GAzeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.
Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.
Kada wa CHADEMA atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.
Mkuu MOSSAD II , hawa vijana wa magamba wakimuona Ben Saanane Kwenye uzi wowote wanaanza kutapatapa, na bila kumuongelea Dr.W.Slaa naona hawapati posho, kutwa kumuongea na kuzusha mambo ya ajabu ajabu.
Uzuri ni watu walelawe wa kikundi kile kile, wanaongea yale yale.....tulishawafahamu wala hawatusumbui hapa jamvini na kukote kule....
KISA CHA MAMAZITTO KUVAMIWA NA TAFAKURI YANGU!
hizi ni siasa chafu zenye mikono na mtandao wa wanasiasawaliofilisika kisera kama wassira,mwigulu na nape na UTABIRI wao wa kuwaCDM itakufa kabla ya 2015 na hii ni sehemu ya mikakati yao dhaifu! Hasa baadaya mkakati wa Video ya Lwakatare kufanya vibaya sokoni(kuwa unaUKAKASIna umepoteza mvuto na kuanza kuwatafuna waliohusuka(polisi,usalama,ccm naserikali)
kwakuwa zitto na ***** na baadhi wa wanahabari nisehemu ya mkakati huu wa wanasiasa muflisi ni rahisi kujua kuwa hamnajipya hapa!
MAMBO YA MTUMAKINI KUTAFAKARI:-
Habari ya Mama Zitto imeandikwa na gazeti la MTANZANIApekee yake(mmiliki ni Rostam A,CEO-Ni Bashe) tujiulize ilikuwaje MAMA Zitto akamjulishamwandishe wa gazeti la Mtanzania tu!siasa chafu dhidi ya CDM!
Habari ya Mama Zitto imekihusisha moja kwa moja CDMMama Zitto kama vile Mama Zitto kutambua kuwa baadhi ya waliomvamia niwanachama wa CDM? siasa chafu dhidi ya CDM!
Kwanini habari ya Mama Zitto imehusisha matakwa ya Zittoya Urais na Uenyekiti wa CDM?siasa chafu dhidi ya CDM
Majibu ambayo mama zitto anadai kujibiwa na viongozi wajuu wa CDM yanatia shaka kwa watu makini na kwa mwanachama mwenye nia njema nachama chake!siasa chafu dhidi ya CDM!
Tunaviongozi wetu kweny CHAMA tawala na SERIKALIwanaamini kuwa ukitunga upuuzi na upumbavu dhidi ya chama au mtu binafsi hatakama hauna kichwa wala miguu WATANZANIA watauamini na kuukubali kwakuwa etiwanaamini kuwa watanzania si watu wa kutafakari na kupembua mambo kwakina,WATANZANIA tukae hii tabia!
Zitto anapendwa sana na viongozi wake wa chama yaani Mbowe Slaa na wengineo tatizo hafiti katika mfumo unaohitajika kuendelezwa. Ukweli hakuna Raisi aliyeweza kuiongoza Tanzania kwa mafanikio ukilinganisha na waliopita zaidi ya kikwete ila kautingisha mfumo ndio maana anachukiwa sana.
Tanzania tutabakia maskini mpaka pale mfumo utakapovunjwa kwani mfumo wa sasa unawatenga zaidi ya 50% ya wananchi wake.
Mfumo unatumia rasilimali za Taifa kwa kuzisafilisha kwenda Vatican na baadae kurudishwa kidogo kama msaada ila ukilenga kundi la wananchi na wengine kuminywa.
Mungu ni mkubwa kidogokidogo yataisha hata ikibidi kwa mtutu.
Nenda Loliondo ndo utajuwa kama ni vatican...Pole sana brainwashed.Mfumo unatumia rasilimali za Taifa kwa kuzisafilisha kwenda Vatican na baadae kurudishwa kidogo kama msaada ila ukilenga kundi la wananchi na wengine kuminywa..
We umetoka wapi, mbona akili yako imechoka hivyo? Yaani Kikwete ataongozaje kwa mafanikio wakati hata hajui kwa nini Tanzania ni nchi maskini regardless ya natural resources kuliko hata Uingereza! Au na we ni KILAZA tu!!
15:35 - Zitto anapendwa sana na viongozi wake wa chama yaani Mbowe Slaa na wengineo tatizo hafiti katika mfumo unaohitajika kuendelezwa. Ukweli hakuna Raisi aliyeweza kuiongoza Tanzania kwa mafanikio ukilinganisha na waliopita zaidi ya kikwete ila kautingisha mfumo ndio maana anachukiwa sana.
Tanzania tutabakia maskini mpaka pale mfumo utakapovunjwa kwani mfumo wa sasa unawatenga zaidi ya 50% ya wananchi wake.
Mfumo unatumia rasilimali za Taifa kwa kuzisafilisha kwenda Vatican na baadae kurudishwa kidogo kama msaada ila ukilenga kundi la wananchi na wengine kuminywa. Mungu ni mkubwa kidogokidogo yataisha hata ikibidi kwa mtutu.
15:45 blah blah...
Zitto anapendwa sana na viongozi wake wa chama yaani Mbowe Slaa na wengineo tatizo hafiti katika mfumo unaohitajika kuendelezwa. Ukweli hakuna Raisi aliyeweza kuiongoza Tanzania kwa mafanikio ukilinganisha na waliopita zaidi ya kikwete ila kautingisha mfumo ndio maana anachukiwa sana.
Tanzania tutabakia maskini mpaka pale mfumo utakapovunjwa kwani mfumo wa sasa unawatenga zaidi ya 50% ya wananchi wake.
Mfumo unatumia rasilimali za Taifa kwa kuzisafilisha kwenda Vatican na baadae kurudishwa kidogo kama msaada ila ukilenga kundi la wananchi na wengine kuminywa. Mungu ni mkubwa kidogokidogo yataisha hata ikibidi kwa mtutu.
Duh, tuna safari ndefu! Naona wafa maji wanataka wazame na Chadema! Nadhani mods wengi zaidi wanahitajika kwani mwaka huu wa 2013 ni balaa! Chadema ilitakiwa ife lakini wapi...it appears to have even more lives than a cat! Kaazi kweli kweli!15:48 - blah blah...
Zitto anapendwa sana na viongozi wake wa chama yaani Mbowe Slaa na wengineo tatizo hafiti katika mfumo unaohitajika kuendelezwa. Ukweli hakuna Raisi aliyeweza kuiongoza Tanzania kwa mafanikio ukilinganisha na waliopita zaidi ya kikwete ila kautingisha mfumo ndio maana anachukiwa sana.
Tanzania tutabakia maskini mpaka pale mfumo utakapovunjwa kwani mfumo wa sasa unawatenga zaidi ya 50% ya wananchi wake.
Mfumo unatumia rasilimali za Taifa kwa kuzisafilisha kwenda Vatican na baadae kurudishwa kidogo kama msaada ila ukilenga kundi la wananchi na wengine kuminywa. Mungu ni mkubwa kidogokidogo yataisha kwani uonevu una mwisho.
kadiri chama changu cha CHADEMA kinavyozidi kuchafuliwa kwa mambo ya kutungwa na yacyokuwa na hata chembe ya ukweli,MOYO WANGU NDO KWANZA UNAZIDI KUKIPENDA CHAMA CHANGU CHA CHADEMA..
Dr.w.slaa,katibu wetu,labda kuna hatua gani mmechukua ama mmepanga kuchukua kuhusu hili gazeti la mtanzania coz kila cku limekua likiichafua CHADEMA kwa habari za uongo,mfano mzuri hii habari inayomuhusu mama yake zito..
Duh, tuna safari ndefu! Naona wafa maji wanataka wazame na Chadema! Nadhani mods wengi zaidi wanahitajika kwani mwaka huu wa 2013 ni balaa! Chadema ilitakiwa ife lakini wapi...it appears to have even more lives than a cat! Kaazi kweli kweli!
Hata wewe lazima ushangae raisi kusema hajui kwanini Tanzania ni maskini kwa kuwa utaratibu uliopo ni kupeleka maliasili zetu vatican kisha kurudishwa kama misaada kwakundi la watu wachache wengi wanabakia kupiga miayo tu unadhani angejibu nini? Angeongea ukweli huenda wangemdedisha.
KISA CHA MAMAZITTO KUVAMIWA NA TAFAKURI YANGU!
hizi ni siasa chafu zenye mikono na mtandao wa wanasiasawaliofilisika kisera kama wassira,mwigulu na nape na UTABIRI wao wa kuwaCDM itakufa kabla ya 2015 na hii ni sehemu ya mikakati yao dhaifu! Hasa baadaya mkakati wa Video ya Lwakatare kufanya vibaya sokoni(kuwa unaUKAKASIna umepoteza mvuto na kuanza kuwatafuna waliohusuka(polisi,usalama,ccm naserikali)
kwakuwa zitto na ***** na baadhi wa wanahabari nisehemu ya mkakati huu wa wanasiasa muflisi ni rahisi kujua kuwa hamnajipya hapa!
MAMBO YA MTUMAKINI KUTAFAKARI:-
Habari ya Mama Zitto imeandikwa na gazeti la MTANZANIApekee yake(mmiliki ni Rostam A,CEO-Ni Bashe) tujiulize ilikuwaje MAMA Zitto akamjulishamwandishe wa gazeti la Mtanzania tu!siasa chafu dhidi ya CDM!
Habari ya Mama Zitto imekihusisha moja kwa moja CDMMama Zitto kama vile Mama Zitto kutambua kuwa baadhi ya waliomvamia niwanachama wa CDM? siasa chafu dhidi ya CDM!
Kwanini habari ya Mama Zitto imehusisha matakwa ya Zittoya Urais na Uenyekiti wa CDM?siasa chafu dhidi ya CDM
Majibu ambayo mama zitto anadai kujibiwa na viongozi wajuu wa CDM yanatia shaka kwa watu makini na kwa mwanachama mwenye nia njema nachama chake!siasa chafu dhidi ya CDM!
Tunaviongozi wetu kweny CHAMA tawala na SERIKALIwanaamini kuwa ukitunga upuuzi na upumbavu dhidi ya chama au mtu binafsi hatakama hauna kichwa wala miguu WATANZANIA watauamini na kuukubali kwakuwa etiwanaamini kuwa watanzania si watu wa kutafakari na kupembua mambo kwakina,WATANZANIA tukae hii tabia!
Ben Saanane napenda sana kaka unavyowajibu wazandiki ambao kazi yao kujaribu kudivert ukwel halisi humu,
Pia nimependa majibu ya Rais wangu Dr.W.Slaa ambayo yameondoa ukungu wote na kufifisha propaganda zote zenye lengo ovu humu.
Lastly: Maoni yangu binafsi namuomba kiongozi Zitto asome alama na nyakati, Amuache mama yetu mama Lulu abaki na heshima yake ambayo tumekuwa tukimpa kwani kwa uchunguzzi wangu binafsi inaonesha ni muendelezo ule ule wa sarakasi zenu ambazo hazijawahi kufanikiwa,
CHADEMA ni mpango wa Mungu na yeyote atakayesaliti na kuhujumu kamwe hatobaki salama.
Shard Kole@Tabora1
KISA CHA MAMAZITTO KUVAMIWA NA TAFAKURI YANGU!
hizi ni siasa chafu zenye mikono na mtandao wa wanasiasawaliofilisika kisera kama wassira,mwigulu na nape na UTABIRI wao wa kuwaCDM itakufa kabla ya 2015 na hii ni sehemu ya mikakati yao dhaifu! Hasa baadaya mkakati wa Video ya Lwakatare kufanya vibaya sokoni(kuwa unaUKAKASIna umepoteza mvuto na kuanza kuwatafuna waliohusuka(polisi,usalama,ccm naserikali)
kwakuwa zitto na ***** na baadhi wa wanahabari nisehemu ya mkakati huu wa wanasiasa muflisi ni rahisi kujua kuwa hamnajipya hapa!
MAMBO YA MTUMAKINI KUTAFAKARI:-
Habari ya Mama Zitto imeandikwa na gazeti la MTANZANIApekee yake(mmiliki ni Rostam A,CEO-Ni Bashe) tujiulize ilikuwaje MAMA Zitto akamjulishamwandishe wa gazeti la Mtanzania tu!siasa chafu dhidi ya CDM!
Habari ya Mama Zitto imekihusisha moja kwa moja CDMMama Zitto kama vile Mama Zitto kutambua kuwa baadhi ya waliomvamia niwanachama wa CDM? siasa chafu dhidi ya CDM!
Kwanini habari ya Mama Zitto imehusisha matakwa ya Zittoya Urais na Uenyekiti wa CDM?siasa chafu dhidi ya CDM
Majibu ambayo mama zitto anadai kujibiwa na viongozi wajuu wa CDM yanatia shaka kwa watu makini na kwa mwanachama mwenye nia njema nachama chake!siasa chafu dhidi ya CDM!
Tunaviongozi wetu kweny CHAMA tawala na SERIKALIwanaamini kuwa ukitunga upuuzi na upumbavu dhidi ya chama au mtu binafsi hatakama hauna kichwa wala miguu WATANZANIA watauamini na kuukubali kwakuwa etiwanaamini kuwa watanzania si watu wa kutafakari na kupembua mambo kwakina,WATANZANIA tukae hii tabia!
Nani ametumiwa hapa?