Mama wa uhamiaji acharuka

Mama wa uhamiaji acharuka

Tatizo rushwa ndo ulikuwa kibao,yani nawachukia sana hwa uhamiaji ,kuna miradi king bao inatejelezwa na foreigners BT bila kufata taratibu za nchi nahao ndo wanatukosesha nafasi ambazo tunawrza Fanya wzt
 
Zanzibar wageni wengi wapo kazini kwenye mahoteli ya kitalii na wengi wanaishi bila vibali. Mbinu ni kuwa na afisa wa ofisi ya Uhamiaji ilioko karibu nae, anakuwa anamtoa kama Dola 50 mara kwa mara.siku ya kuondoka hivyo hivyo ni kunyoosha tu mkono airport na kesi imeisha.
 
Aje Tarime, RAIA wa nchi jirani wengi sana, pia Geita wapo wengi sana. Akitaka tumtajie akajiridhishe

Wanaomwangusha ni watendaji wake, haitaleta maana kama watakamatwa wageni bila kukamata watumishi wasiowaadilifu idarani kwakwe
 
Rushwa inaua uzalendo kabisa....
Hatari kaka,passport pale uhamiaji zinatoka kama njugu ,yani mwaka juzi nilikuwa nafatilia passport kufka pale nikapewa vikwazo vingi japo nilikuwa navieleelezo vyote ila akatokea afsa mmoja akanambia kuwa nitoe pesa laki 2ili niweze kupata pspot kwa haraka..... Yani no hatar kwa idara zetu,ndo mana mhesh rais kamwambia afanye deeply reform ya taasis ,wazembe watolewe wazalendo tupo
 
Ulitoa hiyo laki 2 ?
 
Aende Bungeni kukamata Wahamiaji haramu. Sijui ataambiwa aombe kibali cha Spika.

Mbunge wa Kigoma Mjini ni Raia wa Congo
 
Rushwa ni kubwa sana uhamiaji. Majengo yote yanayojengwa na wachina utakuta wapo wachina kibao wasio na vibali. Yaani wanafungiwa humo kwenye jengo.

Uhamiaji wakija wanapewa chao wanasepa.

Kinachonikera wachina unakuta hawana vyoo. Yaani mtu anakata gogo nje halafu analitiririsha kwenye kibustani chao cha michicha hapo hapo site.

Wakichukua dem wa kibongo wanapiga mtungo site nzima. Kinachosaidia tu dada zetu wasiumizwe ni kuwa wachina wana vibamia. Wanakutana na mishimo ya wadada wa bongo unakuta amepigwa na wachina 50 halafu anatoka anadunda tu
 
Nikwel kabisa unyanyasaji huo upo, kuna kipindi nilikuwa kwene mradi wa viatel tz,huko kigoma yani wadada wananyanyaswa sana hasa kwa kulazmishwa ngono na wote pale kasulu nilikuwa hatar sana
 
Wachina wachina wachina hawa inabidi wapewe kipaumbele cha kuondolewa nchini.
Kiasi Fulani ni kama vile wachina wanawapa kipaumbele cha kipekee. Sijui kwa nini
 
  • Thanks
Reactions: BAK
We
Ataikamata nusu ya Tanzania.

Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.

Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
FF unahatarisha kucha na macho yako kwa kuwasema hawa wenye nyadhifa serikalini.
Tafadhali msaidie kamishna kwa kumpelekea majina ukionyesha wako wapi na wanafanya nini.
 
Back
Top Bottom