strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,299
Kanafanana na mama yake
ETHIOPIAHuyu mama wa kiswahili ni wa kutoka nchi gani
Daaah komenti yako ya kibabeAmwache mtoto ale raha, anataka kumleta Afrika Kuzimu
Pole kwa ban
Mkuu hili neno umelitumia vibaya, Baloteli angekuwa mmbongo akasikia umemuambia hili neno lazima angekutafuta akuoneshe ukweli ili ukasimulie.Kwani Baloteli naye alihasiwa?
Hahaha asante mdau maana kuna watu wazima humu wanajifanya watotoMkuu hili neno umelitumia vibaya, Baloteli angekuwa mmbongo akasikia umemuambia hili neno lazima angekutafuta akuoneshe ukweli ili ukasimulie.
I think Malawi mkuuitakuwa ethiopia
somalia
sudan
kati ya hizi nchi
Hahahahahahahahahuyo mama atumiwe tu picha ya mtoto aitazame inatosha.
Watu mnabadilika sana. Hongera sana Ustaadh Kahtaan.Kuwa na nidhamu kijana.
Aliyekwambia Wagonjwa wa akili Mirembe ni wapuuzi ni nani?
Mnadhalilisha wagonjwa kwa maneno yenu ya kihuni.
Angekuwa ndugu yako kule mirembe ungemuita mpuuzi.?
Watake radhi km wewe ni binaadamu unaeishi Tanzania.
Watu mnabadilika sana. Hongera sana Ustaadh Kahtaan.
Allah akupe Baraka kadiri ya mategemeo ya moyo wako.