Hakuna rafu yeyote hiyo. Wenye ufahamu wanajua jinsi ya kufanya kampeni. Sio yule jamaa anaye panda dala dala ili watu wamuonee huruma.Tume hapa inasemaje na sheria zake...mgombea wakati huu wa kampeni kutembelea hospotali tena wodini....watumishi wa serikali...nurses, DR's na wagonjwa ku-keep attention na visit hii....mbona naona rafu za kijinga sana hizi.....
Ali fupi kweli kweli. Na mafuriko ya Lofa yalia watu wangapi?Kama ameziteka kwa nini Polisi hawamkamati?
Hakuna rafu yeyote hiyo. Wenye ufahamu wanajua jinsi ya kufanya kampeni. Sio yule jamaa anaye panda dala dala ili watu wamuonee huruma.
Eti leo kaenda kununua nyanya kwenye Genge la Tandale. Alikuwa wapi miaka yote hii/

Huyo unayemsema wewe nae alikuwa wapi, zanzibar hajawahi onekana akitembelea akina mama mahospitalini, subiri mpe mmpe ka mtamuona, angekuwa na huruma hiyo angebaki kwa ndoa yake mpaka leo, unamjua mumewe wewe, kuonekana kwake kutwa kwenye maprado ya smz, kabla kuongea fikiri kwanza usiropoke ka raisi wako aliyepita
Kama Lowassa anasifiwa kwa kupanda daladala na kwenda Tandale kwao Diamond..mwacheni mama naye achukue like, msimbanie