawa chadema wanamtakia nini zito hata hivyo kweli zito ni mvumilivu sana juzi tu malando katoa namba yazito akidai ya zoka huu si uungwana kama zito wamemchoka si wamfukuze tu kuliko kumfanyia vitimbi kama hivi.
 
system at work,hawa jamaa wamewekeza pesa nyingi kuangamiza cdm TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU
 
Mama Zitto yeye hana uchawi kama Zitto?

Kwa Zitto wameogopa ile ya hata panya hatapona.

Zitto linda mama pia vinginevyo hao magaidi wata my Wangwe.
 
unataka kumaanisha nini?utekwaji huu una mahusiano gani na CHADEMA? msipende sana kupotosha kila jambo

mkuu usiwe mkali huyu mama kasema amemtambua mmoja kwa maelezo kuwa ni kada wa chadema sasa unatenganishaje utekaji huu na chadema.
 
Tunawalaani wote waliohusika na jaribio au tukio la ukwapuzi kwa Mama Lulu.Mungu awachukulie hatua kali popote walipo.
 
Hawana pesa ya kuhonga Tanzania nzima,tulio upinzani wengi tumejitolea kwa hali na mali bila kujali malipo ya kitu chochote kile,acha wao waendelee kua tu ila hukumu yetu sote ni moja tu<KIFO> wanaweza kututanguliza kizimu ila na wao watakuja tu,hatuwezi tabika hivi while mungu katupa kila kitu
 

hizi propaganda za kijinga kabisa.
Halafu hawasemi kama hao vibaka walifanikiwa kubeba hivyo vitu walivyotaka.!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…