Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,469
- 2,901
n
bila shaka hukosi hahahhahaAtaikamata nusu ya Tanzania.
Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.
Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.