Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,930
Kamishna kabidhi kazi kwa JWTZ maana Polisi wakawaida wameshindwa. Rudisha kila mtu kwao.
Katiba ya nchi haielekezi hivyo; na wala hii sio military regime.
Kamishna kabidhi kazi kwa JWTZ maana Polisi wakawaida wameshindwa. Rudisha kila mtu kwao.
We ndio ulikuwa unawala warundi pale makere eeeeNikwel kabisa unyanyasaji huo upo, kuna kipindi nilikuwa kwene mradi wa viatel tz,huko kigoma yani wadada wananyanyaswa sana hasa kwa kulazmishwa ngono na wote pale kasulu nilikuwa hatar sana
We
FF unahatarisha kucha na macho yako kwa kuwasema hawa wenye nyadhifa serikalini.
Tafadhali msaidie kamishna kwa kumpelekea majina ukionyesha wako wapi na wanafanya nini.
= hujui= vibali
Wewe ni Mtanzania? Mbona hujuwi kuandika lugha yako ya taifa kwa ufasaha?
Kiswahili si lugha mama kwako, ulifundishwa shuleni na asiyejuwa Kiswahili. Kumbuka hilo.= hujui
Wewe ni Mtanzania? Mbona hujui kuandika lugha yako ya taifa kwa ufasaha?
Wale walima bangi sio??Aje Tarime, RAIA wa nchi jirani wengi sana, pia Geita wapo wengi sana. Akitaka tumtajie akajiridhishe
Mkuu hapo kwenye mikoa umesahau Kigoma. Kwangu mm ndio namba moja kwa kuingiza wahamiaji haramuHongera sana kamishna mpya wa uhamiaji kwa jitihada za mwanzo,maeneo in mengi yenye matatizo ya kiutendaji. Leo umekamata passport ila wamiliki wa passport hawana vibal vya kazi ila maeneo yapo mengi kuna ,mikoa yenye changomoto za RAIA wa kigeni kuingia kinyemela na kuafanya kazi kinyume na sheria ni kama: 1. Arusha 2. Dar 3. Mwanza 4. Mbeya !
Kwa pale Arusha kuna kampuni nyingi za wahindi wafanyakazi wa kigeni wapo bila vibali,na hata family member wao wapo nchini bila vibali,mwingine wamefikia mahotelini kwa kuogopa taarifa zao kujulikana kwa wananchi,uhamiaji Arusha hawafanyi lolote yani kupiga deal na RAIA wa kigeni hao.
Bi mkuu muda mwingine uwe unakubali km ulikoseaNukta na koma zina ahkam zake. Si kwa kuwa sentensi ni ndefu basi uweke nukta.
Asili ya Kiswahili kikiandikwa kwa herufi za Kiarabu ambazo hauhitaji nukta wala koma kwenye sentensi.
Bi mkuu muda mwingine uwe unakubali km ulikosea
Kamishna kabidhi kazi kwa JWTZ maana Polisi wakawaida wameshindwa. Rudisha kila mtu kwao.
Apa Dar es salaam Tanzania kuna Wanaijeria wengi na wakongo mani, biashara zao azieleweki zaidi ya kufanya biashara za Madawa ya KulevyaSongwe,RUKWA ,katavi,kigoma kagera wahamiaji wengi sana,hata hapa dar kuna wahamiaji wengi sana mfano kila nyumba moja ya wapangaji kuna mnyasa mmoja
