Mama yake Zitto avamiwa


Naona unajaribu kutuaminisha kuwa Limao ni chungwa.
 

Mkuu unalipwa shilingi ngapi ktk huu uzi? Umeucapitalize hutaki wengine waseme kitu. Jk aliwaambia dodoma mjibu mapigo ya wapinzani kwa hoja, ninyi naona hamkumuelewa mmekuja kwa pupa jf. Hivi post zako unazoandika unazisoma lakini uone zilivyo biased? Mnashupalia ishu mpaka mnaifanya inakuwa kama sanamu.
 
Maskini mtoto wa kiume wa Shida Binti Salum una akili za panzi hivi kweli wewe na mama yako mulidhani hili dili litauza mulipoteza maboya pale December 2010 ulipokataa kuunga mkono waliomsusia Kikwete hotuba pale tuu ulijiuma uma uma na sasa hakuna jipya amini usiamini mtoto wa kiume hakuna kitu utachonga na mama yako na washirika wenu ambacho kitaipindua Chadema umechelewa sana ndio maana mission zenu zote zina abbort hivi kweli unadhani propaganda hizi za kichina za kumhusisha bi shida nani ataziamini huku akijulikana kigoma nzima kwa utapeli achia Dar
Ushauri wa bure,acha roho mbaya jirudi fanya siasa safi hizi za mapepe unageuka wewe na mama yako kipererete ,halafu ukae ukijua roho yenye inda,fitina na husuda huumbuka hapa hapa duniani
 
Tunaambiwa mganga wako alisha kufa pole umejizira na kujigeuza mwehu sasa huna unachosema aibu umekujaa uso mzima, huwezi kuchonganisha watu wenye wafuasi lukuki chadema ni peoples consituency hutaivuruga kirahisi namna hiyo mbona hamuelewi nyie, embu nendeni kwa maji marefu mukapungwe mapepo na mama yako ndi hasara za kuvimbiwa mapanya
 

Hii ni ishu aliyoitengeneza Dr Slaa kupitia vijana wake akina Lwesye kwa bahati mbaya alivyogunduliwa akaanzisha ID mpya haraka jina Barcelona na kutengeneza mchakato mzima jinsi move itakavyoenda mpaka mwisho.
Yote haya sio kwakuwa hapendi michango ya zitto katika kukuza chama hapana
Zitto anapendwa sana na viongozi wake wa chama yaani Mbowe Slaa na wengineo tatizo hafiti katika mfumo unaohitajika kuendelezwa. Ukweli hakuna Raisi aliyeweza kuiongoza Tanzania kwa mafanikio ukilinganisha na waliopita zaidi ya kikwete ila kautingisha mfumo ndio maana anachukiwa sana.
Tanzania tutabakia maskini mpaka pale mfumo utakapovunjwa kwani mfumo wa sasa unawatenga zaidi ya 50% ya wananchi wake.
Mfumo unatumia rasilimali za Taifa kwa kuzisafilisha kwenda Vatican na baadae kurudishwa kidogo kama msaada ila ukilenga kundi la wananchi na wengine kuminywa.
Mungu ni mkubwa kidogokidogo yataisha hata ikibidi kwa mtutu.
 

Mbona unajivua nguo we kijakazi wa dr? Vipi umechomoka nduki huko kigoma baada ya kumkosa mama wa watu, haitoshi umeamia JF kuendeleza ugaidi wako. Kaa ukijua malipo ya ubaya ni kifo.
 

Endelea kujijibu ukimaliza soma na hapa chini nadhani unahitaji kupewa limbwata ili akili yako itulie pole
Maskini mtoto wa kiume wa Shida Binti Salum una akili za panzi hivi kweli wewe na mama yako mulidhani hili dili litauza mulipoteza maboya pale December 2010 ulipokataa kuunga mkono waliomsusia Kikwete hotuba pale tuu ulijiuma uma uma na sasa hakuna jipya amini usiamini mtoto wa kiume hakuna kitu utachonga na mama yako na washirika wenu ambacho kitaipindua Chadema umechelewa sana ndio maana mission zenu zote zina abbort hivi kweli unadhani propaganda hizi za kichina za kumhusisha bi shida nani ataziamini huku akijulikana kigoma nzima kwa utapeli achia Dar
Ushauri wa bure,acha roho mbaya jirudi fanya siasa safi hizi za mapepe unageuka wewe na mama yako kipererete ,halafu ukae ukijua roho yenye inda,fitina na husuda huumbuka hapa hapa duniani
 

Zitto ni kiongozi mzuri lakini ana tamaa sana na madaraka! Tena huyu nasikia shuleni alikuwa hivo. Kwani ndani ya chadema anafikiri hakuna watu wanaoutaka uenyekiti? Pia, kwanini kila siku zitto? Hatujawahi kusikia tundu lissu, mnyika, mdee, kiwia, msigwa and co...
watanzania tuna imani na chadema na si mtu individually. Anaetaka kuondoka aondoke ila misingi ya chama itatupatia viongozi wengine.
Hata kama slaa, mbowe, mnyika wakiondoka ni sawa kwa sababu chadema hakitakufa. Tunahitaji mabadiliko, hatuwezi kuyapata nje ya chadema. Tumisha choka na habari za zitto.
 
Mbona unajivua nguo we kijakazi wa dr? Vipi umechomoka nduki huko kigoma baada ya kumkosa mama wa watu, haitoshi umeamia JF kuendeleza ugaidi wako. Kaa ukijua malipo ya ubaya ni kifo.

Wewe nae umezidi pumba humu ndugu yangu. Umeigeuza jf dangulo.
 

Mabadiliko ya kweli kwenye nchi yetu yatapatikana baada ya kuwahusisha watanzania wote katika kazi za kujenga taifa bila kusahau mgawanyo sawa wa keki ya Taifa. Ila kama kuna watumwa na watwana bado mtumwa ataendelea ku strugle kupata haki yake. Ccm ndio afadhali kuliko cdm.
 
Agente Provocateur

Meaning from wikipedia

Traditionally, an agent provocateur (plural: agents provocateurs, French for "inciting agent(s)") is an agent employed by the police or other entity to act undercover to entice or provoke another person to commit an illegal act. More generally, the term may refer to a person or group that seeks to discredit or harm another by provoking them to commit a wrong or rash action.
As a known tool to prevent infiltration by agents provocateurs,[SUP][1][/SUP] the organizers of large or controversial assemblies may deploy and coordinate demonstration marshals, also called stewards

An agent provocateur may be a police officer or a secret agent of police who encourages suspects to carry out a crime under conditions where evidence can be obtained; or who suggests the commission of a crime to another, in hopes they will go along with the suggestion and be convicted of the crime.
A political organization or government may use agents provocateurs against political opponents. The provocateurs try to incite the opponent to do counter-productive or ineffective acts to foster public disdain-or provide a pretext for aggression against the opponent (see Red-baiting).
Historically, labor spies, hired to infiltrate, monitor, disrupt, or subvert union activities, have used agent provocateur tactics.
Agent provocateur activities raise ethical and legal issues. In common law jurisdictions, the legal concept of entrapment may apply if the main impetus for the crime was the provocateur.

 
Amekurupushwa kigoma kakimbilia huku jf kuendeleza mashambulizi kwenye familia ya Zitto.
Mkuu lwesye pumzika kama Ben saa8 alivyotulia attempt mbovu za kutoa uhai wa watu utawasakama sana.

labda kama huo uhai ulitaka kutolewa wewe maana muhusika ali kanusha!
 
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliomalizika hivi punde hapa njombe, katibu mkuu wa chadema dr slaa ameeleza kuwa ameona kwenye gazeti taarifa zikieleza kuwa mama yake na zitto amevamiwa na kutishiwa kuuawa, ameeleza kuwa taarifa hizo sio za kweli...mama yake zitto ni kiongozi mkubwa ndani ya chadema, kama ingekuwa kweli chama kingemsaidia...
 

hakika
 
Huyu Padri kachanganyikiwa? chama kina polisi? hilo la Lwakatare tu nanga zinapaa seuze hili la mama Zitto.

Babu tulia mlee Junior ndio kwanza ana miezi kadhaa tu.....
 
Mkuu hebu toa maelezo vizuri.... Sababu nataka niunganishe dots na majibu ya Rais wangu Dr.W.Slaa na thread mojawapo humu.
 
Last edited by a moderator:
huyu padri kachanganyikiwa? Chama kina polisi? Hilo la lwakatare tu nanga zinapaa seuze hili la mama zitto.

Babu tulia mlee junior ndio kwanza ana miezi kadhaa tu.....

tatizo hamjielewei kila kitu mnapanic
 

wewe huna uchungu wowote zaidi ya unafiki na chuki binafsi! wewe unajadili watu tuu! hata hili hamta fanikiwa! wewe ulimhoji mama zitto?
 

nili kwambia una chuki binafsi angalia ulicho andika!
 
Mbona unajivua nguo we kijakazi wa dr? Vipi umechomoka nduki huko kigoma baada ya kumkosa mama wa watu, haitoshi umeamia JF kuendeleza ugaidi wako. Kaa ukijua malipo ya ubaya ni kifo.

mbona CHAMVIGA una jichanganya? kweli ni mtu makini kweli? tukio limetokea dar(tabata) au kigoma? hizi chuki binafsi na uongo vina kusaidia nini? sentesi yako imeonesha wewe ni muongo na ujui chochote! pumzika
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…