Mama yake Zitto avamiwa

ukichukulia maungamo ya Sagula katika mambo ya Morogoro na Igunga ambayo Dr Slaa naye anahusika naelekea kukubaliana nawe katika hili... Wanatapatapa!

Long time huwa una kuja kuserve pole mama yake rafiki yako ni tapeli la kisiasa na hili limemuanika vibaya zilivyofyatuka kichwani mwake sijui hata mahakamani kama atakumbuka mtungo wenyewe wa movie hurree ooh lala kumbuka vijana wanajenga chama mama na mwana siasa kama zimewashinda warudi lake tanganyika waparure migebuka
 

Mambo mengine msiwaachie watoto kuwafanyia propaganda kama hizi!
 
ukichukulia maungamo ya Sagula katika mambo ya Morogoro na Igunga ambayo Dr Slaa naye anahusika naelekea kukubaliana nawe katika hili... Wanatapatapa!

Mungu wangu ninayemuamini ambaye ni muumba wa mbingu na dunia, muumba vyote vilivyomo yule augeuzae mchana kuwa usiku na usiku kuwa mchana n.k hajawahi kumdhulumu mja wako. Haya yote yanayotekea ambayo kwa kiasi waratibu wake ni wakuu wa cdm atatupa ukweli kwa muda wake kama si duniani hata mbinguni.
 
Kwa ni si mwana JF au ulitaka mama yake muua mapanya ndio aje kugonga like yaani Dr Slaa yeye anatofauti za haki zake kama mwana JF matunguri aliyobeba mgongoni mamieZitto ayashushe tu mapanya yafe
 


Safi sana... Yaani mnajitaja bila kutaka... Mtatapatapa sana. Mungu wenu pia anayaona mabaya yenu dhidi ya wengine!
 
Mja sampuli wa mamie Zitto mola huwa anamtokomeza tuu ,mola kamuumumbuwa mchana peupe kaingia gemu hawezi toka yaani yeye katia mhuri tu kwamba yeye na mwanawe ni vigagula wa kuharibu demokrasia nchini,ushamba unawasumbua ndio maana maisha ni mkorogo tuu kwa mbele
 
Safi sana... Yaani mnajitaja bila kutaka... Mtatapatapa sana. Mungu wenu pia anayaona mabaya yenu dhidi ya wengine!

AAha kijana mkanda umekulegea mwaka hujapita hapa unakuja kusaidia au kukuwadia ushetani duh usomi sasa m.a ka.lioni huna soni weye duh utaunganisha story gani sasa usiku wa manane huu chale za t.a.ko.hatuziwezi unajisema mwenyewe bro duh umekamatika
 
Mambo mengine msiwaachie watoto kuwafanyia propaganda kama hizi!

Mtoto weye hujakuwa unaakili za gizani hujielewi weye Shida binti salumu tapeli la kisiasa hata kwenye chama chake cha walemavu dili limebumburuka unamiaka mingapi kwani
 
fideo imebuma, sasa wanahamia bastola. bado kidogo wataanza kujinyonga waseme chadema.
 
Mtoto weye hujakuwa unaakili za gizani hujielewi weye Shida binti salumu tapeli la kisiasa hata kwenye chama chake cha walemavu dili limebumburuka unamiaka mingapi kwani
Wewe mchumia tumbo umeingia shift ya usiku unatumika kwa maslahi ya wachache kuchafua watu, wewe ndio uliyemvamia mama yake zitto, unakuja hapa kujitetea, shetani kabisa. Na ukome ushindwe ulegee
 
Chamviga,

Tangu nimekuwa mwanachama wa JF au mtandao mwingine wowote daima nimeingia kwa jina langu kamili Dr.W.Slaa. Ni kwa kuwa naamini kutumia jina bandia ni dalili ya uwoga. Yeyote mwenye anaweza kupima ninachoamini kwa kuonyesha identity yangu halisi. Hata hivyo, si vema kuvumilia upotoshwaji na udanganyifu wenye hill mbaya.

1) Leo niliposoma Gazeti la Mtanzania kwa nafasi yangu ya Katibu Mkuu nilimpigia simu Mama Zitto, kwanza kumpa pole na pili kujua hasa yaliyomsibu. Aliyoniambia mama Zitto yanapingana na yote yaliyoandikwa humo, mengine yakidhaniwa yamesemwa na mama Zitto, na mengine yakiandikwa na wachangiaji kwa his kali. Ni hatari sana taifa kuachia watu wakifanya utani na mambo yanayohusu maisha ya binadamu. Tutakuwa sio Taifa serious, linalogeuza kila kitu kuwa utani au ushabiki tu! Labda Mama Zitto akiniambia kuwa alinidanganya, na sioni ni kwanini anidanganye!

2) Nataka niweke wazi, mama Zitto hakuzungungumza nami, na wall kwa wakati wowote, sikumwambia amwone Hemedi Sabula. Yeye aliniambia amenitafuta, akanikosa, akamtafuta Sabula akamkosa. Hatimaye alimpata kwa simu ya Tendwa, afisa Ugavi, Makao Makuu. Pili, nimeongea na Mwenyekiti Mbowe, naye amenithibitishia hakuongea na Mama Zitto. Kauli hiyo inalingana na aliyoniambia Mama Zitto kuwa hakuwa amemjulisha Mwenyekiti Taifa. Ni dhahiri kauli zilizoandikwa kwenye mtandao huu zina malengo ambayo ni ya makusudi, na muda si mrefu tutayajua yote, lakini kwa vyovyote, dalili za awali zinaonyesha hazina nia njema na Chadema na viongozi wake.

3) Nimeongea na Afisa wangu Sabula kinachozungumzwa hap ni kinyume kabisa na alichozungumza na Mama Zitto, na nimethibitisha hayo kwa Mama Zitto Mwenyewe.

4) Nimewasiliana na viongozi wangu wa Jimbo na Kata, kuhusiana na kijiwe chochote kinachojengwa. Taarifa sahihi ni kuwa hakuna kijiwe chochote kinachojengwa na kilichoombewa fedha kwa Mama Zitto. Ila kuna Ofisi ya Kata inakarabatiwa ndiyo iliyoombewa fedha, na wahusika walifika kwa mama Zitto na wakapewa fedha 30,000. Sitaki kuingilia uchunguzi wa Polisi, ninataka tu kuwasaidia walioingia kwenye Mtandao wengi wao kwa ID bandia na kutoa kauli nzito juu ya mambo wasioyoyafahamu na kutoa uhukumu.

Nimetoa taarifa hii kwa wote wanaotaka kujadili kwa nia njema, na stoa taarifa kwa mujibu wa majukumu na nafasi yangu kwa kuwa wanaozungumzwa wote ni viongozi ninaowahudumia kwa mujibu wa Katiba ya Chadema. Aidha, ni jukumu langu kulinda jina la Chadema pale ninapoona intake kuchafuliwa bila msingi, wala utafiti wowote. Mengine nitaendelea kuwajulisha aunkuyaweka hadharani kwa kaduri yatakavyokuwa lazima. Naamini kwa wale wenye nia njema haya yatawasaidia kujadili kwa Tija thread hii.

 
Sasa naona tunaanza hadiithi za Abunwasi" Slaa ashinde humo, huyu huyu Slaa tulikuwa naye busy bega kwa bega Mbeya au wee unaongea Slaa mwingine?

Fuatilia coment zake ndo ujue huyu mzee ni zaidi ya jini au msukule. Kumbe mmeshinda nae huko at the sametime anagonga likes za kumponda mama zitto na mwanae.
Zitto hampi usingizi Slaa yaani yuko jukwaani hapohapo yupo Jf dah ni hatari.
 
AAha kijana mkanda umekulegea mwaka hujapita hapa unakuja kusaidia au kukuwadia ushetani duh usomi sasa m.a ka.lioni huna soni weye duh utaunganisha story gani sasa usiku wa manane huu chale za t.a.ko.hatuziwezi unajisema mwenyewe bro duh umekamatika
Lwesye wewe ni gaidi, acha kujitetea...mnatembea na sumu mifukoni kuuwa watu.mlianza na chacha wangwe, mkaenda igunga, mkaenda morogoro, mkamkosakosa zitto, mkamuumiza kibanda sasa mnaitafuta roho ya bibi kizee...magaidi mna roho mbaya sana
 

Mh vipi mkakati gani mwingine umepanga kama mkuu wa chama kumuangamiza Zitto baada ya mbio zenu za sakafuni na dr?
 

Ushabiki ule ule wa kuitenga familia ya akina Zitto na CDM ili baadaye zianze propaganda za UDINI!
 
Ahsante Dr Slaa huyu Chamviga anaedit pists zetu nadhani mods wamuangalie sana nimeshareport hiyo abuse sijui mods hajaiona hiyo hata kwako anaweza kuedit ndipo amvi lilipofikishwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…