bingu wa m
Member
- Aug 10, 2011
- 20
- 7
mama mmoja wa mkoa wa kilimanjaro alimuuliza mama wa kiswahili hifi mamananihii subeda haonekani sikuhisi amemsafirisha?mama akajibu mwanangu kavunja ungo simrusuhu atembee tena,mama wa kilimanjaro mbula kafunja ungo tuu?makdalena kajunja jagi hizo?mbilli tfi,fikombe hasihesabiki sijui na mimi namfungie labda atabadilika.