Mama wa Diamond ni mgonjwa

Wambie wampeleke hospitali au hapa jukwaan anahitaji msaada gan tumsaidie
 
Ndio nani huyo.? Ni mwanasiasa,mwanamziki au mcheza filamu.?
 
Wambie wampeleke hospitali au hapa jukwaan anahitaji msaada gan tumsaidie

Hujamuelewa mtoa mada sababu ya kuleta mada hii anataka kutueleza kuwa ile safari ya kumkabidhisha kwa ma fri mason imeanza.
 
Hujamuelewa mtoa mada sababu ya kuleta mada hii anataka kutueleza kuwa ile safari ya kumkabidhisha kwa ma fri mason imeanza.

du sasa huyu bwana mdogo ni hatari sn, mbona kila siku anajisifia na kujivuni mama yake sasa anataka kumtoa inasikitisha sn
 
Halafu hii tabia ya kutapika kwenye mifuko hii siiungi mkono kabisa,kwanini usijiachie tu
 
Si nasikia huyu mama anapenda dogo dogo
Umri kama wa diamond mwenyewe
 
vipi serengeti boys washafanya mambo nn? lakini hajagonga kitu menopause kweli, i doubt.mama naye kawa selebrit..tehetehtehetehetehhhheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom