Mama wa mtoto Zahara aliyeasiliwa na Angelina Jolie aomba kukutana na mwanae

Wanataka tu kumchanganya huyo mtoto saivi sasa kashatengeneza Bond pengine wanataka kumconfuse kua ana mama mwingine not fair
 
Huyu mwanamke ni mpuuzi kuliko hata vichaa wa milembe!
Nitegemea angekuwa na maneno kama haya "Nataka ni onane naye ni muombe radhi kwa kumtelekeza na kudai eti nilikuwa nimefariki"

Umaskini unamtelekeza mwanao kisa pesa ?
Nani amepata kuzikwa na hizi mali dunia? Nani kazikuta hizi mali huko ahera?
Kuwa na nidhamu kijana.
Aliyekwambia Wagonjwa wa akili Mirembe ni wapuuzi ni nani?

Mnadhalilisha wagonjwa kwa maneno yenu ya kihuni.
Angekuwa ndugu yako kule mirembe ungemuita mpuuzi.?

Watake radhi km wewe ni binaadamu unaeishi Tanzania.
 
chizi Huyo kashaona mwanawe ana good life so anataka na yy asafirie nyota
 
Hata miminiliwaza hivyo lakini after I read more nilimhurumia mama wa mtoto na nikatamani apewe nafasi ya kuongea au hata kumuona mwanae.
Inasemekana alibakwa akiwa 18 yo. Na baada ya kujifungua alinyang'anywa mtoto (kwa vyovyote kwa sheria za mila zao au dini kutokana na kwamba alikua hajaolewa na alikua mdogo)
Baadae mtoto alipelekwa orphanage ambapo Angelina ali my adopt baada ya kudanganywa kua mama was mtoto alifariki kwa ukimwi.
Labda ni kiss chenye ukweli ndani yake- Ukweli anao yeye.
Anataka kumharibia maisha mwanae maana atajua yote ya kuwa baba yake hajulikani na ni mbakaji. Kama anampenda mtoto wake asimharibie maisha.
 
Nitegemea angekuwa na maneno kama haya "Nataka ni onane naye ni muombe radhi kwa kumtelekeza na kudai eti nilikuwa nimefariki"

Umaskini unamtelekeza mwanao kisa pesa ?
Nani amepata kuzikwa na hizi mali dunia? Nani kazikuta hizi mali huko ahera?

Hakika ndugu yangu, kila kitu tutakiacha hapahapa. Hatukuja na kitu na wala hatuwezi kwenda na kitu huko tuendako.
 
huyo bi.Mkubwa anataka kuharibu akili ya mtoto kwa maslahi yake.

Kwa umri wa huyo mtoto huwezi kumwambia chochote kuhusu mama yake kikubwa utamvuruga akili yake.

Mtoto akikua atautafuta mwenyewe ukweli na atarudi kumsaidia mama ake kama akipenda lakini sio kwa umri ambao anao Leo huyo Hiyo itamvuruga badala ya kumsaidia.
 
Kuwa na nidhamu kijana.
Aliyekwambia Wagonjwa wa akili Mirembe ni wapuuzi ni nani?

Mnadhalilisha wagonjwa kwa maneno yenu ya kihuni.
Angekuwa ndugu yako kule mirembe ungemuita mpuuzi.?

Watake radhi km wewe ni binaadamu unaeishi Tanzania.

Naomba radhi-kwa jazba yangu-kwa wagonjwa wa Milembe! Ila bado huyu mwanamama kama alimkana mwanae kwa issue za njaa ni mpuuzi!
 
Back
Top Bottom