zubedasoud
Member
- Feb 1, 2017
- 91
- 117
Hongera sana kamishna mpya wa uhamiaji kwa jitihada za mwanzo,maeneo in mengi yenye matatizo ya kiutendaji. Leo umekamata passport ila wamiliki wa passport hawana vibal vya kazi ila maeneo yapo mengi kuna ,mikoa yenye changomoto za RAIA wa kigeni kuingia kinyemela na kuafanya kazi kinyume na sheria ni kama: 1. Arusha 2. Dar 3. Mwanza 4. Mbeya !
Kwa pale Arusha kuna kampuni nyingi za wahindi wafanyakazi wa kigeni wapo bila vibali,na hata family member wao wapo nchini bila vibali,mwingine wamefikia mahotelini kwa kuogopa taarifa zao kujulikana kwa wananchi,uhamiaji Arusha hawafanyi lolote yani kupiga deal na RAIA wa kigeni hao.