Mama Samia unanisikitisha sana; hukujifunza kwa Kikwete na hutaki kijifunza kwa Magufuli

Nikianza na JK:

Mpaka unapata bahati ya kuingia ikulu, hakuna mtu aliyekuwa mpole na fea na mpenda watu kama JK, hakuna!

-Aliwapa watu uhuru wa kuongea.
-Waliotaka kuandamana walikuwa wanapewa nafasi.
-Ajira, hususani afya na elimu, alikuwa anaajiri kila mwaka; tena wote!
-Nyongeza za mishahara kila mwaka zilikuwa zinafanyika.
-Kina Mbowe na Lissu juisi walikunywa, tena ikulu kabisa.
-Maboom kwa wanafunzi wa elimu ya juu yaliongezeka maradufu na walipata wote.
-Mabarabara yalijengwa n.k.

Pamoja na hayo yote, hakuna mtawala, katika watawala waliokutangulia wote, aliyepata shida kama JK. Haki ya Mungu, alipata shida katika utawala wake yule mtu kuliko kawaida. Kuna muda niliona kabisa alitamani muda uende haraka atoke:

-Alioamua kuwasikiliza na kuwapa kila aina ya ushirikiano na upendeleo, ikiwemo hiyo kuwaita ikulu na kukaa pamoja, walimwita dhaifu na legelege.......tena walifanya hivyo kwa kiburi kabisa na kwa kurudia mara nyingi walivyopenda.
-Madereva walikuwa wanapewa hela stendi ili wagome, na waligoma kweli na kuleta taharuki kila leo.
-Vyuo vilikuwa si sehemu ya elimu tena bali harakati za kisiasa. Migomo kila leo; leo wakigomea 5,000/= na kupewa, kesho wanagoma tena na kutaka 10,000/=. Wakipewa hiyo keshokutwa wanagoma tena na kutaka 15,000/=......yaani ilikuwa haina mwisho.
-Madaktari, wanaharakati n.k wote walikuwa wanakesha kuhakikisha nchi haitawaliki.
-Serikali ikitoka tu kuongea na wananchi na kukubaliana kuchangia shughuli za kimaendeleo kama vile kuchimba msingi au kukusanya mawe ya kujengea shule, zahanati n.k, tundu Lissu na wenzake nao hufika muda huohuo kuwaambia wananchi 'hakuna kuchanga, msichangie chochote wala msiende kujitolea!' Hali ilikuwa ngumu kweli kiutawala.......JK hakupata nafasi ya kutawala kwa kujinafasi. Kila alichofanya kilidogoishwa mithili ya mdudu sisimizi.

Miaka karibia ishirini mbele, hakuna mtawala mstaafu katika wastaafu waliokutangulia anayepata tabu ya kutukanwa, narudia, anayepata tabu ya kutukanwa, kusilibwa, kuzushiwa, kuombewa mabaya, kupewa lolote kubwa la hovyo likiwemo la hata kuhusishwa na uuaji kama JK. Hakuna! Leo mitandaoni comments hazinogi kama hajatukanwa JK na familia yake.

Si hilo tu, JK kanyang'anywa kila kitu alichokifanya na kupewa mpendwa fulani.......
-Eti tunaambiwa JK hakujenga hata barabara!!!
-Eti tunaambiwa hajafanya lolote kwenye afya!!
-Eti tunaambiwa mwendokasi na flyovers hahusiki hata kidogo. Daaaaah!!! Haki ya nani binadamu!!!!!!!
-Eti tunaambiwa hali ya maisha ilikuwa ngumu sana!

Matusi yanaendelea kumfuata kila anapoenda........aseme jambo, hata kama kusalimia tu, atatukanwa; asiposema jambo pia watamtafuta na kumtukana!!!

The good thing is, moyo wa JK upo tofauti na mamilioni mengi ya mioyo ya watu wengine. JK hana kinyongo na makuu.......ndo maana hata watu kama kina Dr. Abbas, kipindi 'wapo juu ya dunia' hivyo juzi, walidiriki nao kuanza kumshambulia na kujibujibu hili na lile kwenye kila anachosema (ref is made katika mazishi ya Mkapa).

Kosa kubwa la JK; kujifanya kuwapenda Watanzania, kuwasikiliza, kuwanyenyekea, kuwapa uhuru wa kufunua vinywa vyao hovyo hovyo (watakavyo) na kuruhusu vidole vyao kutype kila aina ya takataka waliyojisikia. Kila takataka, ili mradi tu iwe inaitwa gazeti au jarida ilipata ruhusa (in the name of democracy.....freedom of speech). What a grave mistake it was! Upendo huo, umemgharimu wakati wa utawala wake na unaendelea kumgharimu mpaka leo.

Funzo la wazi kwa mama ambalo amekataa kujifunza kutoka kwa JK; uhuru bila mipaka ni janga na binadamu (Watanzania) hawasanifiki.....
-Huyo uliyemrudisha kutoka Ubelgiji na kumlipa stahiki zake zote msikilize anachokisema kwa nguvu zote huko nje.
-Huyo uliyemwita kwa utuvu muelewane naye unamsikia huko anavyokusagia kunguni?!!!!
-Umefungulia vyombo vingineeeee na wapo huru kuandika. Umewahi kusikia au kuona wanayoandika huko sasa?!!!!! Yanatisha! Ni matusi hadi ya nguoni juu yako. Na sasa, wako busy asubuhi, mchana na jioni kukuvua uraia.
-Umeona kuhusu yako uliyoyafanya?!!!! Wanasema hujafanya chochote mpaka sasa.

Tuje kwa JPM:

Alizuia ujinga ujinga wa kuropoka ropoka hovyo;
-Kale kanakojifanya katukutu alipojifanya kutaka kuonyesha utukutu wake alikiona......akakoma na nchi kuhama.
-Walipotaka kuandamana, sijui ukuta sijui nn, jamaa akawaambia nitapiga mpaka shangazi zenu.....kimyaaaa!

JPM akapata nafasi ya kutawala, akasikika kwa kushindo kikuu. Yake, yasiyo yake yote akakusanyiwa yeye na anaendelea kukusanyiwa mpaka leo! Kama JK, yako yanadogoishwa pia mithili ya sisimizi.

Funzo toka kwa JPM; utawala wa Tanzania unahitaji 'ubandidu'......utasemwa muda wa utawala, utaimbwa muda mrefu. Mama hapa hujaamua kujifunza tu bado? Unataka uwe wa kutukanwa kama JK?!
Unataka mama awe dikteta kama Magufuli aanze kuuwa watu hovyo? Mbona haruhusu maandamano? Unafikiri Tanzania tuna demokrasia kuliko Malawi au Kenya? Je yanayoendelea Kenya na Odinga yanaweza kuruhusiwa Tanzania? Ruto anatukanwa majukwaani kuliko Samia. Acha kuingilia uhuru wa watu. Mbona mmezoea kutawaliwa kidikteta nyie? Anayoyafanya mama ingekuwa nchi nyingine angeshaondolewa madarakani kitambo.
 
NCHI imempwelepweta.

Ameshindwa.

Mwisho kuwapa wanawake.

M-judge Kama mtu na sio kama mwanamke.

Hata wanaume mbona huwa wanakosea?!

Kwani walotufikisha hapa tangu Uhuru zaidi ya miaka 50 hakuna uhakika wa huduma ya maji wala umeme ni kina nani Kama sio Viongozi wanaume?

Imagine Maji na umeme kama huduma za msingi kabisa uhakika wa kupatikana through out the year haupo?!
 
Nikianza na JK:

Mpaka unapata bahati ya kuingia ikulu, hakuna mtu aliyekuwa mpole na fea na mpenda watu kama JK, hakuna!

-Aliwapa watu uhuru wa kuongea.
-Waliotaka kuandamana walikuwa wanapewa nafasi.
-Ajira, hususani afya na elimu, alikuwa anaajiri kila mwaka; tena wote!
-Nyongeza za mishahara kila mwaka zilikuwa zinafanyika.
-Kina Mbowe na Lissu juisi walikunywa, tena ikulu kabisa.
-Maboom kwa wanafunzi wa elimu ya juu yaliongezeka maradufu na walipata wote.
-Mabarabara yalijengwa n.k.

Pamoja na hayo yote, hakuna mtawala, katika watawala waliokutangulia wote, aliyepata shida kama JK. Haki ya Mungu, alipata shida katika utawala wake yule mtu kuliko kawaida. Kuna muda niliona kabisa alitamani muda uende haraka atoke:

-Alioamua kuwasikiliza na kuwapa kila aina ya ushirikiano na upendeleo, ikiwemo hiyo kuwaita ikulu na kukaa pamoja, walimwita dhaifu na legelege.......tena walifanya hivyo kwa kiburi kabisa na kwa kurudia mara nyingi walivyopenda.
-Madereva walikuwa wanapewa hela stendi ili wagome, na waligoma kweli na kuleta taharuki kila leo.
-Vyuo vilikuwa si sehemu ya elimu tena bali harakati za kisiasa. Migomo kila leo; leo wakigomea 5,000/= na kupewa, kesho wanagoma tena na kutaka 10,000/=. Wakipewa hiyo keshokutwa wanagoma tena na kutaka 15,000/=......yaani ilikuwa haina mwisho.
-Madaktari, wanaharakati n.k wote walikuwa wanakesha kuhakikisha nchi haitawaliki.
-Serikali ikitoka tu kuongea na wananchi na kukubaliana kuchangia shughuli za kimaendeleo kama vile kuchimba msingi au kukusanya mawe ya kujengea shule, zahanati n.k, tundu Lissu na wenzake nao hufika muda huohuo kuwaambia wananchi 'hakuna kuchanga, msichangie chochote wala msiende kujitolea!' Hali ilikuwa ngumu kweli kiutawala.......JK hakupata nafasi ya kutawala kwa kujinafasi. Kila alichofanya kilidogoishwa mithili ya mdudu sisimizi.

Miaka karibia ishirini mbele, hakuna mtawala mstaafu katika wastaafu waliokutangulia anayepata tabu ya kutukanwa, narudia, anayepata tabu ya kutukanwa, kusilibwa, kuzushiwa, kuombewa mabaya, kupewa lolote kubwa la hovyo likiwemo la hata kuhusishwa na uuaji kama JK. Hakuna! Leo mitandaoni comments hazinogi kama hajatukanwa JK na familia yake.

Si hilo tu, JK kanyang'anywa kila kitu alichokifanya na kupewa mpendwa fulani.......
-Eti tunaambiwa JK hakujenga hata barabara!!!
-Eti tunaambiwa hajafanya lolote kwenye afya!!
-Eti tunaambiwa mwendokasi na flyovers hahusiki hata kidogo. Daaaaah!!! Haki ya nani binadamu!!!!!!!
-Eti tunaambiwa hali ya maisha ilikuwa ngumu sana!

Matusi yanaendelea kumfuata kila anapoenda........aseme jambo, hata kama kusalimia tu, atatukanwa; asiposema jambo pia watamtafuta na kumtukana!!!

The good thing is, moyo wa JK upo tofauti na mamilioni mengi ya mioyo ya watu wengine. JK hana kinyongo na makuu.......ndo maana hata watu kama kina Dr. Abbas, kipindi 'wapo juu ya dunia' hivyo juzi, walidiriki nao kuanza kumshambulia na kujibujibu hili na lile kwenye kila anachosema (ref is made katika mazishi ya Mkapa).

Kosa kubwa la JK; kujifanya kuwapenda Watanzania, kuwasikiliza, kuwanyenyekea, kuwapa uhuru wa kufunua vinywa vyao hovyo hovyo (watakavyo) na kuruhusu vidole vyao kutype kila aina ya takataka waliyojisikia. Kila takataka, ili mradi tu iwe inaitwa gazeti au jarida ilipata ruhusa (in the name of democracy.....freedom of speech). What a grave mistake it was! Upendo huo, umemgharimu wakati wa utawala wake na unaendelea kumgharimu mpaka leo.

Funzo la wazi kwa mama ambalo amekataa kujifunza kutoka kwa JK; uhuru bila mipaka ni janga na binadamu (Watanzania) hawasanifiki.....
-Huyo uliyemrudisha kutoka Ubelgiji na kumlipa stahiki zake zote msikilize anachokisema kwa nguvu zote huko nje.
-Huyo uliyemwita kwa utuvu muelewane naye unamsikia huko anavyokusagia kunguni?!!!!
-Umefungulia vyombo vingineeeee na wapo huru kuandika. Umewahi kusikia au kuona wanayoandika huko sasa?!!!!! Yanatisha! Ni matusi hadi ya nguoni juu yako. Na sasa, wako busy asubuhi, mchana na jioni kukuvua uraia.
-Umeona kuhusu yako uliyoyafanya?!!!! Wanasema hujafanya chochote mpaka sasa.

Tuje kwa JPM:

Alizuia ujinga ujinga wa kuropoka ropoka hovyo;
-Kale kanakojifanya katukutu alipojifanya kutaka kuonyesha utukutu wake alikiona......akakoma na nchi kuhama.
-Walipotaka kuandamana, sijui ukuta sijui nn, jamaa akawaambia nitapiga mpaka shangazi zenu.....kimyaaaa!

JPM akapata nafasi ya kutawala, akasikika kwa kushindo kikuu. Yake, yasiyo yake yote akakusanyiwa yeye na anaendelea kukusanyiwa mpaka leo! Kama JK, yako yanadogoishwa pia mithili ya sisimizi.

Funzo toka kwa JPM; utawala wa Tanzania unahitaji 'ubandidu'......utasemwa muda wa utawala, utaimbwa muda mrefu. Mama hapa hujaamua kujifunza tu bado? Unataka uwe wa kutukanwa kama JK?!
Ninyi ndio mlikuwa mnasifu kwa nyimbo na mapambio huku mkiimba anaupiga mwingi leo kiko wapi?.Kila kona kilio
 
Thread of the year JF ndo hii
 
You are cherry-picking history and brandishing your ignorance. Kikwete had a grand opportunity to be the best president ever, yet he squandered it. Now delving down the memory lane:

First off, Jakaya was hated the most because we loved him the most, but he betrayed our trust. He backstabbed us for big pay-checks and flattery. He was the grand architect and the god-father of factionalism within CCM. Factionalism was a cancer which rotted the bones of CCM by ordaining the likes of Magufuli and Samia to presidency. Had he been careful these two would never have been presidents.

Secondly, Kikwete is a man who nafeariously threw Warioba's Draft Constitution into a scrap heap of history. If the draft was inaugurated into the new constitution by 2015, it would have erected a strong bulwark against political aggrandizement and militancy of President Magufuli. Yes off course, it would have also averted a current BANDARI FIASCO by restraining an ill intent Zanzibari from auctioning the properties of Tanganyikans to Arabs.

With a federal system in place, our Bandaris would have been out of Samia's reach. But thanks to Jakaya, Samia is brutally gutting out Tanganyika.

Samia aondoke kwa amani tu, sisi watanganyika hatumtaki.
UZURI ANATAWALA TANZANIA.
HUKO TANGANYIKA A.K.A KUZIMU HAPAJUI.
 
Nikianza na JK:

Mpaka unapata bahati ya kuingia ikulu, hakuna mtu aliyekuwa mpole na fea na mpenda watu kama JK, hakuna!

-Aliwapa watu uhuru wa kuongea.
-Waliotaka kuandamana walikuwa wanapewa nafasi.
-Ajira, hususani afya na elimu, alikuwa anaajiri kila mwaka; tena wote!
-Nyongeza za mishahara kila mwaka zilikuwa zinafanyika.
-Kina Mbowe na Lissu juisi walikunywa, tena ikulu kabisa.
-Maboom kwa wanafunzi wa elimu ya juu yaliongezeka maradufu na walipata wote.
-Mabarabara yalijengwa n.k.

Pamoja na hayo yote, hakuna mtawala, katika watawala waliokutangulia wote, aliyepata shida kama JK. Haki ya Mungu, alipata shida katika utawala wake yule mtu kuliko kawaida. Kuna muda niliona kabisa alitamani muda uende haraka atoke:

-Alioamua kuwasikiliza na kuwapa kila aina ya ushirikiano na upendeleo, ikiwemo hiyo kuwaita ikulu na kukaa pamoja, walimwita dhaifu na legelege.......tena walifanya hivyo kwa kiburi kabisa na kwa kurudia mara nyingi walivyopenda.
-Madereva walikuwa wanapewa hela stendi ili wagome, na waligoma kweli na kuleta taharuki kila leo.
-Vyuo vilikuwa si sehemu ya elimu tena bali harakati za kisiasa. Migomo kila leo; leo wakigomea 5,000/= na kupewa, kesho wanagoma tena na kutaka 10,000/=. Wakipewa hiyo keshokutwa wanagoma tena na kutaka 15,000/=......yaani ilikuwa haina mwisho.
-Madaktari, wanaharakati n.k wote walikuwa wanakesha kuhakikisha nchi haitawaliki.
-Serikali ikitoka tu kuongea na wananchi na kukubaliana kuchangia shughuli za kimaendeleo kama vile kuchimba msingi au kukusanya mawe ya kujengea shule, zahanati n.k, tundu Lissu na wenzake nao hufika muda huohuo kuwaambia wananchi 'hakuna kuchanga, msichangie chochote wala msiende kujitolea!' Hali ilikuwa ngumu kweli kiutawala.......JK hakupata nafasi ya kutawala kwa kujinafasi. Kila alichofanya kilidogoishwa mithili ya mdudu sisimizi.

Miaka karibia ishirini mbele, hakuna mtawala mstaafu katika wastaafu waliokutangulia anayepata tabu ya kutukanwa, narudia, anayepata tabu ya kutukanwa, kusilibwa, kuzushiwa, kuombewa mabaya, kupewa lolote kubwa la hovyo likiwemo la hata kuhusishwa na uuaji kama JK. Hakuna! Leo mitandaoni comments hazinogi kama hajatukanwa JK na familia yake.

Si hilo tu, JK kanyang'anywa kila kitu alichokifanya na kupewa mpendwa fulani.......
-Eti tunaambiwa JK hakujenga hata barabara!!!
-Eti tunaambiwa hajafanya lolote kwenye afya!!
-Eti tunaambiwa mwendokasi na flyovers hahusiki hata kidogo. Daaaaah!!! Haki ya nani binadamu!!!!!!!
-Eti tunaambiwa hali ya maisha ilikuwa ngumu sana!

Matusi yanaendelea kumfuata kila anapoenda........aseme jambo, hata kama kusalimia tu, atatukanwa; asiposema jambo pia watamtafuta na kumtukana!!!

The good thing is, moyo wa JK upo tofauti na mamilioni mengi ya mioyo ya watu wengine. JK hana kinyongo na makuu.......ndo maana hata watu kama kina Dr. Abbas, kipindi 'wapo juu ya dunia' hivyo juzi, walidiriki nao kuanza kumshambulia na kujibujibu hili na lile kwenye kila anachosema (ref is made katika mazishi ya Mkapa).

Kosa kubwa la JK; kujifanya kuwapenda Watanzania, kuwasikiliza, kuwanyenyekea, kuwapa uhuru wa kufunua vinywa vyao hovyo hovyo (watakavyo) na kuruhusu vidole vyao kutype kila aina ya takataka waliyojisikia. Kila takataka, ili mradi tu iwe inaitwa gazeti au jarida ilipata ruhusa (in the name of democracy.....freedom of speech). What a grave mistake it was! Upendo huo, umemgharimu wakati wa utawala wake na unaendelea kumgharimu mpaka leo.

Funzo la wazi kwa mama ambalo amekataa kujifunza kutoka kwa JK; uhuru bila mipaka ni janga na binadamu (Watanzania) hawasanifiki.....
-Huyo uliyemrudisha kutoka Ubelgiji na kumlipa stahiki zake zote msikilize anachokisema kwa nguvu zote huko nje.
-Huyo uliyemwita kwa utuvu muelewane naye unamsikia huko anavyokusagia kunguni?!!!!
-Umefungulia vyombo vingineeeee na wapo huru kuandika. Umewahi kusikia au kuona wanayoandika huko sasa?!!!!! Yanatisha! Ni matusi hadi ya nguoni juu yako. Na sasa, wako busy asubuhi, mchana na jioni kukuvua uraia.
-Umeona kuhusu yako uliyoyafanya?!!!! Wanasema hujafanya chochote mpaka sasa.

Tuje kwa JPM:

Alizuia ujinga ujinga wa kuropoka ropoka hovyo;
-Kale kanakojifanya katukutu alipojifanya kutaka kuonyesha utukutu wake alikiona......akakoma na nchi kuhama.
-Walipotaka kuandamana, sijui ukuta sijui nn, jamaa akawaambia nitapiga mpaka shangazi zenu.....kimyaaaa!

JPM akapata nafasi ya kutawala, akasikika kwa kushindo kikuu. Yake, yasiyo yake yote akakusanyiwa yeye na anaendelea kukusanyiwa mpaka leo! Kama JK, yako yanadogoishwa pia mithili ya sisimizi.

Funzo toka kwa JPM; utawala wa Tanzania unahitaji 'ubandidu'......utasemwa muda wa utawala, utaimbwa muda mrefu. Mama hapa hujaamua kujifunza tu bado? Unataka uwe wa kutukanwa kama JK?!
Ubandidu bila matokeo chanya ni vita mzee! JPM na ubabe wake ila wananchi waliona matokeo chanya. Ufanye ubabe huku unauza nchi nani atakuelewa?
 
Funzo toka kwa JPM; utawala wa Tanzania unahitaji 'ubandidu'......utasemwa muda wa utawala, utaimbwa muda mrefu. Mama hapa hujaamua k wenmnaujifunza
tu bado? Unataka uwe wa kutukanwa kama JK?!
Exactly Hawa mbwa sio wakuwatendea wema kbs
 
Ikifika miezi ya robo Mwaka ya mwisho kila Mwaka kuanzia around mwezi September-December/Januari mvua za Vuli zisiponyesha za kutosha huduma ya Maji inakata kabisa na umeme kwa kila Mwaka .

Hayo hayakusabishwa na kiongozi mwanamke.

Sipati picha Mungu akiamua kubana Vuli isinyeshe Na kufuatiwa na mvua za Mwaka zisinyeshe Mwenyezi Mungu atuepushie mbali.

Viongozi wanaume Ndiyo wametufikisha kwenye hali ngumu matatizo, kero na changamoto zilizopo chungu nzima na sio Rais Samia sababu ya uanawake wake.

Ahukumiwe kwa haki ,

Akosolewe Kama mtu/binadamu wa kawaida bila kujali jinsia yake.

Asomaye na afahamu ujumbe huu.
 
Mlioko karibu na Rais Samia mpeni ushauri huu:

Kwamba aupige chini mkataba wa DP maana mwitikio wake kwenye jamii umekuwa hasi kwa kiasi kikubwa.

TPA waendelee kusimamia Kwa ufanisi na watanzania wanaweza. InshaAllah.

Ni wazi inaonesha kuna tatizo au matatizo bayana kwenye hilo.

Tafakali Mheshimiwa kisha chukua hatua.
 
Huu mwezi wa 7 bado miezi 2-3 hivi utaona nchi inaanza kuingia gizani sababu ya kukosekana Kwa huduma ya umeme,

Kukosekana Kwa huduma ya Maji,

Na sababu Umeme wetu hutegemea Maji hivyo kukosekana kwake huenda sambamba.
 
Back
Top Bottom