Mama wa 51 years

Eishh
wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema kuendelea naye?

kama ameachika given ni mtamu endelea nae iwapo nawewe umeachika

utamu wake ndio unaokufanya umpende, naye anakupenda ndio maana hataki kukuacha
 
huyu mama ni mtu mzima sana hapo naona mkuu bosi anafagilia hii, sio sahihi jamani huyo ni mtu mzima anatakiwa akae na kulea wajukuu, wamama wa aina hii huwezi amini anaweza tembea na mumeo, macho juu juu, utakuta vina dawa kichwani halafu pembeni karibu na masikio vinywele vimewanyonyokaaa
 
Eishh
wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema kuendelea naye?

sasa ww mbna huendani na jina lako topthinker atatizwi na jambo dogo kama hilo naomba nkubatize jina lingne nalo ni topsinker.
 
huyu mama ni mtu mzima sana hapo naona mkuu bosi anafagilia hii, sio sahihi jamani huyo ni mtu mzima anatakiwa akae na kulea wajukuu, wamama wa aina hii huwezi amini anaweza tembea na mumeo, macho juu juu, utakuta vina dawa kichwani halafu pembeni karibu na masikio vinywele vimewanyonyokaaa

wivu huo
 
Huyu afungiwe a/c yake kabisa yaani apigwe ban. Jamani ma GT tusishadadie uzinzi. Tutakuwa hatujengi jamii yetu
 
Kula bintu kijana usiogope, ila uwe makini. Mwambie akufungulie mradi.
 
Niko concerned na hiyo point ya kwanza...hawapendi sana sex
what about you?na we pia hupendi sana au? na je inamaana (kwako personally) mwanamke anayependa sex sana anakuboa?kivipi?

mi anayependa sana sex ndio nampenda,lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom