Mama wa uhamiaji acharuka

Mama wa uhamiaji acharuka

Huyu mama chini yake kuna watendaji wake ambao kila mwezi wanachukua fedha kwa wageni ili waendelee kukaa kinyemela.
Tunamuangalieni tu.
halafu baada e tutamtajeni majina.
Eh! Kumbe ni mmama!!! Nilidhani mwanaume.
 
Mama naomba usafishe kwenye migodi uko kumeoza mfano mgodi wa North Mara Tarime,kuna kampuni moja ya ulinzi ijulikanayo km Assey Risk kutoka Uingereza ina Wazungu zaidi ya ishirini na wote ni wanajeshi kutoka nchin kwao inasemekana wakati wakuomba vibali wanadanganya kua ni washauli wakati wanakuja kufanya kazi wamezagaa hadi kwenye mageiti wanafanya kazi ,kazi ambazo zinatakiwa kufanwa na watanzania na niwanyanyasaji wakubwa wa watanzania wanachokifanya nikuwalambisha Pesa viongozi wa polisi Mtanzania hata anyanyaswe vip akienda polisi hasikilizwi na hata akifungua shitaka kesi inaishia polisi amna cha kupelekwa mahakamani.
 
Huku visiwani ndio wageni watupu wasio na vibali hasa wazungu, wahindi, waarabu na wakenya. Mahotelini hasa ndo walikojificha ila wanapataga taarifa mapema siku za patrol kisha wengi hujificha siku hiyo au hujifanya wateja nao pia badala ya kufanya kazi ili wasikutikane na ushahidi wa kufanya kazi. Intelligence pekee ndio njia ya kuwakamata ya kuwashirikisha wafanyakazi walio wazalendo, majirani na Serikali za mitaa.
 
Ataikamata nusu ya Tanzania.

Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.

Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
Ni matokeo ya mfumo mbovu wa ccm. Kuna mtutsi mmoja anajitambulisha kama muha wa Kigoma tena yupo serikalini lakini wahusika utadhani hawawaoni.
 
Hongera sana kamishna mpya wa uhamiaji kwa jitihada za mwanzo,maeneo in mengi yenye matatizo ya kiutendaji. Leo umekamata passport ila wamiliki wa passport hawana vibal vya kazi ila maeneo yapo mengi kuna ,mikoa yenye changomoto za RAIA wa kigeni kuingia kinyemela na kuafanya kazi kinyume na sheria ni kama: 1. Arusha 2. Dar 3. Mwanza 4. Mbeya !

Kwa pale Arusha kuna kampuni nyingi za wahindi wafanyakazi wa kigeni wapo bila vibali,na hata family member wao wapo nchini bila vibali,mwingine wamefikia mahotelini kwa kuogopa taarifa zao kujulikana kwa wananchi,uhamiaji Arusha hawafanyi lolote yani kupiga deal na RAIA wa kigeni hao.
Huku Arusha kuna watu wameoa wazungu kabisa na wamezaa watoto. Naomba uhamiaji waingie rasmi Arusha ili hawa wanaojiita Rastafarian twende sawa.

Wanaringa kisa wameoa wazungu wa magendo.
 
Ni matokeo ya mfumo mbovu wa ccm. Kuna mtutsi mmoja anajitambulisha kama muha wa Kigoma tena yupo serikalini lakini wahusika utadhani hawawaoni.

Marehemu Nyerere alikuwa hataki hata vitambulisho vya taifa, aliamini kuwa Afrika ni moja kasoro Biafra tu.
 
Ataikamata nusu ya Tanzania.

Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.

Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
Mama umewasahau Wakongo, ni wengi sana mjini tena na ofisi zao nyingi tu wamefungua tofauti na kutupigia muziki.
 
Huku Arusha kuna watu wameoa wazungu kabisa na wamezaa watoto. Naomba uhamiaji waingie rasmi Arusha ili hawa wanaojiita Rastafarian twende sawa.

Wanaringa kisa wameoa wazungu wa magendo.

Kisa wanakukwaza tu.Hao maRasta NI WaTanzania wake zao Na watoto wote NI WaTanzania
 
Ataikamata nusu ya Tanzania.

Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.

Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
Rangi nyekundu: Unawatofautishaje na wakimbizi wa mwaka 1972 ambao kwa sasa wamepewa uraia wa Tanzania mwaka juzi? Watoto wao wamezaliwa Tanzania, wamesoma Tanzania kuanzia chekechea hadi ngazi mbalimbali kielimu na wameajiriwa Tanzania!
 
Atoe namba za simu tumpe mchongo
Sisi ndio tunaishi nao mtaani ...na kufanya nao kazi...
Wachina kibao kitaa wamejifungia na miukuta yao mirefu......
 
aende na Kongowe kwenye ile kampuni ya wasonjo,wamejazana mwenyewe vitengo vyote na kasi ni kuwakandamiza waswahili,na kuna kituo kimoja cha polisi kama washakinunua vile,kama chao wakiitwa tu ni fasta washafika.
 
Back
Top Bottom