Mama yake Zitto avamiwa

Kumbe unamfahamu.
She is something else!
 
Hapa ndo ninapogundua ni upuuzi kushabikia chama maana kufanya hivyo kunamtoa mtu akili huru ya kufikilia mambo ki sawa sawa.Na ndio maana hata haya makundi ya dini yanaharibu sana amani kwa maana watu wamejisahau na wamebaki wakishabikia madhehebu badala ya kushabikia mema yatajwayo na kuhimizwa na dini.Mi ndo maana naangalia mwenye kunipendeza kimatendo ndiyo atapata kula yangu wala sio kwa sababu yupo chama fulani.
 
Hivi ninyi kueleza sera zenu mmeshindwa na mnaamua kwapromoti CHADEMA? Rejeeni kauli ya Baba wa Taifa kuhusu Mrema kubebwa, kbadilisha mtindo itafikia
Mahali hakuna atakaewaamini tena mahali
 
Nusu(50%) ya maafisa usalama wa Taifa Tanzania wanaripoti kwangu - Dr.Slaa 2010.
My take; kama wanaripoti kwa dr slaa na imeanza kugundulika TISS ni makuadi wa CCM the
 
Mama kama ni kweli pole sana ila kama napo ni move pole pia maana umejidhalilisha wewe na umemzalilisha mwanao maana kila ck anaimba rushwa huku wala rushwa anao nyumbani kwake! Magamba howeeee , peopleeeeeeez....
 
Hizi movie Mwaka huu,

Watu wadhani watanzania wote wajinga!
 
mama zto tena? haya mambo yanakaaje katika hili lazima zito na mbowe wafunguke vinginevyo hatuwaelewi kabisa hawa lazima wanachezeana.
 
una comment kigaidi kweli. wewe ni lazima utakuwa mtekeleza huu mpango ndio mana unataka kushawishi watu wamdharau mama zitto wakati ni mtendewa..acha ugaidi wako bana sio vizuri, hii nchi ni yetu sote

Zitto na Mama yake ni magaidi wa kisiasa content za kwenye gazeti zinathibitisha kuna mtu anasema kumbe huyo mama zitto ni tapeli lililokubuhu hata kwenye chama cha walemavu kumbe walemavu wenziwe waliandamana kudai fedha alizozitumia kwa manufaa yake mwenyewe ,hakika kwa hili amejidhariisha na kujidharaurisha mr bungeni aka zzzzzzzz
 
kinana anauza kucha na meno ya watu badala ya meno ya tembo siku hzi?
 
Hadi 2015 tutajua kila rangi ya hiki chama huu ni mwanzo tuu makubwa yanakuja
 

Nimefuatilia kwa umakini coment za BACHELONA na uandishi wake humu ndani na hata anavyoandika ukilinganisha na atamkapo wakati anaongea nimegundua "BACHELONA NI DQ WILBROAD SLAA" nakuombeni mfuatilie coment za slaa humu ndani unganisheni na Barca mtajua niko right au la.
 
Maandalizi ya vita baada ya 2015 yanaendelea vizuri san.

Waandaaji ni CCM na CHADEMA.

Jeshi langu la kidato cha Nne muliofeli kuanzia 2011 mpaka 2015 aeni mkao wa kula,ajira hipo hivi karibuni,2015 sio mbali vumilieni kidogo tu.

Padri Slaa tulahisishie mambo waambie wale jamaa zako watuingizie bunduki maana mwenzio Mr.Dhaifu Kikwete ameshaanza kutuwekea mambo sawa kwa kutupeleka JKT ili tujue namna ya kutumia silaha,baada ya 2015 kazi ni nyepesi ni kuwakabidhi vijana silaha maana watakuwa wameshahitimu JKT.

Yote haya kwa faida ya nani?
 
 

Wengine wanajenga chama hatutaki matapeli wa kisiasa mama na mwana
 

ukichukulia maungamo ya Sagula katika mambo ya Morogoro na Igunga ambayo Dr Slaa naye anahusika naelekea kukubaliana nawe katika hili... Wanatapatapa!
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…