Mama wa 51 years

Eishh
wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema kuendelea naye?

Kwa uzoefu upi ulio nao?

Kwamaba mama yako anapika ubwabwa mtamu haimaani ndio bora kuliko wa jirani...
 
mimi binafsi natamni niwe naye kwa sababu hanipi gharama zozote na ananisadia chochote kile lakini mtaani kwetu kuna watu waliniona naye wameongea sana mpaka nashindwa kutoka nje
Wanaume wa siku hizi ..... puuuuhhhhh! Its only gharama that is keeping u with her?? Cant u be a man n find ur own means of being independent?? So u have decided to forfeit all ur happiness n dignity for the cash?? Again cant u be a man n search ur own cash?? Thought ungesema u love her!!?? Ndo maana naamini better dildos than nyie msiotaka kuwa men! Hakuna tofauti na mdada mwenye relationship for da sake of cash n mwanaume umri wa babu yake, ila ww sasa sijui tukuite nani.. maana mna majina mengi tu ya wanawake wa style hiyo.
 
miaka 51 ni mingi mno kha!! wamama wengine tangu miaka 15 wanafanya matusi hawachoki??

Na wataalamu wamefanya research wanawake wakiwa kwenye menopause ndo wanarudia ile sexual drive of 20's as sasa hawazii mimba sijui, watoto keshapata kama kuwin or kuloose life keshajua sasa amekubali matokeo so amesettle psychologically. N wanajikubali sana na their sexuallity. Nilisoma hichi kitabu nimesahau author ' sex in sixties' dah I am waiting anxiously for my retirement age.
 
wako tayari kutumia laini ya pili

Ndo umefikiri weee umeandika utumbo huo??!! Cant u be smarter than that! Kama mtumiaji jiandae long run effect sijui hichi kimeziba, kile hakifanyi kazi! Ndo utajua kwa nn inakatazwa.
 
Kijana utamu unaousema ni upi. Kwa uelewa wangu ni kwamba ile kitu waliyoapewa wanawake ni kitamu sana pia kitu waliyonayo wanaume ni tamu kwa wanawake.

Mimi nanakuonea huruma sana kijana. Kwanza kabisa inaonyesha hujawahi kumpata mwanamke mwingine. Na inawezekana huyo bibi uliye nae ndie demu wako wa kwanza kusex nae kwa muda mrefu.

Naomba ujiulize maswali yafuatayo:
  • Kama huyo bibi ameachika ni kwa nini ameachika? Majibu: inawezekana akawa ni mkorofi, amejeruhiwa au ameambukizwa UKIMWI. Wapo wengi waliojeruhiwa kwa njia hiyo.
  • Je ni kwa nini ni mtamu sana? inawezekana anatumia utaalamu wa kufanya k****a yake iwe tight.
  • Na kama anakubali abaki kwenye gari kukungojea au kukusubiri ni kwa nini asishuke? hapo kuna kitu kimejificha
  • Naomba ufanye utafiti kumhusu huyo mama, kinyume na hapo atakupotezea muda, na mwisho utanza kuwa kama fimbo.
  • UKIMWI unaua, na walioadhirika ni watamu sana, na wanajitahidi sana kuwafurahisha wenzi wao. Kijana utakufa. Take care.
  • Naomba kuwakilisha.
 
i envy you....some women are like wine.the older,the better......vintage lol
envy him????? those are the last words i would expect from you the The Boss. can't you see an energetic boy is lost to a menopause grandmother?
 
Kanyaga twende. Wote watu wazima. Ungekuwa chini ya miaka 20 ningekushauri
 
Eishh
wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema kuendelea naye?

Samahani wewe si ndio ulileta thread ya maumbile na tabia? Ahaaaaa kumbe warefu ndo tabia zenu kulelewa na vibibi? Endeleza libeneke tu mkuu
 
Na wataalamu wamefanya research wanawake wakiwa kwenye menopause ndo wanarudia ile sexual drive of 20's as sasa hawazii mimba sijui, watoto keshapata kama kuwin or kuloose life keshajua sasa amekubali matokeo so amesettle psychologically. N wanajikubali sana na their sexuallity. Nilisoma hichi kitabu nimesahau author ' sex in sixties' dah I am waiting anxiously for my retirement age.
so you want to believe everything written on books and newspaper headlines? you want to practice everything you see in a a fascinating movie. if that is so then can you try WRESTLLING AT HOME.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom