Maccm wamepata kasingo kapya,m23,Bunge,Chris Lukosi changamkieni elfu 7 masikini wakubwa nyie mnauza utu wenu kwa magamba.CHADEMA HAICHAFULIWI KWA MBINU NDOGO ZA KIJASUSI..We ar more than..
Majibu ni muhimu kwenye swali hili?!means wanawindana wao kwa wao.
Hao ni vibaka wa kawaida tu. Haina uhusiano na kazi za kamanda zitto.
Kama kweli amevamiwa na MAKADA WA CHADEMA ,basi hapa kuna kitu ambapo kinapaswa kutazamwa kwa jicho la ZKweli hii ni nchi yetu sote? maana kunya anye kuku, akinya bata kaharisha, Jamani mama Zito kasema ni makada wa CHADEMA, nyie wengine mnasema CCM `magamba kama mnavyoiita` sasa hapo tumuamini aliyetendewa na amewatambua waliommtendea au ninyi mliopata taarifa hizi na kuanza kushutumu watu wengine?
Mkuu kuna mambo ya kutetea lakini sio uhalifu!,watu wanafanya utani sana na maisha ya watu!,halafu ni kwa nini siku hizi CDM inaandamwa na matukio ya kihalifu namna hii,au ndio malipo yenyewe yananza hivyo?!haaya teteeni maana cdm ni kundi la malaika.lakini kumbukeni mtaadhirika sana.
Leo CDM inakinukisha Mbeya!
Tulieni mnyolewe!
Ben, sina hakika kama hayo unayosema yanatoka rohoni kwako. kwa jinsi unavyomchukia zitto upo uwezekano pia wa kumdhuru mama yake. ben, tuhuma juu yako za kutaka kumuua zitto kwa sumu ni nzito na haziwezi kujivua kwa propaganda za kwenye jf
Mkuu nina mashaka na hilo jina lako hapo juu,isije ikawa na ww ulikuwa kwenye msafara?!Jamaa ataacha hii thredi iendee weeee, afu kesho au kesho kutwa atakuja kuthibitisha au kukanusha, ili aendelee kujadiliwa wiki nzima.
Sijui Mh. Zitto amewakosea nini viongozi wenzake wa CHADEMA.