Mama wa miaka 50 ananitaka

Angekua mzuri najua usingetaka hata ushaur πŸ˜‚ ila kama anazo pesa za kutosha kukuhonga wee mtrombe tu kwa tahadhari... Kama hana pesa mwambie akatafute wazee wenzake aliokula nao ujana...
 
Cha ajabu sio huyo mama kukutaka, la hasha!

cha ajabu ni kwambaa ukiombwa namba yake hutoitoa katuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpe ufadhili acha kumbania mmama wa wtu mpe raha za dunia ujue.
 
Ajabu sana! Asilete kuvunga,akamkune tu mama wa watu Kwa kweli,afu tunakoelekea inaonyesha tutaanza kununua hizi fimbo Ili zituchape
si unaona hizo jeuri zao
Wanaume tunaringa sana siku hizi
 
Mtoto wa kiume unamwambia mwanamke "Siwezi!"... Wewe kula kwanza utimize uanamme wako uone kama yaliyomo yamo au kama ana mkono mwepesi (mpunga), inawezekana unapiga teke sahani la dhahabu!! Ukiona hana kila kitu piga chini litakuwa sio lishangazi hilo bali libibi
 
sasa nikianza kumpiga hela , sintakuwa mario sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…