nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,682
- 14,067
Naam nyadhifa serikalini.nyadhifa serikalini?!!!!
Naam nyadhifa serikalini.nyadhifa serikalini?!!!!
Kuna taarifa zinazagaa kuwa hata wewe si raia wa Tanzania.Tunaomba ututhibitishie.Ataikamata nusu ya Tanzania.
Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.
Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
Kwani suala la uhamiaji Manji linamhusu vipi?Suala hili lisiishie kwa Manji pekee ila liende na kwingine, Ni wakati wa mifumo kufanya kazi ipasavyo ili ijiendeshe automatically. Vibali ni tatizo kwa wageni wengi walioko tanzania, pia uwezo wa utendaji wa baadhi ya wageni haulisaidii taifa ila wapo watanzania wengi wenye uwezo wa kufanya kazi hizo hapa Tanzania na kulisaidia taifa..
Aanze na john pombeAtaikamata nusu ya Tanzania.
Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.
Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
Aisee kweli kabsa kuna shule ina walimu wa ugand na hawana vibali vya kuishi TzApitie na kwenye mashule binafsi
nani huyo tajaaa alaaNaam nyadhifa serikalini.
Kamishna kabidhi kazi kwa JWTZ maana Polisi wakawaida wameshindwa. Rudisha kila mtu kwao.
zamani mambo yote juu.CCM ipo juu sana.
Hapa kinaongelewa CCM au wahamiaji haramu?
Hivi nyinyi manyumbu hamna sera?
Hongera sana kamishna mpya wa uhamiaji kwa jitihada za mwanzo,maeneo in mengi yenye matatizo ya kiutendaji,,Leo umekamata passport ila wamiliki wa passport hawana vibal vya kazi ,ila maeneo yapo mengi kuna ,mikoa yenye changomoto za RAIA wa kigeni kuingia kinyemela na kuafanya kazi kinyume na sheria ni kama: 1.Arusha 2.Dar 3.mwanza mbeya !,kwa pale arusha kuna kampuni nyingi za wahindi wafanyakaz wa kigeni wapo bila vibali,na hata family member wao wapo nchini bila vibali,wwngine wamefikia mahotelini kwa kuogopa taarifa zao kujulikana kwa wananchi,uhamiaji arusha hawafany lolote yani kupiga deal na RAIA wa kigeni hao
Hujuwi? Hujui= vibali
Wewe ni Mtanzania? Mbona hujuwi kuandika lugha yako ya taifa kwa ufasaha?
Hakuna wingi wa nyumbuCCM ipo juu sana.
Hapa kinaongelewa CCM au wahamiaji haramu?
Hivi nyinyi manyumbu hamna sera?
Kuna taarifa zinazagaa kuwa hata wewe si raia wa Tanzania.Tunaomba ututhibitishie.
Hakuna wingi wa nyumbu
Manyumbu=nyumbu
Ulienda shule kuelimika au kutazama jengo?
Ataweza? Kuna sehemu akifika mwenyewe anafunga breki.Aje Tarime, RAIA wa nchi jirani wengi sana, pia Geita wapo wengi sana. Akitaka tumtajie akajiridhishe
Aanze na john pombe
Ivi umeolewa we mama! Hakika kama hujaolewa naomba nikuoe kabisaaaaaaa wala sitanii.Wala si uongo, kweli kabisa.
Hujuwi? Hujui
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa, miaka 35 iliyopita.Ivi umeolewa we mama! Hakika kama hujaolewa naomba nikuoe kabisaaaaaaa wala sitanii.